Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Unamaanisha matatizo ya familia yangu kubwa, au matatizo binafsi,

Yote hapo hapana ni ujana tu
 
16- May hiyohiyo mpaka june naanza kuona simu za wanaume wawili tofauti wakiwasiliana, nikimuuliza hawa ni nani ananijibu ni watu tu, naanza kutia mashaka
17- June ananifokea mbele za watu wakati nimekwama kumsaidia kufunga mpira wa maji vizuri, namtukana na yeye ananirudishia tusi hulo hilo namfukuza nampata namtia Vinson’s vitakatifu, tunaamriwa
Kwa bimkubwa vipi sasa? Na kazini je au ndiyo mkeo unamuaga upo research?
 
Ahsanteni sana wapendwa, ushauri wenu,
Mmekuwa ni msaada mkubwa sana kwangu,

Kiujumla nitambua wapi nilikosea,baada ya ushauri wenu mzuri sana nimejifunza mengi sana ambayo nilikuwa siyafahamu hasa kwenye mambo ya mahusiaona,

Kwa wale waliokuwa na wasiwasi kuwa hiki kisa sio cha kweli, niwatoe wasiwasi huo kuwa ni cha KWELI hasa.

Uamuzi wangu wa mwisho baada ya ushaui wenu ni kupiga nyumba bei na kujenga nyingine kwa ajili ya Watoto,

Na sehemu ya kuijenga ni kati una nyumbani kwetu kijijini lakini mjini sio kijijini

Nimeamua niijenge huko kwa sababu mbili

Kwanza nimeamua nikistaafu kunako majaliwa nitahamia huko kijijini

Pili, sitaki mama siku aje arudi na kukaa nao huku tena na kufaidi tena nyumba ya guys kwa mgongo wa watoto

Vile vile ikiwa kule, itakuwa rahisi kuwa nao, na wenyewe wajione ni sehemu ya ukoo wetu kule karibu zaidi

Kwa hayo machache Ahsanteni sana.

Ombi kwa MODE,

Naomba nisamehe sana, najua kuna sehemu nilikosea, na ukanifungia,
Lakini ni mhemko ulinipatia sina tabia hizo za kihuni

Ahsante sana kwa kunielewa
Maamuzi mazuri
 
Kwa bi mkubwa pako poa tu,
Nakazini pako poa tulikuwa

Ila mimi routine yangu ni ile ile bado naenda kwenye nyumba yangu
 
24- sep hiyo hiyo, sasa biashara anafanya juu kwa juu, akitoka kupakia mzigo anapitia huko huko kwenda kwao, Dar harudi,
Nikimpigia simu anakata na matusi juu,
Nikiwapigia ndugu zake anawatukana,
Na hapa kwangu anasema hakanyagi,
Naamua kumfuata huko polini, nilipofika nikampigiasimu tena, akapokea akasema keshaondoka huko, yupo kwao,
Nikamtumia boda boda ampigia simu amwambie kuwa ana mchele anauza,
Naye akamjibu katoka huko labda amuunganishr na mtu, akamwambia tena kwani upo wapi dada, akamtajia kijiji cha jirani
Nikaenda huko huko
Yaani una moyo hilo limbwata ulilo lishwa si la nchii hii pole sana kaka
 
25–nikamwandikia message nipo hapo ulipo naomba tuonane, akakataa katakata, baadaye nikadanya nimeibiwa simu yangu ndogo yenye pesa naomba unitumie pesa angalau ya guest ili nioge na kulala kesho niondoke,
Hakunijibu tena,
Mpaka kesho yake asubuhi, akanitumia 50000 Lakini baada ya msg nyingi sana
Huo ni mchepuko msukule yaani mpaka hapo hakuwa anakuhitaji
 
Hapana, ni udhaifu wangu tu,
Unajua wengine roho zetu ukishaweka bond na mtu unaona kama ni ndugu yako kabisa, kufa na kuzikana,

Yaani anakuwa kama ndugu was damu kabisa au mtoto wako, kumbe yeye hizo fikra anakuwa hana, wala hata bond na wewe hana

Sasa unabaki kujaribu kumrekebisha kumbe una twangs maji kwenye kinu
 
Unajua kuna kitu nilisahau kusema, alishatamka kwa rafiki zake kitu fulani halafu nikaambiwa kuwa

Huwa anawatamkia anasubiri watoto wake wakue na yeye atasepa,

Sasa nadhani ameyaishi maneno yake,
Sasa hivi keshaona watoto ni wakubwa,

Mmoja Mungu akijalia anafanya mtihani wa form six mwaka huu na mwingine form four mwaka huu vilevile

Sasa utaona hapo keshatimiza malengo yake
 
Ahsanteni sana wapendwa, ushauri wenu,
Mmekuwa ni msaada mkubwa sana kwangu,

Kiujumla nitambua wapi nilikosea,baada ya ushauri wenu mzuri sana nimejifunza mengi sana ambayo nilikuwa siyafahamu hasa kwenye mambo ya mahusiaona,

Kwa wale waliokuwa na wasiwasi kuwa hiki kisa sio cha kweli, niwatoe wasiwasi huo kuwa ni cha KWELI hasa.

