Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Huyo mzee wako totally ametudanganya stori nzima

Aseme nini kilitokea upande wa pili, bila hivyo wengi wataishia kusema amejitakia
Mzee anadaganya anataka tu kufarijiwa kuhusu mchepuko na kumpa matumaini, na chepuko limemloga then limemfilisi then kala corner. Hafu ujue kwa mke mkubwa hataki lolote kuhusu huko so it seems mke mkubwa alimtelekeza Long.
 
Wewe akili zako siyo nzuri,daima nitakwambia ukweli. Either huna malezi mazuri au kaelimu ulichonacho kanakufanya ujione unajua sana
Hana elimu yoyote ya kujiona ni tofouti na binadamu wengine, amekuwa ni mdada wa kukejeli sana watu humu ndani mdada mwenyewe mbaya anazeekea nyumbani hana hata mtoto so huu uzi umemzidi kimo mleta mada afanye kumpotezea
 
Huyu mzee hana akili, ndio wale wahuni waliozeeka na hawana busara wala akili... ajielewi, apambane na maisha yake, awezi kutumia bundle zetu kumbe story ya kitoto hivi? Na yeye anaona kaandika vya msingiii na uzee wake, daaaah kumbe unaweza zeeka na akili hazimo kichwani, sad..
Mzee wa kupigwa makonzi huyu hata mimi ningekuwa mchepuko Wake ningemnyoosha Hana chembe ya uanaume huyu
 
Sasa baada ya kupokea lile fungu la kwanza
30m, mimi haraka sana nikaenda kupunguza madeni yangu, hata hivyo Hays kwisha,

Na yeye nikamwita kwamba tukae chini ili ile 15m yake tuipangie matumizi ya kwanza kabisa,

Ushauri wangu ilikuwa tununue kiwanja kwanza,

Sehemu ambayo sio ghari sana, Hapo sasa ndio kimbembe kilipoanza,

Ila kufupisha story nilimwambia basi wewe unataka tuanze na nini? Akanijibu hiyo pesa anataka afanyie biashara wakati ujenzi unaendelea, nikamwambia biashara mbona tumefanya na tunasnguka, hata hivvyo sio mbaya wewe kutaka kufanya biashara lakini ni bora tuwe na kiwanja kwanza.

Kusema kweli zogo lilikuwa kubwa ananipayukia na mimi natumia ubaba wangu sasa kulazimisha, ndio alipoamka kwenye kiti(tulikuwa tumekaa nje na watoto wanacheza hapo nje).

Alichoniambiakwa sauti kuu na kali ni kwamba

TOKA HAPA NA VISENTI VYAKO UNAVYONIPAGA,

Du ! Leo naambiwa visenti, yaani huyu mwanamke nimekopa pesa, nimempeleka ufundi cherehani, nimemfungulia saloon , grocer, mghahawa, dala dala, mtaji wa kuku wa kisasa.

Anaanguka namyanyua, anakopa vicoba anashindwa kumaliza nammalzia,

Nalipa watoto karo kwa mwaka jaribia Mil 6 na bado watoto ndio kwanza wanasafari, kwa nini ananivunjia heshima namna hii?

Kusema kweli sikujua kama niliokota jiwe au mti au ufagio, nimpige nao akawahi kukimbia, na mimi nikaanza kumfukuza, kama sijamrushia kila kitu ambacho mpaka leo sikijui, nikaanguka chini, yeye akaendelea sijui wapi , kusema kweli sikumwona,
Kuangalia nyuma naona watoto, kumbe na wenyewe wakawa wameshika mawe wanataka kunipigia nayo, nikaamka ili niwafukuze nikaenda chini tena , sasa hapo ndio nikaanza kusikia maumivu, na watoto wale kule wamesimama, sasa na wenyewe wanapaza sauti,
KWA NINI UNAMPIGA MAMA YETU SI UENDE KWENU!!!!!

