Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Mbona nimeashaamua kumwacha,
Na sasa hivi ana mwezi mzima hayupo hapa nyumbani, aliindoka kwa bila kunitaarifu,
Ila nasilkia yupo kijijini kwao

Na mimi naomba sana kwa mungu asirudi,

Sasa swali lako la mimi naamua nini,?

1- Watoto wote wapo shule, nina wasiwasi anategea warudi, likizo ya pasaka naye arudi
, ingawa kweli akirudi nitamshangaa sana,
Hapo itaanza mambo ya ugomvi tena, na tulipofikia sasa ugonvi ukianza watu wanatoka nje ( majirani)

2–nyumba sasa hivi nimeifunga hakuna mtu, ingawa bado naenda na ninalala huko wakati mwingine, sasa akirudi anikute nitamfukuza, au nitafunga nyumba Na kuondoka,
Sasa sielewiataenda kwa mjumbe au polisi, ingawa mjumbe tayari naye keshamchukia kwa tabia zake

3– sitaki mambo ya polisi tena kwenda kushtakiana,
Sasa sielewi kama polisi wanaweza kunilazimisha nimfumgulie nyumba au huo uwezo hawana, kama hawana natashukuru sana

4– labda atashawishiwa aende mahakamani,
Hilo hata mimi naona ni sawa tu,
Kama ana haki zake atapata huko

5– kama kuna wanasheria hapa ingekuwa vizuri
Kutupa darasa wanafikiri ni nini itakuwa outcome ya kesi hiyo

Kama umeamua kumwacha kwanini usiifanye official. Binafsi najua kabisa, kwakuwa kuna watoto na tayari mmekaa nae. Huna namna lazima umpe mali fulani, haswa hiyo nyumba, mahakama yoyote lazima itaamua hivyo.
Kwanini usimwachie hiyo nyumba ukate eneo lingine uuze muachane kwa amani?
Hii kusema umefunga nyumba na unaenda unalala huko ni kama unamsubiri tu, hakuna ulichoamua hapo.
Pia hujajibu swali langu na wengine hapo nyuma, je mpaka sasa mke mkubwa anajua kuhusu hii kadhia?
 
So sad nimeshuhudia shemeji yangu mkubwa yaani alikuwa na wake 3 lakini uzeeni ni kama hakuwahi zaa wala kuoa. Sasa hivi wadogo zake ndio wanamtunza watoto wana kazi ya kuangalia mama zao tu.

Wale wa ni mkubwa wanasema baba yao aliwa neglect wakiwa wachanga sana wakalelewa na mama yao hii ni kweli. Wale wa mke wa pili wanasema baba yao alimpenda mke wa Tatu kwa hiyo hao watoto wa mke wa Tatu ndio watunze baba yao kwa kuwa wao ndio walifaidi pesa zake. Bi mkubwa yuko zake Canada ana kula raha na wanae.
Sasa hao wa mke wa tatu kwanini wasimtunze? Kwahiyo bimkubwa naye ndiyo anakula matunda sahizi na baba baada ya kushiba anazoa makapi kutesa kwa zamu.
 
Luv, nyumba si ya watoto. Kisheria nyumba ni ya Mme na Mke. Na kwa kuwa hao wawili wameishi miaka yote hiyo zaidi ya 20 kama wanandoa na wamebahatika kupata watoto, na urithi pekee wa watoto ni elimu kitu ambacho mleta mada amejitahidi sana kuwapatia kwa uwezp wake wote.

Sasa, mimi ninachomshauri hapo hapa ridhiki tena kwani ni kiasi gani cha fedha ambacho amekipoteza kwa ajili ya huyo mwanamke. Nyumba iuzwe na wagawane.

Cha msingi, amweleze na kumshirikisha mke wake wa ndoa kila kitu, ingawa naelewa kuwa mkewe anaelewa kila kitu kuhusu huyo baba na mwanamke wake huyo.

Amepoteza vitu vingi, kwani kupoteza hiyo nyumba kuna tatizo gani. Yeye kishasema kuwa huyo mwanamke hamtaki tena, sasa shida nini tena.
Upo sahihi kabisa mkuu.

Lakini vipi kuhusu watoto wawili waliopatikana hapo. Nadhani ni busara ingetumika kuwawaza pia, tusiangalie tu matendo na hitimisho la hayo mapenzi ya baba na Mama yaliyopelekea kupatikana hao watoto.
 
