tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Uza nyumba chukua watoto uishi nao kwa bi mkubwaOMBI WAKUU NA USHAURI
hii nyumba niifanye nini, ni nyumba kubwa,
Ipo kwenye kiwanja cha eka moja,
Eneo ni ni zuri sana, sasa hivi nyumba ni nyingi, lakini ya kwangu kila mtu anaitamani,
Ila bado haijaisha,
Madilirisha nilishaweka ya aluminium bado matatu tu ya dining room
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23]mama ni mkareeee balaaaHuyu mama ajengewe sanamu popote kule
😅😅😅😅😅Heeee umekuja?
Asante..Gusanisha nyama kwa nyama
Nimesoma hadi sehemu ya 21
Itoshe kusema utavuna ulichopanda.
Mnatega wenyewe mabomu yakianza kuwalipukia mnalia.
Hii iwe fundisho na kwa wanaume wengine wenye macho juujuu na tamaa za kijinga..badala kukaa na familia zao wanaenda hangaika nje..na mtakufa siku si zenu.
[emoji23]
Kuwaingiza kwenye nyumba ya baba yao
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaani hapa natoka church, nishaanza kupata upako! Yaani mtu anasema "amepata viwili" shetani ananishawishi vinginevyo wakati ni viwanja viwili; Eh Bwana Mwokozi!!!
Hakuna sheria ya kugawana nusu kwa nusu Madam, hata kama mmeishi wote miaka mia, kuna mambo mengi sana yanaangaliwa,Huyo mwanasheria aseme nini hujui kwani, umekaa na mwanamke miaka mingi, umeamua kumuacha mlichochuma mnagawana nusu kwa nusu.
Hizo room 30 heri ukajenge sehemu nyingine. Hapo gawaneni uende kwako japo unaonekana king'ang'anizi.
Kama upo mdogo saaanaUmemshauri utafikiri moyo wake unaujua....kwa maelezo yake we unaona ana jeuri ya kumfanyia ivo bi mdogo
Hiyo poa kabisa, nimeliweka kichwani ni wazo zuri kabisa,Kaka mwitore,uza nyumba ila Mnunuaji uwe we we umzunguuke iwe yako shem yeye umlipe aondoke.
Kama wewe KHUMBU alivyokuwa anakipenda mwanzoni, ila baadae akabadilika mno.. (joke)Binafsi naamini huyu bi mdogo alikuwa na mapenzi na wewe. Mwanamke mpaka kufikia hatua ya kuzaa na wewe kuna sehemu ndani ya moyo wake unakupenda. Kumbuka pia una mke mkuu, upendo wake kwako ulikuwa unakutana na kizingiti cha wewe kuwa na mke, so inabidi pia uvae viatu vyake. Pia duniani hakuna upendo unaokuja bila ya "kisababishi". Kila mtu anampenda mtu flani kwa sababu ya kitu flani. Huo ndio uhalisia. Unaweza kupendwa kwa sababu ya uhandsome wako. Unaweza kupendwa kwa sababu ya urembo wako, usingekuwa mrembo usingependwa. Unaweza kupendwa kwa fedha zako. Hakuna kupendwa bila kisababishi. Kisababishi kikitoweka either utaachwa au utavumiliwa.
Hivi hili swali nimeshalijibu sana, hata kabla hujauliza, labda mimi sijui niki reply kama hivi, nikiwa kwenye comment ya 1400 na uzi upo mbele sana, maana naona tayari imefika 1700 huko, je hili jibu litaonekana wapi ni mbele ya 1700 au hapa nilipo kwenye 1400,Hii stori kuna mambo yamefichwa, kwanza upande wa bi mkubwa hatujaambiwa ukweli
Pili yawezekana huyo sio mchepuko
Angekuwa mchepuko wachungaji wangefuata nini kusuluhisha?
Kama ni mchepuko mama mzazi wa mleta mada angefikaje kwa uhuru nyumbani hapo?
Unapotaka ushauri eleza jambo kwa uhalisia wake maana watu watakushauri kwa kile ulichoeleza, ukidanganya utashauriwa kwa kitu ambacho hakipo na ushauri hautasaidia
Da point, big up,Kweli mie nimekuelewa na nikweli unavyo simulia, ila madhaifu yako yafanyie kazi:
1.Usipende mwana mke kupitiliza hatakama umezaa nae
2.Never ever trust a woman hata kama umekanae miaka 20.
3.Umezidisha kutumia logic na common sense kwa mkeo some Time ujinga na ubabe ni suluhisho kwa wana wake.
Usimuachie nyumba wala usiiuze acha tu hiyo ni mali yako labda akuue.
4. Anza maisha mengine (move on) upya wewe bado mdogo at 50yrs tafuta mke mgine ila usimjengea wala usimuonyeshe mali zako panga umueleza una mke lazima alijue hilo.
5. Watoto wako wasimamie wakileta dharau achana nao watajirudi wenyewe
6. Acha kusimulia watu wanao kujua visa vyako wanakuenjoye tu. Pambana kama mwana umme we only live once here usiogope mahakama au usitawi it will buy time for you to settle huwezi kufungwa kwa civil suite
Mbona, umezidisha kutukana,?Najiuliza mchepuko anawezaje kupata nguvu ya kumpeleka polisi na uku hifadhi kapewa?? Jamaa zuzu
Yaani kwa hili tu, ndio sina akili? Vipi mengine niliyofanya, yote ni ya kipumbavu sio?Huyu mzee hana akili, ndio wale wahuni waliozeeka na hawana busara wala akili... ajielewi, apambane na maisha yake, awezi kutumia bundle zetu kumbe story ya kitoto hivi? Na yeye anaona kaandika vya msingiii na uzee wake, daaaah kumbe unaweza zeeka na akili hazimo kichwani, sad..