- Thread starter
- #1,341
Hiyo jeuri sasa hivi ninayo,Umemshauri utafikiri moyo wake unaujua....kwa maelezo yake we unaona ana jeuri ya kumfanyia ivo bi mdogo
Hilo sina shaka nalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo jeuri sasa hivi ninayo,Umemshauri utafikiri moyo wake unaujua....kwa maelezo yake we unaona ana jeuri ya kumfanyia ivo bi mdogo
Afu unamuita mwanamke kichaa na akati we ushavuka daraja kabisa ushatolewa milembe saivi we ni taira, zezeta juu ya uyo mchepuko....samahani kwa haya ni mwenendo wa matukio yako lakini bado unajiita mwanaumeNdugu Ahsante sana kwa mawazo na na ushauri,
Kuhusu hapo namba 1
Mama yangu hakunitaka niwe Na mchepuko,
Ila kipindi hicho nilikuwa bado kijana sana na ndio nimepata mtoto wa kwanza,
Alitaka tu kunifunza kama mzazi namna nzuri ya mtoto wa kiume kuishi,
Maana aliona kila nikitoka kazini break ya kwanza ni home
Sasa kwa uzoefu wake wa maisha aliona sio sawa
Ni bora nikitoka kazini niwe kwanza na vijana wenzangu huko kubadilishana mawazo
Kama umegundua hii tabia yangu moja kwa moja nyumbani labda Ndio imenifikisha hapa kutawaliwa na mke, maana mawazo mengi ya kihuni au namna ya kumnyanyasa mwanamke nilikuwa sina ( yaani ile roho mbaya ya kiume)
Namba mbili 2 hapo,
Mimi ni mpiganaji wa kutaka kumiliki mali
Ndio maana Alhamdulilah maisha yangu na uwekezajinimejitosheleza hilo sina wasiwasi nalo
Nikisema leo hapa Dar niuze Mali zangu zote leo nirudi kijijini, uhakika wa 700 m upo, na malipo
Nikiendeleza maaneo yangu angalau niongeze kama vyumba 30 vya wapangaji
Naiona 1 B, inaninyemelea,
Kwa hiyo uwezo wa kuachia mali yangu kumpa mtu ambaye kaniumiza NO tena nasema kwa sauti NO, nitaenda mpaka kushtakia kwa Mungu,
Maana mali yangu ninauhakika sijamdhulumu mtu yeyote,
Ni damu na nguvu yangu.
Hapo mwanzo nilisema kama huyu mtu asingeonyesha namna yoyote ya kutaka kuizungumzia nyumba hasa hasa wakati wa ugonvi,
Na kukawa na mwelekeo wa kuachana kwa roho yangu ilivyo ningemuachia nyumba,
Ila mpaka nimegundua ana mwanaume bado kweli nimwachie nyumba au tugawane nusu kwa nusu Hapana, big Hapana
Mwaka 2018, yalipozidi kuwa magumu na kunilaza polisi, kesho yake alikuwa kunitoa yeye na ndugu zake 3 dada zake wawili na Baba yake wa hiari wahapa Dar, ambaye kusema kwa kw a miaka yote niliyoishi na huyu mwanamke sijawahi hata kusikia akimzungumzia
Baada ya kinitoa, alishauliwa asilale nyumbani kwangu mpaka nitulie maana ninaweza kumfanyia kitu mbaya,
Sasa wakati tunaagana yule baba akashauri tufanye kitu kama kikao nyumbani kwangu kesho yake,
Tukaagana na mimi nikaridhia nikaona sasa ni muda mzuri wa kutoa yamoyoni yote mbele ya ndugu zake na huyo baba
Wakati mimi nimefika nyumbani, nikampigia yule mdogo wake kwa ajili ya matayalisho ya chakula kwa wageni kesho,
Sasa ile anapokea simu, nilitumia namba yasimu nyingine ambayo hakuwa nayo, ile ya kwanza ilivunjika kioo pale Polisi na ni Iphone na ya kazini kwangu!
Kusema kweli nilipishwa hiyo sh 700000
Ok sasa wakati anapokea ile simu kumbe kulikuwa na mjadara unaendelea pale yeye na mke wangu,
Nilimsikia mke wangu kwa sauti kubwa ile ya kupandisha hasa, akisema
MIMI NIMESHASEMA ILE NYUMBA NI YA KWANGU, YEYE AENDE ZAKE HUKO,.