Nitaendelea
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pole
 
Mzee umesema ukistaafu una Kama 250m? Naomba nikufariji pindi utakapostaafu umehangaika Sana na majukum ya hapa na pale unahitaji kutulia Sasa na kula mema ya nchi...mi sihitaji kuzaa ucjal
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] makubwa haya, Anna pita haà haa unataka kumfanya nini baba wawatu!
 
Mimi nachoshangaa anasema wapo vizuri na bi mkubwa, sasa kwa nini asirudi kwa mkewe anaishi huko kama mkiwa? Na huyo mke anaruhusu tu mume kuhama nyumba?
Mkuu rudia kusoma huyu bwana sasa hivi yupo kwa mke mkubwa toka yule kimeo wake aondoke kwaiyo hichi kisa anasimulia akiwa kwa mke wake halali
 
Aah kumbe karudi kwa bi mkubwa; sasa mbona anaonekana ana stress hivyo, na hizo stress si atakuwa amezihamishia kwa mkewe sasa? I can't imagine unakaa na mtu ndani ila moyo, mawazo na akili yake vipo kwa mwanamke mwingine
Mkuu rudia kusoma huyu bwana sasa hivi yupo kwa mke mkubwa toka yule kimeo wake aondoke kwaiyo hichi kisa anasimulia akiwa kwa mke wake halali
 
Yaani kwa heshima niliyonayo kwa mke wangu na upendo Anaonionyesha, ni nguvu tu za Roho mtakatifu ndio zitaniongoza nimtamkie hilo neno, Mimi mwenyewe kama binadamu, naona siwezi
Mkuu.. mbona kwa maono yangu naona kabisa hamko sawa na mke mkubwa?
 
Aah kumbe karudi kwa bi mkubwa; sasa mbona anaonekana ana stress hivyo, na hizo stress si atakuwa amezihamishia kwa mkewe sasa? I can't imagine unakaa na mtu ndani ila moyo, mawazo na akili yake vipo kwa mwanamke mwingine
Sijajua kwanini ateseke kiasi hichi hata kama ni wivu huu wake umezidi maji yalisha mwagika hapaswi kujilaumu tena hapa anatakiwa afungue ufahamu wake asonge mbele kama shida ni ile nyumba kwanini asiuze akafanya mambo mengine?
 
Wewe umevurugwa,kutwa kuombea anguko la wanaume. Na tutaendelea kuishi na nyie tunavyotaka kwani tangu kuumbwa kwa Dunia mlishachagua upande wa shetani
Nimevurugwa mimi au wewe?
Kumbe na wewe ni mwanaume!
Sasa mbona una stress za wanaume?
Na mkiendelea hivyo basi mtazidi kutangatanga Sana.
 
Kwa kweli anatia huruma, ni amevurugwa kupita maelezo.
Sijajua kwanini ateseke kiasi hichi hata kama ni wivu huu wake umezidi maji yalisha mwagika hapaswi kujilaumu tena hapa anatakiwa afungue ufahamu wake asonge mbele kama shida ni ile nyumba kwanini asiuze akafanya mambo mengine?
 
Kwa Mwamposa akagalagazwe kwenye mafuta tena wayapashe moto kidogo yawe ya uvuguvugu!

Everyday is Saturday................................😎
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila caraha wewe ni mkarahishaji sana,mie huwa nasoma comments zako nacheka tu watu walivyo bize na kukujibu utazani wabunge wa ndugai wamefarakana bungeni [emoji3][emoji3]
[emoji1][emoji1][emoji1]sasa nawafanyaje maoni yangu hawakubali wananishambulia bure na matusi na Mimi sijali kabisa nikashaandika imetoka navuta glass yangu ya maji nakunywa taratibu, mbaya zaidi hata ka comments zangu positive jitu linaanza matusi wao.
 
