Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Nimewaza nafikiri huyu bwana kuna uwezekano mkubwa kuwa alitelekeza familia kubwa labda ndio maana hii ya huyu bi mdogo inamuuma sana haweza move on.
Ndo manake. Alitelekeza familia huyu. Kinachomuuma atakua aliondoka na shombo kibao kwa mkewe sasa akiwaza dunia imemvua nguo balaa
 
Miranda I, hilo halina shaka, najiamini,
Ndugu yangu nimetumia kila mbinu, asiende huko, ikiwa ni pamoja na kumfukuza ndani mwangu,amewahi kulala nje mala mbili,

Nimeshamwitia mjumbe, mpaka majirani,
Nimeshapiga,
Nimeshatoa taarifa kwa wazazi wake,

Hebu fikiria hili,
Kwa zaidi ya miaka mitano tumekuwa tukipingana kuhusu biashara ya kusafiri
Na akisafiri ndio hivyo anakaa wiki anarudi tnagombana sana,

Lakini leo unathubutu kwenda kukodi shamba ulime, na ni hukohuko Moro ambako sitaki uende?
Unafikiri hii ni akili kweliya binadamu
Hapana huyu ni kichaa tayali
 
Mzee wangu ashakum si matusi, naomba niseme tuu mwenye kichaa ni wewe sio huyo mchepuko.

Sababu ziko wazi kabisa. Hebu kaa chini tafakari kwa kina na utajua mwenye shida huko upstairs ni wewe na si huyo mchepuko wako.

Mzee wangu wewe ni mwanaume, hebu fanya maamuzi ya kiume.
Unforgetable
Umemaliza mkuu
 
Juzi kuna rafiki yangu,staff nwenzangu kanionyesha text kaulizwa unanpenda,akajibu akaulizwa unanpenda nijiendeleze kielimu?nikacheka
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwahiyo akimuendeleza hiyo ndio inakuwa kipimo Cha upendo wa huyo rafiki yako kwake ...enhee alichukua hatua ipi baada ya hapo!?
 
Yaani sijui kwanini naamini kuna kubambikiziwa hapa. Nawaona majamaa wa kkoo kbs walishafanya yao. Hapa utapeli tu. Na watoto walivyolaanika wameshaanza ukurubembe wa mama yao. Mke halali milango ya riziki ikazidi kufunguka juu yako. Lolotelo baya likakukose.

Yaani kiujunla hapa hakuna ndoa. Piga spana mchepuko huo. Tena na watoto wake. Kama wanakukosea adabu wewe wa kazi gani. Hamna ndoa yoyote hapo. Ndoa ya kikristu ni moja tu. Na kama ndo ya katoliki tembea kifua mbele.

Zaidi nakuomba uza mjengo na kila kitu ambacho huyu mwanamke alikua associated nacho. Bajet nzima peleka mezani kwa mke halali. Fanyeni mahesabu na mipango. Uzaaa kila kituu shwnzi. Kanunie eneo sehem ya mbali kabisa. Tena weka majina ya watoto wa mke mkubwa kukomesha kbs. Mpk awe na adabu ndo uangalie namna ya kuwasaidia. Yaan mahawara bwana... yaani usimpe hata mia. Au nna roho mbaya mimi jamani?
Daa, hizi spana unazopiga kwa bi mdogo hataki mchezo
 
kuna wapumbavu wachache wamebahatika kusoma na kupata kazi bila kukaa mtaani

mahusiano ndo wameanza basi wanahisi wamemaliza kila kitu

mtu hata kulogwa hajawahi unategemea atashauri nn
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ila nlichokigundua we jamaa una ufala fulani, mtu ni mchepuko, viwanja ulinunua wewe ili umpe hifadhi saivi unahangaika sjui mpelekane ustawi mara unamuogopa jamaa anayemkaza mchepuko wako, mara una bond na watoto lakini mkizinguana na mchepuko nao waja juu eti toka kwetu khaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu unaogopa mchepu adi unaenda polisi
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unajua ni jina la mtu kule ukonga[emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16] Hilo mbona Ni jina maarufu Sana Kuna mtunzi wa vitabu Alikuwa anatumia jina Hilo Kama character yake katika masimulizi Yake na simulizi zake zilikuwa nzuri Sana
 
Fanya maamuzi ambayo hayatakugharimu,inawezekana mikono yako inampiga,na huenda mdomo wako unamkataa,vidole vyako vinaandika kumkataa hapa JF lakini moyo wako unamkubali.Kama unamtaka kimapenzi vumilia vitimbia vyake.
 
Yes. Scenarios zinatofautiana. Lakini asizidi kujikoroga. Arudi kwa mke mkubwa. Toka mwanzo ndo ushauri wangu.

Yaan ktk maisha hakuna kitu napenda kama siko aware na jambl halafu mtu anifate aniombe msamaha na kuelezea kila kitu. Huwa nakua mwelewa sana. Nasamehe kiroho safi. Hawa wake waheshimiwe jamani. Waheshimiwe sana. Na hata single mothers pia tusiwatukane. Wengine ni wajane. Waume zao walishafariki. Kuwa single mother si dhambi wala makosa. Kila mtu ana madhaifu yake. Tuwaachw tu. Isiwe kama vile ni dhambi kuwa single mother. What if wengine hapo wameoleea ila Michepuko kama hii ndo imeingilia ndoa za watu?

