Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Ikiwa hii story ni ya kweli (Kwasababu hatuna ushahidi na inaweza kuwa ya kutungwa kama zingine tu) basi:

Mimi nimekusoma vizuri ila nilichojifunza na ambacho huwa kipo wazi ni kuwa Mungu akikupa Mke mwema (Mke wa ujana wako) kisha ukamess up lazima uonje joto la jiwe

Umekosea kumuoa kabisa na kumpatia mitaji huyo Mke mdogo badala mpangilie pesa na kufanya maendeleo na Mke wako mkubwa wa halali.

Wewe sio wa kwanza, vijana tujifunze.

Pole Mzee.
 
Wewe ndio muongo, jamaa ni mkweli kabisa sema amependa/ ameikubali maku ya huyo demu/ mchepukoo[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tumeyapitia kiukweli, lakini haipo hivyo mamito. Bi mkubwa atapenyezewa umbeya hata akiwa anaishi London. Mtoto wa Bi mdogo awe shule jirani na awe anaenda kwao kijijini na siri isimfikie ni mkubwa, thubutu. Unless kuwe uchaggani hao huwa wanaweza kutunza siri. Yeye apate umbeya wa bi mdogo Lakini bi mkubwa upo katika cage peke yake, thubutu. Yeye anadai anao 2 nje ya ndoa wengine tuna 4 kwa taarifa yako.

Aidha ufume meseji ya mtu anayefakamia k yako ya mchepuko na akujibu ovyo usisepe!!!!! Hakuna hilo. Niishie hapo
 
[emoji6][emoji6][emoji6] acha bana...!
 
Nilijuaa tu lazima bimkubwa anajua ndo ukahalalisha mpk zamu!!na watoto ndo hapoo wamekupa laki na 20

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ameficha mno mambo. Hajawa muwazi ipasavyo. Ameplay kama malaika. Umri umeshasogea na hajui afanyaje. Cha kumshauri ni arudi jungu kuu akale penshen yake na wanawe. Huyo mchepuko apambane na hali yake
 
Pole sana kiongozi
 
Huyu mwanamke simtaki tena, lakini naona kama anawapambe,

Nipeni ushauri wapendwa,
Maana ninachokiona siku moja huyu mwanamke anaweza rudimentary hapa kwa gia ya watoto
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho.
Katika maisha kila mwanadamu ana mapungufu yake, japo Kuna waokudhihaki lakini amini Kuna mahali waliterereka kwa Mara moja au zaidi ya Mara moja.

Kikubwa elewa huyo ni mchepuko kwahyo hataka Kama umekaa naye zaidi ya miaka kadhaa bado hajawa na uhalali wa kuwa mke. Japo wewe ni upande wa pili hata dini Uislamu umeruhusu zaidi ya mke mmoja ila wanawake wote uliokuwa nao Wajue kwamba hawako peke yao. Kwa hapa ulifanya kosa la ufundi mchepuko kuupa hadhi ya mke.

Ila Unapokosea na ukijua kosa lako jua ndio mwanzo wa Tiba ya ugonjwa wako.

Nachokushauri usiuze nyumba, nyumba waachie watoto ndio urithi wao. Wewe toka hapo ikibidi pangisha. Usipomuachia hiyo nyumba atakusumbua mpaka ahakikishe umebaki maiti.

Pili mwambie mkeo ukweli una watoto wakubwa .pengine anafahamu kila kitu na kwakuwa hujamuonyesha kumdharau kwa namna yoyote na unayatambua majukumu yako. Ila kakupa mtego, anasubiri siku na saa ya mtego kuteguka, kwahiyo usisubiri mtego uteguke wenyewe, tegua sintofahamu hiyo wewe mwenyewe muombe msamaha mkeo.

La mwisho mandhari watoto ni wakubwa tafuta namna ya kuwasiliana na watoto wako Kama ni mahitaji muhimu watumie wao moja kwa moja siku hizi Kuna maendeleo hasa kwenye huduma za kifedha tafuta njia Bora ya kuwahudumia watoto wako. Huyo mama piga block kote wewe bakisha uhusiano na damu yako tu.

Mwisho huyo mwanamke usijaribu kumrudisha Tena kwenye maisha yako akirudi atakuvuruga kuliko Mara ya kwanza. Kwa Sasa anajua unakaribia kustaff tegemea ujio wake muda wowote.

Nakutakia kila lakheri kwenye kufanya maamuzi yako.
 

Ushauri wako ni mzuri ila kipengele cha kumwachia nyumba hapana. Huyo mwanamke atakuja leta wanaume hapo nyumbani,wakimchoka huyo mama watawalala hata hao mabinti. Na huko mbeleni atakuja kuuza kabisa hiyo nyumba kwani anaonekana hana hata misimamo ya kibiashara. Jamaa anaonekana ni mtu anathamini familia,auze hiyo nyumba hawezi kosa jinsi ya kufanya na hiyo pesa kusapoti hao mabinti kielimu na kimalezi.
 

Ushauri wako ni mzuri ila kipengele cha kumwachia nyumba hapana. Huyo mwanamke atakuja leta wanaume hapo nyumbani,wakimchoka huyo mama watawalala hata hao mabinti. Na huko mbeleni atakuja kuuza kabisa hiyo nyumba kwani anaonekana hana hata misimamo ya kibiashara. Jamaa anaonekana ni mtu anathamini familia,auze hiyo nyumba hawezi kosa jinsi ya kufanya na hiyo pesa kusapoti hao mabinti kielimu na kimalezi.
 
Unamaanisha mkeo kakuzidi miaka 20?
 
kama mkeo halali kishajua huna budi kurudi kwa mkeo mgange maisha yenu, hiyo nyumba hata ukisema utaua mtu jiulize utaishi milele?? kuna watu wamejenga mabangalow ya maana na ilibaki wahamie tu wakafa wakayaacha sembuse hiko kijumba cha kujisitiri wanao??


wewe ona hiyo ni stara kwa watoto wako na watoto wwngetambuana tu mana kuna leo na kesho wasijekutana barabarani wakatongozana au kupeana mimba ukaja kufa kwa moyo kushindwa kusukuma damu bure

achana na huyo bi mdogo achana naye achana naye tafta namna ya kumrudisha mkeo kwenye mood mana kosa ushalifanya mweleze umekubali umekosea na utakacho ni kuanza upya na kamwe huyo mke mdogo usimpe nafas wala usiifikirie hio nyumba mwambie tu ndio urithi wa watoto wako na ikitokea watoto wana shida na ww bas watoto wawasiliane direct na wewe na sio mama yao
 
mabinti washakua wanajielewa huyo baba afukuze huyo mwanamke yan akafanye upuuzi mbele sio kwenye nyumba yake yan amtimue na asisogee hapo wabakie watoto tu
 
Kwaupande wangu naona UMEROGWA ndomana imekua rahisi kufanya yote haya kwa mchepuko regardless uchafu wake wote ulioambiwa/onyeshwa nadhani ni wakati muafaka wakumrudia Mungu wako na uache kusumbukia ya duniani maana hutayamaliza zaidi ya kukumaliza,rudi kwa mkeo,msaada wa muhimu kwa watoto wako usikome

Kingsmann
 

[emoji23][emoji23][emoji23], dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…