Namora
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 410
- 1,014
Sleepy??🤣🤣🤣🤣 ndiyoo
Unakuta mtu nye nyee nye nyee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sleepy??🤣🤣🤣🤣 ndiyoo
Unakuta mtu nye nyee nye nyee
Wyatt MathewsonSawa kabisa, naomba uwaite, na kule yule bwana anaitwa sijui wytson , nimekosea jina ila mkali mkali hivi, avatar yake nadhani ni yule mwenzie Martin Luther King
Una uhakika sikuwa na pesa, pesa ilikuwepo na nilikuwa nampa ya kutosha 400000 kwa mwezi ndogo hiyoKwahiyo ulitakiwa niseme nini hapo na umeona mchepuko umebadilika baada ya jamaa yake kutokuwa na pesa
Hizi p2 sitaki hata kuzisikia nilimeza siku moja zilivyonitenda nikasema mimi tena nije kutumia p2 labda nizaliwe tena
Unajua ni jina la mtu kule ukonga[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]makuhmazan
Nna kaka yangu mimi alikufa kwa ajili ya demu mjinga wa level hizi. Alijichanganya.Nilikuwa na demu kaishia la saba lakini kutokana na story ya mzee wangu hapa haijarishi nampenda process za kumuacha znaanza leo
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Mwitore ni muongo! Alimpata huyo mchepuko akiwa na miaka 20, wameishi miaka 18 na sasa ana miaka 42. Hapo piga hesabu angalikuwa na miaka 38. Pili fumanizi zote tangu watoto wanamwambia rudi kwenu, yupo tu. Tatu analala kwa bi mdogo bila bi Mkubwa kusituka miaka yote 18. Huyo ni mke au jini. Hii story ya kubumba akina Shunie cariha Espy angalieni anawachotaMpaka najiuliza ni kweli uchawi unafanya kazi ama ni nn? Yaan pale mwanzoni tuu mke angejua kuna ma.la.ya. ameingilia ndoa yake na mumewe kingewaka halafu kikapoa. Huyu mchepuko asingepata gats zote hizi. Yaan amejua kumuendesha baba wa watu jamani. Yaan namhurumia mno. Mwenyezi Mungu amsimamie tu kwa kweli. Yaan libinti lichawi kbs hili. Yaan lilishapiga mahesabu likaona hapa ndo pa kutokea. Opportunist. Mpaka natamani mzee apime hao watoto DNA. yaani anaamini hakua anacheatiwa na mapichapicha yote haya. Mwanaume akiwa muungwana sana na mpole ndo haya hutokea.
Kwakweli na ana Moyo wa chuma wallah
Huyu ni wa aina yake. Mimi mwanaume ila sitegemei kuendeshwa hivi!Haki ya mungu hivi wanaume ndo mko hivi au ni mmoja tu,
Serious [emoji1][emoji1]Stop begging a lunatic.
But why lakini good nightCariha, Cariha, Cariha!
Yes. Scenarios zinatofautiana. Lakini asizidi kujikoroga. Arudi kwa mke mkubwa. Toka mwanzo ndo ushauri wangu.You are thinking very big!una upendo na huruma,huyu kaka yangu amekosea sehemu nyingi sana lakini sio muda wakumlaumu wala kumuona mpumbav.,ameomba ushauri,tumshaurini,nachukia watu wanaodhani ni perfect kumbe ukibahatika kuonana nao kwa kwa mfuga mbwa they are so pathetic.
Yaan hapo pa anataka kujiuaaa maaninaa napata hasiraa[emoji23][emoji23][emoji23] najiuaaaaaaaaaaaaaa mfieeewwww... yaan ningemletea klorokwini kbs. Mfieew.... nikishaonaga situation imenibana hv namfata mhusika wangu nagunguka nakua free kimbembe kwako...haya mambo yasikie tuu yasikukute[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Huyu anachangamsha genge mwanaume wa hivi ni marehemu walla, acha tupoteze mda na chakujadili hadith za abunuwasiMwitore ni muongo! Alimpata huyo mchepuko akiwa na miaka 20, wameishi miaka 18 na sasa ana miaka 42. Hapo piga hesabu angalikuwa na miaka 38. Pili fumanizi zote tangu watoto wanamwambia rudi kwenu, yupo tu. Tatu analala kwa bi mdogo bila bi Mkubwa kusituka miaka yote 18. Huyo ni mke au jini. Hii story ya kubumba akina Shunie cariha Espy angalieni anawachota
Bado unalideffend hili koroboi mzee wangu? Hapana aisee. Ootee mbeee. Oodee mandedeeeKwa nini ujue tabia ya mchepuko na sio hata mke wako, kwani mke naye si ni binadamu,
Ana tofauti gani na mchepuko?
Kama huu Uzi ulivyojaa malaika😂😂😂😂Kweli kaka usemacho.Humu sometimes wengine watatumia hyo km fimbo kukuchapa ktk baadhi ya maeneo yaani badala ya msaada au wengine wajifunze wanaishia kukunanga mpk baasi
Humu kuna majitu yanajiona malaika mnooo na wao ndo wamekamilika.
Mimi bado namuonea huruma huyu baba mnooo!sijui kwa nini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo hajaweka sawa. From nowhere tuu umpelekee mtu vitu hakuhusu? Ni mweupe mchepuko eh[emoji23]Mwitore ni muongo! Alimpata huyo mchepuko akiwa na miaka 20, wameishi miaka 18 na sasa ana miaka 42. Hapo piga hesabu angalikuwa na miaka 38. Pili fumanizi zote tangu watoto wanamwambia rudi kwenu, yupo tu. Tatu analala kwa bi mdogo bila bi Mkubwa kusituka miaka yote 18. Huyo ni mke au jini. Hii story ya kubumba akina Shunie cariha Espy angalieni anawachota
Kumbe umeliona Hilo kumbe😀Bado unampenda mmnooo tena sana si rahisi km unavyodhani kumtema.Unamchukia kwa kua unampenda
Sent using Jamii Forums mobile app