Pending Ahsante kwa maswali yako na ushauri, lakini vile vile kuingia kwenye hisia zangu, wewe ni mtu,
Hapo juu umezungumzia kidogo kuhusu single Mom, hivi maana ya single mom ni nini, mimi nafahamu ni mama mwenye mtoto, analea peke yake, iwe yupo, alikufa, walitengana. Au Baba hajulikani,
Lakini kiufupi hana mume, sasa ikitokea hivyo ni kwamba unakuta hana mahusiano popote,

Au mahusiano yake yeye ni kwa kwa vijana wasi na wake yaani masingle vilevile,
Au kama ni single maza mtu mzima anakuwa na mahusiano na adult man wa namna gani ambaye hana mke
Je katika mahusiano hayo adult man mwenye mke, naye haitwi mchepuko,?

Au sifa kuu ya single mum na mchepuko ni nini?

Kuhusu swali la tatu la yule jamaa yangu kutonishtua
Ni kwamba Huyu binti pale hakuwa na muda mwingi kihivyo kiasi cha yeye kuifahamu tabia yake, isitoshe bado hata yeye binti alikuwa bado mdogo,

Na binti alikorofishana na mwenzake akaamua kuondoka, labda alianza kuwa na kiburi baada ya kunipata mimi, sijui,
Na inawezekana hata mimi kwa muda alio nisumbua, labda ndio kipindi alipata huyo mwanaume,

Inaonesha ana tatizo la kupenda sana mpaka kumsahau anayemlea na aliyefikisha hapo alipo

Kingine, naomba mkumbuke., huyu amekuja kuharibika kipindi kifupi sana nadhani kwa mambo makubwa ni kama miaka 6 iliyopita, otherwise, maisha yakikuwa mazuri sana,
Naweza kusema alikuwa na vigezo vyote vya kuwa mke wa mtu,

Na ninachoona mimi ni baada ya kuingia na kuwa mmiliki wa nyumba kama akina mama wengi tuliowakuta kule, na lile eneo naweza kusema lilikuwa ni eneo la middle class

Sasa wale middle class wa mama labda walikuwa wanamshangaa Naki’s za kumpa vineno neno vya kama hafit nao,

Maana kule mtaani mbona tuliishi vizuri sana,

Lakini kitu kingine ninachofikiria tungekuwa bado tumepanga inawezekana maelewano bado yangekuwa ni mazuri,
Achana nae.mfute kichwani.tulia na mwanamke mmoja tu mkeo wa ndoa.focus kulea watoto Na mahitaji yao wakifikia kujitegemea waache.
Hiyo nyumba kama INA jina lako kwenye hati iuze,inaonesha anaweza rudi Mda wowote mambo yakimuharibikia na ukimkabidhi anauza na pesa anakimbia nazoo.hapo itapelekea kuharibika kwa future za mabinti mliozaa maana mama hana akili na hazijatulia.
Nyumba iuze kisha wanunulie watoto nyumba iliyo tayari ya bei nafuu kama mill 50 kisha wakalishe chini wape darasa refu hasa mkubwa..waambie hiyo nyumba ya kwao si ya mtu yeyote.. umewanunulia wao.,wafungulie hati I some majina yao tu uwashikie.na wakirudi kutoka shule wafikie hapo kama wakikosa pa kwenda.waekee kila kitu ndani na funguo uwakabidhi.
Kuhusu mahitaji yao na pesa Utakua unawatumia kila inapohitajika.

Wewe rudi kwa mke wako.jumuika na familia yako.tulia ule uzee kwa amani

Huyo mwanamke apia kutoonana nae tena.na akitaka nyumba mwambie iko pale NI ya watoto haiuzwi.jiweke mbali nae mtu alive desperate na Mali hashindwi kukufanya lolote hata kukuua.

BTW mkuu unaweza nkopesha laki tatu nfanyeje biashara..
Serious
 
Pending Ahsante kwa maswali yako na ushauri, lakini vile vile kuingia kwenye hisia zangu, wewe ni mtu,
Hapo juu umezungumzia kidogo kuhusu single Mom, hivi maana ya single mom ni nini, mimi nafahamu ni mama mwenye mtoto, analea peke yake, iwe yupo, alikufa, walitengana. Au Baba hajulikani,
Lakini kiufupi hana mume, sasa ikitokea hivyo ni kwamba unakuta hana mahusiano popote,

Au mahusiano yake yeye ni kwa kwa vijana wasi na wake yaani masingle vilevile,
Au kama ni single maza mtu mzima anakuwa na mahusiano na adult man wa namna gani ambaye hana mke
Je katika mahusiano hayo adult man mwenye mke, naye haitwi mchepuko,?

