Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Kamani heka moja, hiyo nyumba kama ilivyo mpe taraka mwachie kisheria. Kata hicho kiwanja waachie Nusu au robo tatu ya heka. Gawa mara mbili kwa ajili ya,watoto,kilucho baki uza. Achana na huyo mwanamke atakuua, rudi kwa bi mkubwa msahau huyo kabisa.
 
Ampe talaka kwani alimuoa? Mwanamke mshenzi sana huyo. Tapeli wa mapenzi na mali... yaan alipoonaga gari tu akachanganyikiwa. Ukute hata alimloga baba wa watu.

Halafu huyo staff mwenzie na mzee alivyomwambia mbona huyu mwanamke si wa hadhi yako kwenye graduu tuondoke yaani mngejua nilivyompatia picha kuanzia alivyo mpk mavazi na attitude yake[emoji23][emoji23]

Huyu baba ana upendo sana na haupimiki. Yaan kuna watu makatili sana duniani. Huyu MCHEPUKO huyu ni kiasi cha muda tu kuyalipia haya. Namfeel huyu baba. Natamani ningemsindikiza kwa mkewe amwelezee A to Z. yatakwisha tu no matter what
 
Naomba ukamweleze mkeo tafadhali achana na hiki kirambasi. You are too innocent jamani kupitia haya yote.
 
Ila nlichokigundua we jamaa una ufala fulani, mtu ni mchepuko, viwanja ulinunua wewe ili umpe hifadhi saivi unahangaika sjui mpelekane ustawi mara unamuogopa jamaa anayemkaza mchepuko wako, mara una bond na watoto lakini mkizinguana na mchepuko nao waja juu eti toka kwetu khaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 afu unaogopa mchepu adi unaenda polisi
 
You are thinking very big!una upendo na huruma,huyu kaka yangu amekosea sehemu nyingi sana lakini sio muda wakumlaumu wala kumuona mpumbav.,ameomba ushauri,tumshaurini,nachukia watu wanaodhani ni perfect kumbe ukibahatika kuonana nao kwa kwa mfuga mbwa they are so pathetic.
 
Kamani heka moja, hiyo nyumba kama ilivyo mpe taraka mwachie kisheria. Kata hicho kiwanja waachie Nusu au robo tatu ya heka. Gawa mara mbili kwa ajili ya,watoto,kilucho baki uza. Achana na huyo mwanamke atakuua, rudi kwa bi mkubwa msahau huyo kabisa.
Kuna talaka ya MCHEPUKO?
 
Pole sana mshuwa wangu, wafugaji wenzio tunawekaga na madaktari kabisa wa mifugo!
Cariha, Cariha, Cariha!
 
Mpaka najiuliza ni kweli uchawi unafanya kazi ama ni nn? Yaan pale mwanzoni tuu mke angejua kuna ma.la.ya. ameingilia ndoa yake na mumewe kingewaka halafu kikapoa. Huyu mchepuko asingepata gats zote hizi. Yaan amejua kumuendesha baba wa watu jamani. Yaan namhurumia mno. Mwenyezi Mungu amsimamie tu kwa kweli. Yaan libinti lichawi kbs hili. Yaan lilishapiga mahesabu likaona hapa ndo pa kutokea. Opportunist. Mpaka natamani mzee apime hao watoto DNA. yaani anaamini hakua anacheatiwa na mapichapicha yote haya. Mwanaume akiwa muungwana sana na mpole ndo haya hutokea.
 
Da , vipi nikimwacha, watamkimbia?
Hebu weka vizuri hapo
Yaani ukimwacha baada ya miezi sita tuu atajuta sana yeye na mama yake wakilaumiana kwanini ulinidanganya.... kama kuna vibenten vyote vitamkimbia
 
haya mambo yasikie tuu yasikukute🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 

Doooh
 
Nilete kisa changu hapa ili mnishauri thubuuu Bora mninyonge

Watu wenyewe mnamidomo mnaongea Kama kasuku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha uoga wewe leta uzi hapa tukeshe nao[emoji1436]‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…