Baadaye akanyamaza nadhani mdogo wake alimwambia ni mimi nipo kwenye simu,
Nikamuuliza mpaka namsikia huyo mtu anaropoka hivyo.
Yule dada akanyamaza, na mimi si kuendelea kumuuliza, nikampa maagizo ya kesho tu
Sasa ona kweli huyo mtu ni wa kumpa senti tano yangu.?
Kesho yake kwenye kikao yule mzee na wadogo zangu watatu wa kiume na dada zake 2 na majirani 5 na mjumbe, baada ya maelezo yangu marefu kusema kweli kila mtu alishika mdomo,
Lakini wale wadogo zangu watatu hawakuvumilia, walinyanyuka kwa hasira na kumkimbilia yule mwanamke na kutaka kumpiga watu wakaingilia pale na mimi kwa hasira niwaambia waache yule ni mke wangu,
Wakanielewa wakaacha lakini walilia sana,
Wakatoka nje huku wanalia na kusema, hatukujua kama kaka yetu unasumbuka hivi na huyu mwanamke,
Kaka ambaye umetusomesha umetutunza wote
Mbona mama...... ( bi mkubwa) hakuwa hivi, I I ingekuwa ni huyu kweli sisi tungefika hapa?
Mmoja tena akakurupuka kwenda kutaka kumpiga nikamkatalia, ni kikao kikaishia hapo,
Wakati namsindikiza yule baba aliniambia neno moja tu, KUWA MWANAUME!!!
Asubutuuu yako🤣🤣🤣🤣 utakufwa keshokutwa tu kwa kihoro jaribu kufanya ivo uoneHiyo jeuri sasa hivi ninayo,
Hilo sina shaka nalo
Kwa mkeo ulifukuzwa? Hapa kuna stori ya upande mmoja tunanyimwaHatujawasiliana toka aondoke kesho anafunga mwezi,
Namshukuru Mungu sasa hivi wala roho yangu haiumii tena, nimeshamwona taka taka, na kusema kweli na mchukia vibaya sana, usiku na mchana naomba asirudi maana sijui ninaweza kumfanya kitu gani
Ameshanitamkia kuwa yupo hapa kwa ajili ya nyumba tu sisi mimi,
Ameshanitamkia mpaka tugawane vyumba,
Daah kaka mkubwa KUWA MWANAUME, haya maamuzi si yakiume, maana mengi yanaonesha hata wew hujui itakuwaje akirudi.Mbona nimeashaamua kumwacha,
Na sasa hivi ana mwezi mzima hayupo hapa nyumbani, aliindoka kwa bila kunitaarifu,
Ila nasilkia yupo kijijini kwao
Na mimi naomba sana kwa mungu asirudi,
Sasa swali lako la mimi naamua nini,?
1- Watoto wote wapo shule, nina wasiwasi anategea warudi, likizo ya pasaka naye arudi
, ingawa kweli akirudi nitamshangaa sana,
Hapo itaanza mambo ya ugomvi tena, na tulipofikia sasa ugonvi ukianza watu wanatoka nje ( majirani)
2–nyumba sasa hivi nimeifunga hakuna mtu, ingawa bado naenda na ninalala huko wakati mwingine, sasa akirudi anikute nitamfukuza, au nitafunga nyumba Na kuondoka,
Sasa sielewiataenda kwa mjumbe au polisi, ingawa mjumbe tayari naye keshamchukia kwa tabia zake
3– sitaki mambo ya polisi tena kwenda kushtakiana,
Sasa sielewi kama polisi wanaweza kunilazimisha nimfumgulie nyumba au huo uwezo hawana, kama hawana natashukuru sana
4– labda atashawishiwa aende mahakamani,
Hilo hata mimi naona ni sawa tu,
Kama ana haki zake atapata huko
5– kama kuna wanasheria hapa ingekuwa vizuri
Kutupa darasa wanafikiri ni nini itakuwa outcome ya kesi hiyo
Ahsante,Mwitore.......una roho ngumu sana,pia nimvumilivu sana,
kwa micomment tuliyokuwa tunatupia humu lakini umekomaa mpaka ukamaliza story.
kwa ugumu huu,naamin hufi leo au hv karibuni.
