Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Nadhani bado hujaelewa mambo vizuri hapa. Na amekiri mke anajua tayari. We unadhani kwanini analialia na kuomba msaada? Ni kwasababu anaona ameshatelekezwa. Aisee wanawake tupewe tuzo maana huwa tunaona mbali sana. Endelea kuchakachua mada utaelewa mkuu. Sisi tulishaona toka mbali hasa kiuhalisia hajawa halisia kwa kusema ukweli.
 
Ukitaka mwitore arushe ngumi mtajie limchepuko lake[emoji23][emoji23]
Analilinda kama moyo wke
 
Wote primary walisomea Dar lakini bording,
Secondary ni bording Lakini mkoani
Mmoja sec kati us Na kijijini kwangu Lakini bording sio nyumbani kwa mama
Likizo anakuja Dar
Graduation ni wakati anamaliza primary Dar
 
Wote primary walisomea Dar lakini bording,
Secondary ni bording Lakini mkoani
Mmoja sec kati us Na kijijini kwangu Lakini bording sio nyumbani kwa mama
Likizo anakuja Dar
Graduation ni wakati anamaliza primary Dar
Kaka mwitoree
 
Nasoma jumbe zote, hakuna ninayoruka
Siwezi kuruka ujumbe wowote ila ni nyingi siwezi jibu zote
Amina
 
Sasa jamani nyumba inauzwa siku moja?
Si inachukua muda, labda niiuze sh mbili ndio atapatikana mteja chap, lakini suala la nyumba kuuzwa hilo ndio nalitaka,

Nimeshasema mala nyingi tu,

Na kesho naiweka kwenye Zoom
Halafu baadaye magazetini,

Ndio nimeamua hivyo
 
Wewe utakua umewahiwa kwa sangoma,mchepuko kwangu hata angekua na watoto wanne akizengua namtupa....nalea wanangu tu,tumezaa nje zaidi ya watoto wawili na wanawake sina muda nao nalea na kutoa matumizi,ada, hosp
 


Tafadhali Njooo Pm mkuu
 
Tatizo wanaume wabishi jamani achaa kabisaa...yakiwakuta wanalia na Mara nyingi mwanaume anaechepuka na asirogwe hawi zoba kama huyu baba anajali family yake vzr na kungine anagonga.

Na usemayo ni kweli wanawake wengine wanaroga mke mkubwa ili arithi yeye kiti hata huyu mchepuko naona mke mkubwa ana nguvu ya Mungu sana kamshindwa haswaaa!la sivyo hata hao watoto wasingesoma aseehh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khhaaa! Ndicho ulichoambua[emoji15][emoji15]! Shetani shindwa, ashindwe na alegee [emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani hapa natoka church, nishaanza kupata upako! Yaani mtu anasema "amepata viwili" shetani ananishawishi vinginevyo wakati ni viwanja viwili; Eh Bwana Mwokozi!!!
 
Ndio nachosubiria ntakukodi uje na police kusimamia zoezi[emoji16][emoji16]
 
Bro shida yako nini?fanya maisha yako huyo atakuvurugia maisha yako kabisa ujute,istoshe hiyo nyumba uza hao watoto wachukue peleka kwako waishi na wenzao
 
Nimeuelewa sana mchango wako. Kiukweli sikutilia maanani sana kwmb anko anaweza akawa kafanyiwa ivyo. Kuna kiukweli flani wa icho usemacho. Amshukuru Mungu mpk sasa kamueka hai.
Yaani usiombe Urogwe unakua kama kondooo na mtu kila mwaka anarenew tu!hizo safari za ghafla alikua anaenda kufanya rejuvenation ya uchawi na alikua anauoga,anaula,anaulalia n.k hivi kwa akili ya kawaida unamkabidhi mwanamke 40mils kirahisi hivyoo na kiburi pia mchepuko alikua nacho!anakitoa wapii!kwa mtu mwenye fedha zake kama huyoo!Waswahili nawajua vzr nimeishi nao na tunaishi nao huyo demu alijipanga na alijua hapo kuna maisha akakutana na watu wakampa mbinu Mzee akaingia kingi akajaaa mwingi!akalishwaa vya kulishwa na vikakolea miaka nenda miaka rudi!
Mchepuko ushavuna sanaa mpk umejenga na hamhitaji tenaa kwa sasa hapo kama atastaafu huyo bibie anarudi tena vuup anamaliza kona anasepa zake la ajirekebishe haraka sana na hana msaada zaidi ya Mungu tu maana Mungu ndo hatuchoki na ndo kimbilio la mwisho kabisaa!

Huyu Mzee amrudie Mungu na toba ya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Mwitore bhana! Kumbe kwa mke mkubwa umeshalikoroga[emoji3][emoji3]

Ndio maana madogo wamekupa laki na ishirini tu.
Asa mbona hukusema mwanzo kama mke mkubwa anajua uchafu unaofanya.?


Ndio maana unatapatapa kama samaki aliyevuliwa mtoni akatupwa nchi kavu.

Pole sana mzee Mwitore.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…