Uamuzi wangu wa mwisho baada ya ushaui wenu ni kupiga nyumba bei na kujenga nyingine kwa ajili ya Watoto,

Na sehemu ya kuijenga ni kati una nyumbani kwetu kijijini lakini mjini sio kijijini

Nimeamua niijenge huko kwa sababu mbili

Kwanza nimeamua nikistaafu kunako majaliwa nitahamia huko kijijini

Pili, sitaki mama siku aje arudi na kukaa nao huku tena na kufaidi tena nyumba ya guys kwa mgongo wa watoto

Vile vile ikiwa kule, itakuwa rahisi kuwa nao, na wenyewe wajione ni sehemu ya ukoo wetu kule karibu zaidi

Kwa hayo machache Ahsanteni sana.

Ombi kwa MODE,

Naomba nisamehe sana, najua kuna sehemu nilikosea, na ukanifungia,
Lakini ni mhemko ulinipatia sina tabia hizo za kihuni

Ahsante sana kwa kunielewa
Heeee walikufungia, au ulinipanikia eti eeeh.

Mind you kuwa hao watoto wa kike wanaweza olewa hukooo nyumba ikabaki tu.

Nawafahamu wanaume wawili yaani watu tofauti tofauti waliwahi zaa sana nje ya ndoa. Mabinti walipokua walirudi kwa baba japo wamama waligoma mwisho wakaelewa, binti ameshamaliza university hana mahitaji wala tatizo.

Mwisho wakawa ndani ya familia.

Hebu jaribu, maana utakuwa mtu wa kujengaa tu na kuuza, .

By the way, pole najua umekuwa sasa.
 
Jamani msaada, naona reply zenu zinafiki zote kwenye kiboksi cha msg, pamoja na kwenye kengele, nikifungua huko nyigine hazifunguki

Tatizo nini

Msaada tafadhali
 
Dah, Yani inaonesha unampenda sana bi mdogo kwa yote aliyokufanyia lkn bado unamngoja arudi ndio ujue lakufanya, Ila najua bi mdogo akikupigia goti na akakupa utamu lazma umsamehe tu.
Pia kaa ujue hiyo nyumba sio yako ni yenu hatakama ulimpa pesa ya yeye kununua kiwanja hicho, na uthibitisho ni mmliki wa kiwanja aliyewauzieni na vitu vyake alivyo viacha hapo ndani kwahiyo siku akirudi ukiwa haupo atavunja kufuri na vitasa kisha ataingia ndani na hautakuwa na uwezo wa kumfukuza.

USHAURI: Hiyo nyumba mwachie bi mdogo na watoto wake kama urithi wao kutoka kwako.
Pia tafuta mwanamke mwingie umpangishia awe anakuliwaza na kukupatia tendo la ndoa maana naona bi mdogo hataki kukupatia (zaidi ya miezi miwili hayupo) na pia nahisi bi mkubwa hakupati unyumba, Hii itakusaidia kupunguza mawazo juu ya wake zako.
Wee kweli mbabaishaji
 
Hapana, ni udhaifu wangu tu,
Unajua wengine roho zetu ukishaweka bond na mtu unaona kama ni ndugu yako kabisa, kufa na kuzikana,

Yaani anakuwa kama ndugu was damu kabisa au mtoto wako, kumbe yeye hizo fikra anakuwa hana, wala hata bond na wewe hana

Sasa unabaki kujaribu kumrekebisha kumbe una twangs maji kwenye kinu
Pole Sana
 
Wewe baba unatuficha mambo mengi sana. Kwa mkeo mkubwa ndo pameota nyasi. Yani hakuna mwanaume alieacha mke wake wa altereni au madhabauni kwa uzinzi akaishia vizuri kwa sbb kwanza kwa kosa ulofanya tayari ushaitia najisi ndoa. Pole sana kwa jinsi navyokusoma unatia huruma unamuhitaji huyo mchepuko sijui bi mdg kuliko anavyokuhitaji. How a miserable grandpaaa u will be.
 
Yes naishi na mwanamke sijamuoa. Nayeishi naye sitaki kumuoa namtaka yule mwingine.
Wote wana watoto wawili
Jumla 4 kids
Pair ya kwanza wamepishana miezi 8 wapo vidudu huko.

Pair ya pili wamepishana mwaka mmoja anasimama dede mwingine ndio kwanzaaaa.....

HAKI UCHAWI UPO DUNIANI[emoji3][emoji3][emoji3]
Achana na wanawake yaani mwanamke unamwambia nina mtoto na mwanamke mwingine basi kama umepata mimba itoe hataki na anakutegeshea nyingine uzae nae...wanakuongezea stress hawajiongezi
 
Niandikie hiyo hiyo, namshurutisha abadili jina lake aweke langu kama baba, anaenda kubadili anaweka la watoto,
Nikavuta muda kutafakari na kujirudhisha
Huu usimuliaji unaondoa ladha na mpangilio wa mkasa. Binafsi naona kama unarukaruka tu
 
Kama ulianza mwanzo kabisa, nilikuwa nasimulia mpaka mwisho kila tukio, baadaye wadau wakawa wanataka nisimulie kwa ufupi, Ndio nikawa naandika kwa vipande, ila kama ukipitia post zote toka mwanza, inaeleweka
 
Back
Top Bottom