Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Hapa umeongea point...duniani tunaishi mara moja tu

120000 ndo umetumiwa? Hao watoto wako vipi?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Watoto umewasomesha na wanakazi lakini wamewahi kukutumia laki 1 na ishirini tu .... Daaahhhh kweli uwanaume Ni mateso
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hiyo ndiyo Raha ya uislamu..

Viongozi wa kikristo wakosee siku Mona waseme mwanaume wa kikristo aoe mke zaidi ya mmoja utaona vurugu lake [emoji23][emoji23]
Hata hii ya kuoa mke mmoja kwenye Ukristo hata sijui ilianzia wapi. Mbona Agano la Kale mashujaa karibu wote wa imani walikuwa na wake kibao?
 
Mkuu; hivi utaratibu wa kusilimu ukoje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii ni comment yangu Bora kabisa ya mwezi huu.

Imenikosha sana hasa hiyo NB[emoji91][emoji91][emoji91]
I'm very happy for you sister.
I Love you much.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…