Ushauri:Uza nyumba,ukiendelea kuwa nayo itakuuwa,
Baada ya kuuza,hifadhi 40 mil,ambayo itakusaidia kuwatengenezea biashara hao watoto wako watakapokuwa wamekosa ajira.
Afu mama mlezi sijaona comment yako uliyotoa neno, maana nimetazama wee sijaona hata,Waridhike tu kama sisi tulivyoamua kuridhika; daily tunakutana na tall dark guys ila ndiyo hivyo tena, tulishafanya maamuzi
Nisimulie story gani tena, na kila kitu kipo hapaKwa mkeo ulifukuzwa? Hapa kuna stori ya upande mmoja tunanyimwa
Kwa umri wangu mdogo sijawahi kuona mwanaume mwenye wanawake zaidi ya mmoja akiishi kwa stress za mapenzi hivi tena sio na mke ila kimada tu
Anko tusimulie stori vile inatakiwa kuwa
Asaiv watangazie wapambe kuwa migogoro imeisha, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ahsante,
Tatizo nalo wapambe, maana ukishatangaza tu
Nauza wapambe hawa hapa, mala nyumba ina mgogoro mala nini, maana uuzaji wa nyumba ni mgumu, bora uuze gari
Oooooh hapa sasa nimeona. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Kama nitapata muda kesho nitakujibu kwa kina
Kwa sasa hivi tu; maisha ya ndoa is not all about sex, maana it's as if mke ni chombo tu cha kumstarehesha mwanaume kitandani so lazima tuhakikishe kila siku mwanaume ana wa kumstarehesha bila hivyo atakufa. Halafu kuna muda majukumu yanakuwa mengi na hata hiyo sex hatufanyi daily. Huyo mume wa kushindwa kukuvumilia ubleed siku 3-4 kwa kweli aombewe tu apate na vitu vya msingi vya kumkeep busy mfukuze na umaskini. Kwenye maisha unajifunza tu kuridhika na hali yako/mtu wako. Kama ambavyo ukiwa huna hela unakunywa maji unalala huendi kuiba, kumbe unaweza ukaridhika na papuchi ya mkeo na ukamuacha tu ableed kwa amani bila kwenda kuoa mke mwingine. Sijawahi kusikia mume kafa kwa kukosa sex
Siku zote moyo u radhi lakini mwili ni dhaifu, ndiyo maana tunafundishwa kuitiisha miili (kuunyima mwili vitu vinavyovipenda). Mtu yoyote mwenye akili timamu lazima atajua kuucontrol mwili wake. Tatizo tunaiendekeza miili na ngono tangu tukiwa vijana, tukifika ndoani mwendo ni ule ule. Afu kwani sisi wanawake tukiolewa tu tamaa zetu zinakufa? Mbona tunakuwa waaminifu kwa wenzi wetu? Uaminifu ni chaguo, ni maamuzi period. Usipoamua, hata uoe wanawake nane na hakuna anayeumwa wala kubleed; bado utaenda kutamani na kulala na mwanamke mwingine nje.
N:B Mimi ni mke wa mume mmoja na ndiyo mke wake wa pekee hadi kifo kitutenganishe, na namshukuru Mungu tunaenjoy ndoa yetu. Na mapungufu yake yote; kwa kweli sipo radhi kumwachia mwingine ninamtaka tu awe wangu hadi kurudi kwa Kristo. Wazazi wangu wameishi ndoa ya mke na mume mmoja hadi kifo kimewatenganisha; nitafanya hivyo pia.
Mimi na mume wangu tumeunganishwa na Mungu kupitia agano la ndoa; hivyo mimi na yeye ni mwili mmoja, ni kifo tu ndiyo kinaruhusiwa kututenganisha sio mwanadamu. Vipo vya kuwapa watu na sio mume wangu, kwa sababu mimi na yeye tuna Agano, akija mwanamke mwingine automatically agano letu limekufa, ndoa kushney.
