Tupo irrational sana, 50yrs ni kibabu?, labda kama kwao lishe ni duni ila umri huo kama mtu yupo healthy hawezi kuwa kibabu. Najua wengi wanaongea hivyo ili kumpa psychological torture na hivyo wanajisikia furaha...
Dah, Tabu wanapata watoto sasa....December mwanzoni watoto wamerudi
Nawafukuza kesho yake nawapandisha bus kuwarudisha hukohuko
Asante kwa ushauri...Nakushauri fanya maamuzi haraka, unakoelekea siko. Amua ni yupi unaoa uanze masiha rasmi, usiongeze watoto.
Iam happy to read this, out of all negativity, mtu anakuja kupata msaada ndiyo anasukumiwa shimoni afe kabisaaHapana Kaka Mwitore is so strong, hawezi pata depression kutoka hawa low life bunch of imbeciles
Hawa wenye negativities wana,matatizo ndio maana wanamshambulia,kaka,ila kama baba amefanya kazi yake vizuri,alimo teleza ni mapungufu yetu sote kana,binadamu.kila MTU yake yangeanikwa ingekuwa tunahama dunia.Iam happy to read this, out of all negativity, mtu anakuja kupata msaada ndiyo anasukumiwa shimoni afe kabisaa
Ukiona mitala haina Amani jua mwanaume maskini huyoo!ishu sip amani au furaha hapa kutambulika km mke rasmi halali na haki zote za msingi apate.Kingine hao wenye ndoa za mmoja na kama hivi watoto michepuko kama yotee na mwingine ana ndoa kanisani na ana mke kimila mpk watatu hapo furaha iko wapi.Huyo dada mjinga angemchuna bwana ajitengeneze empire yake atafte mume, sasa inaonyesha mke mzito kiuchumi na mwanaume sasa anaanza kuzeeka na akili ziinamrudia anaona arudi kwa bibi mkubwa wa kuzeeka naye, sasa bibi mdogo akitibua huyu mzee na akistaafu atakufa siku si zake, hafu nyumba za mitala hazijawahigi kuwa na amani loh. Huyu arudi KWA mke mkubwa tu Basi akiendelea na mchepuko atakufa siku si zake,
Watoto wadogo hata hawajaelewa hili.Jamaa yuko smart kinoma 50 yrs watoto wamemaliza versity. I do salute the guy . .
Acha wajinga waendelee kumcheka wakati wao wako 30's hata mtoto hawana!
Huyu kadaganya umri Hadi hayo mapicha picha ni baada ya kiunua mgongo kuisha, by the way I'm not judging that's was my opinion kwanini nyie wanaume mnakuwa wakali kwa ujinga wa huu mwanaume mwenzenu ni vile mna michepuko inawanyima raha so msinimalizie Mimi hasira kwa starehe zenu, tena huyu mzee ajakomeshwa vizuri sioni Cha huruma kwa maamuzi yake na starehe zake.50yrs mnamuita babu? You guys are not serious hata kidogo. Amefanya makosa kweli, lakini who are we to judge him, kila mtu ana namna yake amekosea sehemu, msiniambie hadi umri mliofikia hakuna sehemu mlibugi, yaani nyie yamewanyookea katika angle zote za maisha, iwe elimu, afya, mahusiano nk.
Let's not be quick to point fingers coz hata sisi kuna mahali tumeanguka kabisa.
Hahaaaa....mzeee asante kutupa ukweli wadadaSiyo kweli, hiyo empire angeitengeneza vipi, nilimchukulia kama mke hasa, na hana tofauti na mke mkubwa, na sasa hivi naye yupo over 40, ukisema mke mkubwa mzito kiuchumi, mimi naona vile vile sio sawa kwani yeye alikosa nini cha kumfanya asiwe mzito, wote wana nyumba na wote watoto wao wameenda shule,kusema mimi nimezeeka nayo sio kweli, kwa taarifa yaani sasa hivi, Mungu apitishie mbali ndio naanza kuona utamu wa maisha, hiyo naisikilizia hasa, nataka nianze sasa kutalii sehemu mbalimbali,
Na kwa taarifa yake nilikuwa nimejipanga kuzeeka naye kwa kuwa nilishaanza kumtafutia kiwanja huko jirani na kijijini kwetu ili kibeneke liendelee, hata gari ningemnunulia,
Halafu mbona namwona naye kama anamabadiliko ya kiutu uzima kulikomimi, kitu gani kinakufanya umwone yeye ni kijana zaidi yangu,
Kumbuka tumeachana miaka minane tu, ujana wote kamaliza akiwa na mimi, leo hii mimi nikienda Club natoka na mtoto wa 25, na wala haoni aibu kukaa na mimi, vipi yeye anaweza kutoka na mtoto wa 25 na akawa happy, au huyo kijana anaweza kuwa happy.
Ila tatizo lingine kubwa ni nalo liona nyinyi wanawake mna chuki na husuda kwa wenzenu wenye maisha mazuri, na hayo maneno yenu ndio chanson cha kuwaingiza chaka na kuharibu kabisa maisha yao
Umekuja[emoji849]Huyu kadaganya umri Hadi hayo mapicha picha ni baada ya kiunua mgongo kuisha, by the way I'm not judging that's was my opinion kwanini nyie wanaume mnakuwa wakali kwa ujinga wa huu mwanaume mwenzenu ni vile mna michepuko inawanyima raha so msinimalizie Mimi hasira kwa starehe zenu, tena huyu mzee ajakomeshwa vizuri sioni Cha huruma kwa maamuzi yake na starehe zake.
[emoji1][emoji1] Bado na wewe unajipooza jinsi mchepuko unakutesa sasa Mimi sio single mother so tulia. Tena wajitetea kwa I'd tofautiWengi ni toxic,ni single mother's, wanahangaika kuumiza watu coz wanetelekezwa.But l can't imagine a world without such people.
Ndo alichofanya dingi kalaaa maisha hao watoto wanamkumbuka mama yaoMi nimejifunza kitu kimoja na hii storee....
Hakikisha unaitafuta furaha yako humu duniani usitake kupewa furaha na mtu mwingine hii haipo
Make sure you're happy
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kala maisha wapi hapo mkuu, hizo songombingo tupu.Ndo alichofanya dingi kalaaa maisha hao watoto wanamkumbuka mama yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kadanganya unamjua?Huyu kadaganya umri Hadi hayo mapicha picha ni baada ya kiunua mgongo kuisha, by the way I'm not judging that's was my opinion kwanini nyie wanaume mnakuwa wakali kwa ujinga wa huu mwanaume mwenzenu ni vile mna michepuko inawanyima raha so msinimalizie Mimi hasira kwa starehe zenu, tena huyu mzee ajakomeshwa vizuri sioni Cha huruma kwa maamuzi yake na starehe zake.
Sijawahi kuwa na ld mbili,am not a Coward kama watu wengine.Mchepuko sina hata mmoja,nimeanza likizo Jana nipo nyumbani na wife,nimetulia.Dini yangu inaruhusu kuoa wake zaid ya mmoja,lakini nafsi yangu haijawahi kuwaza kuishi na wake wawili.Moyo hauwezi kabisa.[emoji1][emoji1] Bado na wewe unajipooza jinsi mchepuko unakutesa sasa Mimi sio single mother so tulia. Tena wajitetea kwa I'd tofauti