Alikuwa hayuko sawa kisaikolojia ktk Hilo namtetea aliyoyapitia Ni mazito mnooo kwanza yatupasa tushukuru kumuona Yuko hapa ameleta thread maybe saahizi angekuwa jela kwa kesi ya mauaji au ameshajiuaKaka ulikosea,usingewafkuz watoto
Nimejifunza, ukileta story hapa ili upate ushauri, utakutana na judgements tu. Siku hizi watu hawatoi ushauri mkuu, you'll be judged juu chini mzee. Ni kama vile unawaandikia malaika wasiozini au wasiotenda dhambi yoyote. Mara mtu ana 50yrs ni kibabu, kizee kimeshajishindwa.Nilete kisa changu hapa ili mnishauri thubuuu Bora mninyonge
Watu wenyewe mnamidomo mnaongea Kama kasuku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu wengi siku hizi tunayaogopa maisha, tunachelewa kupata watoto, mtu yupo 35 hana mtoto, leo anamcheka jamaa amefika 50 na watoto wamemaliza vyuo huko.Unaweza kuwa una miaka 35 mtoto wako wa kwanza ana mwaka mmoja ,je miaka 50 utakuwa unacheza na wajukuu?
Well said indeed .. ila Mzee huyu baba yetu alikuwa na kaujinga fulani (sorry) Ambacho vijana tukiwaga navyo huwa tunaitana mazoba [emoji16][emoji16][emoji16] (kidding)50yrs mnamuita babu? You guys are not serious hata kidogo. Amefanya makosa kweli, lakini who are we to judge him, kila mtu ana namna yake amekosea sehemu, msiniambie hadi umri mliofikia hakuna sehemu mlibugi, yaani nyie yamewanyookea katika angle zote za maisha, iwe elimu, afya, mahusiano nk.
Let's not be quick to point fingers coz hata sisi kuna mahali tumeanguka kabisa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]Jan mwanzoni wanarudi tena naamua ngoja tu wakae,
32-Jan hiyohiyo wote wanarudi shuleni kwao
33- January nasikia amerudi analadhimisha apewe funguo, akakataliwa mpaka mimi niwaambie kwa mdomo wangu hao majirani zangu akagombagomba hapo mwishoe aondoke
34 - kesho yake mchungaji akaniita na mke wangu kuomba arudi ndani,
35,-baada ya mazungumzo marefu, anatamkia mchumgaji hii nyumba ni yake, mimi nilishachukua fungu langu, yaani ile mil 15
[emoji119][emoji119][emoji108]kuna kisa kilinitokea,mpaka sasa sina hamu ila nimekubali matokeo.
kuna kibinti nilianza nacho mahusiano kilipomaliza form 4
mwanzo nilikua nakala kwa mipira,baadae nkajua mzunguko wake wa hedhi
nikaanza kuwa navizia siku salama,napga mzigo nyama nyama
siku zimeenda sana,kuna muda nilikua nasafir kama miez 6 narudi,nakula mzigo
virafik vyake vingi vikawa vinapata ujauzito,vingne vna watoto hadi wawili,nkamuuliza mbona wew hupat mimba kama wenzio,maana niliamin sio mim tu ninae kula lazima kuna njemba tulkuwa tunashare.
kilnijibu kuwa kina matatizo hivyo hakiwez shika ujauzito(mwanaume nkajisemea kimoyo moyo kuwa haka katanifaa kuwa kamilele kwa matumizi ya kula raha).tena kakanihakkshia kuwa kuna kipind kalkuwa kananidanganya siku zake za hedhi nikawa nakula na siku hatari lakini hakakupata mimba.
kipindi fulan nikawa fresh kpesa,nkaona ili kukafaid zaid nkaona nkapangishie
nikakaweka gheto,nikaanza kula vitu kwa uhuru
kumbe chenyewe kkaona kmeolewa kabsa,kumbe kilikuja na dawa za kienyej za kusaidia kupata ujauzito
mwez mmoja tu,demu ananiambia ana mimba,nawakat anakuja alkuwa yupo kwenye siku zake kavaa na pedi kabisa
mwanaume nikachanganyikiwa,mwisho wa siku nikakubal matokeo,ila nmerudsha azae kwanza baadae nmrudishe aendelee kuwa mpango wa kando
ila kwasasa niko makini mno,hawa watu hawataweza tena nifanya nisiifurahie dunia
obama siyo mjinga kuwa na watoto wawili.
Yeah hizo ndio sababu zinazo tufanya wengine tutafute alternative nyingine ya kumaliza matatizo yetu bila kuleta thread za kuomba ushauri humu ... maana hizo abuse utakazo zipata humu Ni depression tosha [emoji16]Nimejifunza, ukileta story hapa ili upate ushauri, utakutana na judgements tu. Siku hizi watu hawatoi ushauri mkuu, you'll be judged juu chini mzee. Ni kama vile unawaandikia malaika wasiozini au wasiotenda dhambi yoyote. Mara mtu ana 50yrs ni kibabu, kizee kimeshajishindwa.