Au sifa kuu ya single mum na mchepuko ni nini?

Kuhusu swali la tatu la yule jamaa yangu kutonishtua
Ni kwamba Huyu binti pale hakuwa na muda mwingi kihivyo kiasi cha yeye kuifahamu tabia yake, isitoshe bado hata yeye binti alikuwa bado mdogo,

Na binti alikorofishana na mwenzake akaamua kuondoka, labda alianza kuwa na kiburi baada ya kunipata mimi, sijui,
Na inawezekana hata mimi kwa muda alio nisumbua, labda ndio kipindi alipata huyo mwanaume,

Inaonesha ana tatizo la kupenda sana mpaka kumsahau anayemlea na aliyefikisha hapo alipo

Kingine, naomba mkumbuke., huyu amekuja kuharibika kipindi kifupi sana nadhani kwa mambo makubwa ni kama miaka 6 iliyopita, otherwise, maisha yakikuwa mazuri sana,
Naweza kusema alikuwa na vigezo vyote vya kuwa mke wa mtu,

Na ninachoona mimi ni baada ya kuingia na kuwa mmiliki wa nyumba kama akina mama wengi tuliowakuta kule, na lile eneo naweza kusema lilikuwa ni eneo la middle class

Sasa wale middle class wa mama labda walikuwa wanamshangaa Naki’s za kumpa vineno neno vya kama hafit nao,

Maana kule mtaani mbona tuliishi vizuri sana,

Lakini kitu kingine ninachofikiria tungekuwa bado tumepanga inawezekana maelewano bado yangekuwa ni mazuri,
Kuhusu single mom.. kuna wanaowasema vibaya hapo juu. Haihusiani na mada yako

Pili... naomba tena uelewe... HUJAWAHI KUPENDWA NA HUYO MALAYA. Kwanini hutaki kukubali? Yaani mimi mwanamke nakuambia ukweli halafu unakataa? Umewahi ona wapi MCHEPUKO akampenda mume wa mtu mapenz ya kufa kuzikana pasipo mali? Yaan from nowhere tuu eti hina maisha, huna mbele wala nyuma halaf eti mwanamke akubali kuwa spare wakati anajua kina mainchick? Tena achilia ndoa tu. Tukiwa wapenzi na nikajua kuna main basi jua nakuigizia. Huo ndo uhalisia. Ameanza kubadilika BAADA YA KUPATA ALICHOKITAKA. hakuna cha mashost wala nini. Tena lishamba kweli. Cheap kabisa.

Kwa nyumba uza kabisa nakusupport... hii hela tia kwenye akaunt ya mkeo yote halafu wewe ndo ufate nyuma. Acha huu ujinga. Hapa hakuna complications zozote. Hakuna mapenz yoyote hapo.

Ila kila nikiimagine jinsi hilo limchepuko lilivyo lishamba nashindwa kbs kutamatisha... unayo makosa yako na mchepuko unayo yake kuingilia maboma ya watu. Nachosema ashukuru tu me si nduguyo. Ningekabamizaaaaaa...
Mungu azidi mbariki Mother house...
 
Huyu mkewe atakuwa wa huko msoma, na huyu baba ni wa Kanda ya ziwa huko huko ingekuwa Machame dada asingekuwa mzembe kushindwa kuendeleza vitu hvo aisee
Nakazia.. hawezi kuwa wa KILIMANJARO. Hakuna fala wa hivi... haijawahi tokea. Nimeogopa kuwataja tu[emoji23][emoji23] wataniletea pira hapa
 
Back
Top Bottom