Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Wewe mshauri huyo babu yako acha kujifanya malaika Basi. Bichwa wewe[emoji1][emoji1]
Huyo mzee wako totally ametudanganya stori nzima

Aseme nini kilitokea upande wa pili, bila hivyo wengi wataishia kusema amejitakia
 
Huyo mwanasheria aseme nini hujui kwani, umekaa na mwanamke miaka mingi, umeamua kumuacha mlichochuma mnagawana nusu kwa nusu.

Hizo room 30 heri ukajenge sehemu nyingine. Hapo gawaneni uende kwako japo unaonekana king'ang'anizi.

Hakuna cha kugawana nusu kwa nusu,ni utashi wa kibinadamu utumike tu,kwani huyo ni mke halali? Huyu baba kwenye hii issue kashikilia mpini muda siyo mrefu huyo bi mdogo anaenda kuwa chokoraa haswa
 
Bi mkubwa alishajua, unajua jitihada za michepuko kujitambulisha wenyewe kwa kina mama mjengo eti alimuwekea chupi ya mtoto kwene bag🤣🤣🤣🤣🤣 ishu ya kupewa 120000 na watoto ilianzia apo
Tatizo linaazia Hapo mpango wa kando kaupa wadhifa wa mke. Kwamazingira yasiyoeleweka na yeye akahalalisha haramu ikawa halali.
 
Pumbavu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samahanini
 
Hakuna cha kugawana nusu kwa nusu,ni utashi wa kibinadamu utumike tu,kwani huyo ni mke halali? Huyu baba kwenye hii issue kashikilia mpini muda siyo mrefu huyo bi mdogo anaenda kuwa chokoraa haswa
Nakazia
 
Umemshauri utafikiri moyo wake unaujua....kwa maelezo yake we unaona ana jeuri ya kumfanyia ivo bi mdogo
Kiukweli jamaa kafa, kaoza, kazikwa kwa mchepuko alioamua kuupa heshima ya mkemdogo, na hata Yesu akirudi mara ya 3, hawezi kumfufua!

Aisee, shetani nipitie mbali nisitumbukie huko nipende mchepuko hivyo!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kama ulisha invest kule kama mimi nilivyoinvest ingukuwa wewe ungefanyaje?
Halafu kumbuka serikali ipo na sheria zipo!
Serikali na sheria gani zinasimamia mahusiano ya mchepuko wa mume wa mtu kwa makubaliano ya mapenzi mkazaa, kwa mapenzi yako tu ukaamua ujengee mchepuko afu uogope serikali basi ktk story yako yapo mengi ujayaweka wazi....
 
Familia ya hiyo demu wameshirikiana kumroga sio peke yake
 
Ndugu yangu, huu ushauri wako, ule wakwanza ambao ulielezea kwa kirefu, nimeuona ni mzuri sana ( one of the best),naufanyia kazi,

Mkuu kwa nini unajiumiza sana,hati ina majina yako,bi mdogo siyo mke halali,yaani kwa nini ujiuzie? Tafuta mteja kabisa akupe hela nzuri kama utahamua kumpa robo ya pesa its okay akafie mbele huko,si ameamua kuishi kama shetani
 
Ni mkubwa sikuwahi kumtelekeza kamwe, namwangalia kama mboni ya jicho langu, sitaki hata augue, akiwa hata mafua tu roho yangu inaumia sana,
Tofauti yake na yule, ananisifia sana kwa namna nilivyowasomesha watoto wake,
Na namna ninvyoijali familia yake,

Hata miaka tuliyaishi kwenye ndoa anajivunia sana, akiangalia wenzake wakati wa usichana na leo, yeye wanamheshimu,
Na wenzake wengi wameachika huko,

Nampenda vile vile, ni kama yeye ameibeba famili, kuanzia kwenye vishughuli mbalimbali yeye ndio msemaji,Mimi siwezi kuzungumza hadharani, lakini yeye hata watu wapo 1000
Anazungumza
Mtaani kwetu yeye ni leader wa vikundi vingi tu
,
Na akiwa na wenzie ana feel very proud kunitambulisha kwa wenzake

Kuhusu kwamba nilikuwa napika, ni kweli kule naenda, na kwa kuwa watoto hawapo napika mwenyewe, na kwa mazingira ya kule ni tulivu sana, basi muda mwingi , nakula .nakunywa, nalala naoga, nasoma, magazei, naingia mitandao, ya kijamii,
Na muda wote nipo boxer tu

Mpaka wamama wa kule wananishangaa mimi ni mtu wa aina, hata mwanamke siingizi!!!
 
Huyu mzee hana akili, ndio wale wahuni waliozeeka na hawana busara wala akili... ajielewi, apambane na maisha yake, awezi kutumia bundle zetu kumbe story ya kitoto hivi? Na yeye anaona kaandika vya msingiii na uzee wake, daaaah kumbe unaweza zeeka na akili hazimo kichwani, sad..
 
@mwitore
 
Kama ulisha invest kule kama mimi nilivyoinvest ingukuwa wewe ungefanyaje?
Halafu kumbuka serikali ipo na sheria zipo!
Mkuu level ya investment inategemea. Nilivyosoma sioni kama uliinvest sana ila ulimchosha na madeni. Imagine unauza nyumba ambayo mtu alikuwa anakaa na ni mchepuko. Ingelikuwa ukweli si story ya kubumba ningalimuona mchepuko wako ni wife material kukubali huo uporomokaji kutoka hero to zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…