Tunachosahau ni kuwa hakuna asiyeteleza, dunia hii nani amenyoosha life lake lisiwe na makandokando.
Tujifunze kupitia changamoto alizopitia ili tusifike huko.
Watanzania watu wa ajabu Sana, JK alipogombea Urais 2005 aliitwa Kijana wakati alikuwa na 55yrs. ..50yrs mnamuita babu? You guys are not serious hata kidogo. Amefanya makosa kweli, lakini who are we to judge him, kila mtu ana namna yake amekosea sehemu, msiniambie hadi umri mliofikia hakuna sehemu mlibugi, yaani nyie yamewanyookea katika angle zote za maisha, iwe elimu, afya, mahusiano nk.
Let's not be quick to point fingers coz hata sisi kuna mahali tumeanguka kabisa.
Dah, Huo moyo ni toleo la BC (Before Christ) ...Huko ni kukwaruza moyo na kisodaDuuuhh aisee nimetamani nikutukane lakini nafsi imeniambia sio sawa ... Mkuu pole Sana Huyo mwanamke alijua kukuburuza aisee Mioyo Kama hiyo huwa mnaitoa wapi mbona sisi wengine hatuko hivyo [emoji26][emoji26]
Hapana Kaka Mwitore is so strong, hawezi pata depression kutoka hawa low life bunch of imbecilesYeah hizo ndio sababu zinazo tufanya wengine tutafute alternative nyingine ya kumaliza matatizo yetu bila kuleta thread za kuomba ushauri humu ... maana hizo abuse utakazo zipata humu Ni depression tosha [emoji16]
Naweza kusema alijisahau sana, side chick alichukua hisia zote Ila nakubali kitu kimoja, hakuacha familia nyuma, wengine hapa wametelekeza familia kabisa, watoto wameshindwa kusoma, mama amedevelop sonona lakini huyu kajitahidi pamoja na kuanguka hakusahau watoto, wamesoma na wana maisha yao. Hiyo ni point ya kuichukua, do whatever you do...usiache watoto kama yatima.Well said indeed .. ila Mzee huyu baba yetu alikuwa na kaujinga fulani (sorry) Ambacho vijana tukiwaga navyo huwa tunaitana mazoba [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana ni vizazi tofauti. Lakini pia kumbuka amekaa na huyu mama kwa 20 years hivi. Basi tu ni kuwa jamaa alimpenda mwanamke, ila mwanamke kwakuwa siku zote aliona yeye ni nyumba ndogo na hakuwa na heshima hata ya kutambulishwa kwa bi mkubwa, ameamua kuandaa maisha yake. Uwezekano mkubwa kama alivyosema huyu bwana, mwanamke alifundishwa na wanawake wenzie ajitengezee masiah tofauti na haya ya huyu mzee.Well said indeed .. ila Mzee huyu baba yetu alikuwa na kaujinga fulani (sorry) Ambacho vijana tukiwaga navyo huwa tunaitana mazoba [emoji16][emoji16][emoji16] (kidding)
Kuna watu wakiwa na misiba wakisikia na wewe rafiki yao una msiba wanapata farajaNaweza kusema alijisahau sana, side chick alichukua hisia zote Ila nakubali kitu kimoja, hakuacha familia nyuma, wengine hapa wametelekeza familia kabisa, watoto wameshindwa kusoma, mama amedevelop sonona lakini huyu kajitahidi pamoja na kuanguka hakusahau watoto, wamesoma na wana maisha yao. Hiyo ni point ya kuichukua, do whatever you do...usiache watoto kama yatima.
Tukumbuke tu kuwa wengi hapa dhambi ya uzinzi inatutafuna, nashangaa tukirusha mawe wakati tunaishi nyumba ya vioo.
Tupo irrational sana, 50yrs ni kibabu?, labda kama kwao lishe ni duni ila umri huo kama mtu yupo healthy hawezi kuwa kibabu. Najua wengi wanaongea hivyo ili kumpa psychological torture na hivyo wanajisikia furaha...Watanzania watu wa ajabu Sana, JK alipogombea Urais 2005 aliitwa Kijana wakati alikuwa na 55yrs. ..
Kweli kabisa haisaidii chochoteMuulize I'd mpya inapunguza Ukali na pressure ya maneno makali utakayo ambiwa humu !? ... Still maumivu ya maneno makali yako pale pale maana utaambiwa maneno ambayo haukuwa hata unataka kuyasikia mwisho wa siku utakwenda kupata stroke huko bure [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaa yuko smart kinoma 50 yrs watoto wamemaliza versity. I do salute the guy . .Halafu wengi siku hizi tunayaogopa maisha, tunachelewa kupata watoto, mtu yupo 35 hana mtoto, leo anamcheka jamaa amefika 50 na watoto wamemaliza vyuo huko.