Hapa adui ni huyu mchepuko. Anajua mwenzie ana mke. Naamini kabisa ametumia nguvu za giza. Na kama ndo yuko local hivyo ndo kabisaa.... kuna wanawake wakishaonaga mwanaume ana gari wanapagawa kabisa. Wanakosa hata pa kuhemea. Eti nina mimba yako ukiniacha najiua.. mamake wakambo... yaani nawish ningekua na urafiki na huyu mzee.. huo mchepuko ungenitambua. Na ningemleta mpk mke mkubwa halaf ajiue kama alishachoka kulalia huo mkeka.

Lakini pia mzee hapa hajafunguka.. alianzaje kupeleka vitu from.nowhere kama si qlishaanza vutika na binti pasipo mshirikisha jamaa... kwann hakumuuliza jamaa yake binti ana madhaifu gani hadi kumfukuza. Yaan huyu alikuja town maisha ni mbele kwa mbele.
Pending Ahsante kwa maswali yako na ushauri, lakini vile vile kuingia kwenye hisia zangu, wewe ni mtu,
Hapo juu umezungumzia kidogo kuhusu single Mom, hivi maana ya single mom ni nini, mimi nafahamu ni mama mwenye mtoto, analea peke yake, iwe yupo, alikufa, walitengana. Au Baba hajulikani,
Lakini kiufupi hana mume, sasa ikitokea hivyo ni kwamba unakuta hana mahusiano popote,

Au mahusiano yake yeye ni kwa kwa vijana wasi na wake yaani masingle vilevile,
Au kama ni single maza mtu mzima anakuwa na mahusiano na adult man wa namna gani ambaye hana mke
Je katika mahusiano hayo adult man mwenye mke, naye haitwi mchepuko,?

Au sifa kuu ya single mum na mchepuko ni nini?

Kuhusu swali la tatu la yule jamaa yangu kutonishtua
Ni kwamba Huyu binti pale hakuwa na muda mwingi kihivyo kiasi cha yeye kuifahamu tabia yake, isitoshe bado hata yeye binti alikuwa bado mdogo,

Na binti alikorofishana na mwenzake akaamua kuondoka, labda alianza kuwa na kiburi baada ya kunipata mimi, sijui,
Na inawezekana hata mimi kwa muda alio nisumbua, labda ndio kipindi alipata huyo mwanaume,

Inaonesha ana tatizo la kupenda sana mpaka kumsahau anayemlea na aliyefikisha hapo alipo

Kingine, naomba mkumbuke., huyu amekuja kuharibika kipindi kifupi sana nadhani kwa mambo makubwa ni kama miaka 6 iliyopita, otherwise, maisha yakikuwa mazuri sana,
Naweza kusema alikuwa na vigezo vyote vya kuwa mke wa mtu,

Na ninachoona mimi ni baada ya kuingia na kuwa mmiliki wa nyumba kama akina mama wengi tuliowakuta kule, na lile eneo naweza kusema lilikuwa ni eneo la middle class

Sasa wale middle class wa mama labda walikuwa wanamshangaa Naki’s za kumpa vineno neno vya kama hafit nao,

Maana kule mtaani mbona tuliishi vizuri sana,

Lakini kitu kingine ninachofikiria tungekuwa bado tumepanga inawezekana maelewano bado yangekuwa ni mazuri,
 
Maneno mengi umetunga, kama kufulia basi ni kumuacha huyo mwanamke labda ndio kufulia kwenyewe, lakini nipo njema, kazi ninayo,
Wala Watoto hawajanikimbia, wala wakubwa wananipenda kinoma,

Ila wakati mwengine kuwa Positive tu
Harafu uwe unatafakari ni nini binadamu wengine wanakuambia, huwezi kujua kila kitu hapa duniani, uwe unachukua na ya watu wengine,
Hasa hasa ukiona wamekuzidi umri,
Huwa wana jambo zuri moja hata kama yale 19 ni ya ovyo kwako
Stori yako ume hide vitu vingi sasa KWA tutaojua ku read between lines sema ukweli usaidike acha kuficha Mambo na usitake kulazimisha Mambo, umeachwa baada ya kufulia why siku zote asikuletee mapicha. Mimi kwa swala la wanaume wahangaikaji Kama wewe no mercy at all,kabisa, chakukushauri mrudie muumba na zidisha sala kwa wingi Mungu ni warehema akusaidie bila hivo utakufa siku si zako kwa kweli, hizi case nimeshuhudia nyingi mtaani bad ending ya wanaume ka wewe. Wewe mrudie Mungu zidisha ibada bila hvo acha kujifariji uzee utakutesa sana
 
Kwa muda aliokaa nae hiyo kiserikali ni ndoa tayari, anatakiwa kufuata utaratibu kisheria kumuacha la,si hivyo itakula kwake.
Mkuu hapo hamna ndoa mpaka ile yakwanza ifutwe
So mpaka hapo ni bilabila
Kumbuka mleta mada ameshafikishana na kimeo chake kwaa mchungaji
 
Back
Top Bottom