Huyo mwanasheria aseme nini hujui kwani, umekaa na mwanamke miaka mingi, umeamua kumuacha mlichochuma mnagawana nusu kwa nusu.Mbona nimeashaamua kumwacha,
Na sasa hivi ana mwezi mzima hayupo hapa nyumbani, aliindoka kwa bila kunitaarifu,
Ila nasilkia yupo kijijini kwao
Na mimi naomba sana kwa mungu asirudi,
Sasa swali lako la mimi naamua nini,?
1- Watoto wote wapo shule, nina wasiwasi anategea warudi, likizo ya pasaka naye arudi
, ingawa kweli akirudi nitamshangaa sana,
Hapo itaanza mambo ya ugomvi tena, na tulipofikia sasa ugonvi ukianza watu wanatoka nje ( majirani)
2–nyumba sasa hivi nimeifunga hakuna mtu, ingawa bado naenda na ninalala huko wakati mwingine, sasa akirudi anikute nitamfukuza, au nitafunga nyumba Na kuondoka,
Sasa sielewiataenda kwa mjumbe au polisi, ingawa mjumbe tayari naye keshamchukia kwa tabia zake
3– sitaki mambo ya polisi tena kwenda kushtakiana,
Sasa sielewi kama polisi wanaweza kunilazimisha nimfumgulie nyumba au huo uwezo hawana, kama hawana natashukuru sana
4– labda atashawishiwa aende mahakamani,
Hilo hata mimi naona ni sawa tu,
Kama ana haki zake atapata huko
5– kama kuna wanasheria hapa ingekuwa vizuri
Kutupa darasa wanafikiri ni nini itakuwa outcome ya kesi hiyo
Hawa raia walikukosea nini[emoji23]Pole kaka kwa masumbuko kwa mwanamke asiyekuwa na utu wala fadhila.Anataka nyumba iuzwe tafuta mteja aje kuinunua kwa pesa ulizompa wewe ili mgawane yeye aondoke uchukue nyumba yako.Tafuta mteja wa bei rahisi umpe nusu ya total amount ambayo itakuwa half the real amount.kwa mfano tafuta mteja wa 45 million usrme inalipwa installment 4,kumbe unatoa wewe pesa zake 22.5 m kwa instalment mbili akuondokee.Achana na kumfuatilia anaenda wapi anarudi lini,acha kujua nyendo zake.
Wewe ni MTU mzuri na strong you can survive this.pia watoto usiwatupe hawajui wanachofany kwa sababu ya mama yao.Walipie ada kama unaweza,hilo ni jukumu lako.kama unaona huwezi wahamishie kayumba wajue mama yao hana msaada kwao.
LA mwisho kaka ukishanunua nyumba iache kwa muda usikae hapo imalizie kidogokidogo.
Muda mwingi kaa na shemeji mkubwa ila uwe unaweka vikao vya familia na watoto uwaambie mapungufu yao yote ya kukutumia 120,000/ kwa miaka yote.Mwambie shemeji mkubwa aongee na watoto wajue wewe ni baba yao na umehangaikia hapo walipo.Mwisho kwa utaratibu na upole ukiona nyumban pametulia mueleze shemeji mkubwa kuhusu hao watoto wengine maana,shemeji mdogo akipigwa na maisha atataka kurudi aje akuharibie maisha nyumbani.
Hadi ulipofikia una mapungufu ya kibinadamu,.Amini kaka Mwitore humu muna watu wanamajanga wakiyasema utaona wewe huna shida..
Kuwa makin na single mother's ambao ni opportunist's watakufuata inbox ambao ni wafuatao:
1 Shunie..
2 Espy.
3 Carha.
4 Witness J
5 Mandenyi.
Maya Angelou ni mja mzito msamehe ni hiyo hali yake
Ameeeeeeeen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]With all due respect; hata tuipambaje hakuna siku mke akawa na thamani sawa na mchepuko. Tena kumuita mchepuko ni tunapunguza tu ukali wa maneno/kiubinadamu, ila Kibiblia anaitwa "KAHABA/MALAYA" Huku mke anaitwa "KITU CHEMA", na mke mwema anatoka kwa BWANA.
Mithali 18:22
"Apataye mke apata kitu chema; naye apata kibali kwa BWANA".
Mithali 23:27
"Kwa maana kahaba ni shimo refu.....