Mkuu hapo hamna ndoa mpaka ile yakwanza ifutwe
So mpaka hapo ni bilabila
Kumbuka mleta mada ameshafikishana na kimeo chake kwaa mchungaji

Wewe unaongelea ndoa gani? Ndoa ya serikali hapo tayari wala haina shaka.
 
Wewe unaongelea ndoa gani? Ndoa ya serikali hapo tayari wala haina shaka.
Mkuu kama ndoa yake ya awali ni
"Potential monogamous" hapo hakuna uwezekano
Usichanganye na presumption of marriage
Hapo haipo chief
 
Mbona nimeashaamua kumwacha,
Na sasa hivi ana mwezi mzima hayupo hapa nyumbani, aliindoka kwa bila kunitaarifu,
Ila nasilkia yupo kijijini kwao

Na mimi naomba sana kwa mungu asirudi,

Sasa swali lako la mimi naamua nini,?

1- Watoto wote wapo shule, nina wasiwasi anategea warudi, likizo ya pasaka naye arudi
, ingawa kweli akirudi nitamshangaa sana,
Hapo itaanza mambo ya ugomvi tena, na tulipofikia sasa ugonvi ukianza watu wanatoka nje ( majirani)

2–nyumba sasa hivi nimeifunga hakuna mtu, ingawa bado naenda na ninalala huko wakati mwingine, sasa akirudi anikute nitamfukuza, au nitafunga nyumba Na kuondoka,
Sasa sielewiataenda kwa mjumbe au polisi, ingawa mjumbe tayari naye keshamchukia kwa tabia zake

3– sitaki mambo ya polisi tena kwenda kushtakiana,
Sasa sielewi kama polisi wanaweza kunilazimisha nimfumgulie nyumba au huo uwezo hawana, kama hawana natashukuru sana

4– labda atashawishiwa aende mahakamani,
Hilo hata mimi naona ni sawa tu,
Kama ana haki zake atapata huko

5– kama kuna wanasheria hapa ingekuwa vizuri
Kutupa darasa wanafikiri ni nini itakuwa outcome ya kesi hiyo
Khaaaa.....

Hivi wanaume Kama wewe bado wapo!?

Sitaki kuamini muhenga kwamba Hadi Sasa huyo mtu umemuacha kwa kuandika tu Ila moyoni bado yupo.

MAANDISHI YAKO YANAONGEA.

Mimi mzee mwenzio nilidhani hitimisho la kukushauri ni kuhusu nyumba unaifanyaje na watoto itakuwaje na sio Tena kuanza kufikiria eti itakuwaje kuhusu huyo mwanamke.

Aiseee uchawi upo.

Tupe namba ya huyo mchepuko tumuulize mwenzetu alikufunika mkoa gani, Mimi nimfunike Samcezar
 
Halafu na wewe huna ushauri wa maana unaotoa kutwa kukosoa kosoa tu,kama una stress zako za wanaume peleka kwa viongozi wako wa kiroho au tafuta wanasaikolojia wakusaidie
Mkuu msamehe analea watoto peke yake ametelekezwa.Ni single mother.Anapata nafuu akimfanyia,mwitore,psychological torture.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwahiyo akimuendeleza hiyo ndio inakuwa kipimo Cha upendo wa huyo rafiki yako kwake ...enhee alichukua hatua ipi baada ya hapo!?
Nilipocheka nikanuuliza enhe unamjibu nn?Akasena Shekhe najua kinachokuja sijibu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1]sio wananichokoza wenyewe loh
Ila caraha wewe ni mkarahishaji sana,mie huwa nasoma comments zako nacheka tu watu walivyo bize na kukujibu utazani wabunge wa ndugai wamefarakana bungeni [emoji3][emoji3]
 
Baki na hati ya nyumba...mtafute wakili wako asimamie hili kua nyumba haita kaa iuzwe ni ya watoto...waachie watoto nyumba kiroho safi tena mkabidhi mama yao watoto wakiwepo na wakili pia awepo...baada ya hapo endelea kusomesha wanao...huyo mwanamke vunja nae mawasiliano ya kimapenzi kabisa...yabaki mawasiliano ya kuhusu kulea watoto....usitake kujua anatoka na nani au ataishi na nani kwani umesha amua kuachana nae...nyumba ibaki kua yako ila wanao waishi hapo...hebu fanya hivyo.
 
Back
Top Bottom