Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Afu unamuita mwanamke kichaa na akati we ushavuka daraja kabisa ushatolewa milembe saivi we ni taira, zezeta juu ya uyo mchepuko....samahani kwa haya ni mwenendo wa matukio yako lakini bado unajiita mwanaume
 
Kwa mkeo ulifukuzwa? Hapa kuna stori ya upande mmoja tunanyimwa

Kwa umri wangu mdogo sijawahi kuona mwanaume mwenye wanawake zaidi ya mmoja akiishi kwa stress za mapenzi hivi tena sio na mke ila kimada tu

Anko tusimulie stori vile inatakiwa kuwa
 
Daah kaka mkubwa KUWA MWANAUME, haya maamuzi si yakiume, maana mengi yanaonesha hata wew hujui itakuwaje akirudi.

Broo chukua maamuz magumu, uza nyumba hiyo uzuri ushasema hamna mtu ambae yupo apo asaiv umeifunga tu, uza tafuta eneo jingine jenga, watoto wapangishie sehem wakirud likizo wakukute hapo wakat ujenzi unaendelea sehem ambayo hata wao hawatapaswa waijue hadi ikamilike.
 
Ahsante,
Tatizo nalo wapambe, maana ukishatangaza tu
Nauza wapambe hawa hapa, mala nyumba ina mgogoro mala nini, maana uuzaji wa nyumba ni mgumu, bora uuze gari
 
Kwa mkeo ulifukuzwa? Hapa kuna stori ya upande mmoja tunanyimwa

Kwa umri wangu mdogo sijawahi kuona mwanaume mwenye wanawake zaidi ya mmoja akiishi kwa stress za mapenzi hivi tena sio na mke ila kimada tu

Anko tusimulie stori vile inatakiwa kuwa
Nisimulie story gani tena, na kila kitu kipo hapa
 
Ahsante,
Tatizo nalo wapambe, maana ukishatangaza tu
Nauza wapambe hawa hapa, mala nyumba ina mgogoro mala nini, maana uuzaji wa nyumba ni mgumu, bora uuze gari
Asaiv watangazie wapambe kuwa migogoro imeisha, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Oooooh hapa sasa nimeona. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Huyo mwanasheria aseme nini hujui kwani, umekaa na mwanamke miaka mingi, umeamua kumuacha mlichochuma mnagawana nusu kwa nusu.

Hizo room 30 heri ukajenge sehemu nyingine. Hapo gawaneni uende kwako japo unaonekana king'ang'anizi.
 
Hawa raia walikukosea nini[emoji23]
 
Ameeeeeeeen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwanza huna uwezo wa kumwacha ndo maana unaomba neema ya Mungu asirudi, akirudi hauna jeuri, nyumba ulijengea mchepuko lakini una wasiwasi eti ataenda polisi wakushurutishe kwa lolote juu ya iyo nyumba🤣🤣🤣🤣🤣 huyo ni MCHEPUKO 🙉🙉 wanaume wengine wanapeana nyumba michepuko lakini kamwe hati haijulikani jina ni la nan, akizingua anamuondosha km mpangaji tu wa kawaida, yaan mze baba we kichaa chako ni Toleo jipya waingie maabara wakutafutie dawa upya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nmesoma sehem ya 1-3 ,nmeahirisha kwakua nmegundua ama ni Chai..ama Msimuliaji kaongezea mbwembwe sanaa.


Mlomaliza mpaka mwisho, hongereni.
Nilikua natafuta comment yako, hebu toa neno bas lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
afu mwitore kaficha tu.
ukwel n kwamba kwa mke mkubwa alipakimbia hakanyag kabsa huko.

kumbukeni kuna siku alituambia,ngoja aingie jikoni kwanza,ina maana anaishi peke yake kwenye hyo nyumba wakat huu ambapo watoto wako shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…