Mithali 6:26
"Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani".
Na mbele za Mungu kuna agano la ndoa tu; hakuna agano la wazazi wenza. Hata uzae na mtu watoto 100 na huku mkeo hujazaa naye hata mtoto mmoja; bado mkeo atabaki tu kuwa mke. Ndiyo maana hata Hajir pamoja na kuzaa mtoto na Ibrahim ilihali mkewe Sarah hajamzalia, bado thamani/heshima ya Hajir haikupanda akaitwa mke; aliendelea kuwa kijakazi tu. Tena afadhali hata ya mtu ambaye mlizaaga huko ila hamkufanikiwa kuzaa; huyo tutamwita mzazi mwenzako. Lakini ya kwenda kuzaa na mume wa mtu utaitwa kahaba tu period. So haiwezekani, in this life and the next, mke na mchepuko wakawa sawa.
Malaki 2:14
Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako"
Sasa mtende mke wa ujana wako; useme kisa unafanya kwa "heshima" humuonyeshei basi ni sawa tu. Lakini sio sawa at all, na utalipia gharama yake
Ndoa na iheshimiwe na watu wote; vivyo hivyo na Mke
N:B Sijacomment ili kumtia unyonge baba wa watu na mkewe mdogo; nilikuwa nasahihisha tu ulichokiandika. Mke sio sawa na mchepuko. Ukiona huwezi kumfanya binti wa watu mke; muache akae asubiri mumewe.
Kwanza huna uwezo wa kumwacha ndo maana unaomba neema ya Mungu asirudi, akirudi hauna jeuri, nyumba ulijengea mchepuko lakini una wasiwasi eti ataenda polisi wakushurutishe kwa lolote juu ya iyo nyumba🤣🤣🤣🤣🤣 huyo ni MCHEPUKO 🙉🙉 wanaume wengine wanapeana nyumba michepuko lakini kamwe hati haijulikani jina ni la nan, akizingua anamuondosha km mpangaji tu wa kawaida, yaan mze baba we kichaa chako ni Toleo jipya waingie maabara wakutafutie dawa upya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbona nimeashaamua kumwacha,
Na sasa hivi ana mwezi mzima hayupo hapa nyumbani, aliindoka kwa bila kunitaarifu,
Ila nasilkia yupo kijijini kwao
Na mimi naomba sana kwa mungu asirudi,
Sasa swali lako la mimi naamua nini,?
1- Watoto wote wapo shule, nina wasiwasi anategea warudi, likizo ya pasaka naye arudi
, ingawa kweli akirudi nitamshangaa sana,
Hapo itaanza mambo ya ugomvi tena, na tulipofikia sasa ugonvi ukianza watu wanatoka nje ( majirani)
2–nyumba sasa hivi nimeifunga hakuna mtu, ingawa bado naenda na ninalala huko wakati mwingine, sasa akirudi anikute nitamfukuza, au nitafunga nyumba Na kuondoka,
Sasa sielewiataenda kwa mjumbe au polisi, ingawa mjumbe tayari naye keshamchukia kwa tabia zake
3– sitaki mambo ya polisi tena kwenda kushtakiana,
Sasa sielewi kama polisi wanaweza kunilazimisha nimfumgulie nyumba au huo uwezo hawana, kama hawana natashukuru sana
4– labda atashawishiwa aende mahakamani,
Hilo hata mimi naona ni sawa tu,
Kama ana haki zake atapata huko
5– kama kuna wanasheria hapa ingekuwa vizuri
Kutupa darasa wanafikiri ni nini itakuwa outcome ya kesi hiyo
Naam kaniongoza tu kudondokea humu[emoji1][emoji1]Hahahaa roho wa bwana amekuongoza
Nilikua natafuta comment yako, hebu toa neno bas lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmesoma sehem ya 1-3 ,nmeahirisha kwakua nmegundua ama ni Chai..ama Msimuliaji kaongezea mbwembwe sanaa.
Mlomaliza mpaka mwisho, hongereni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah lolUnawashwa eneo gani tukukune[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Kaka mwitore,uza nyumba ila Mnunuaji uwe we we umzunguuke iwe yako shem yeye umlipe aondoke.Nisimulie story gani tena, na kila kitu kipo hapa