Kwa bimkubwa vipi sasa? Na kazini je au ndiyo mkeo unamuaga upo research?16- May hiyohiyo mpaka june naanza kuona simu za wanaume wawili tofauti wakiwasiliana, nikimuuliza hawa ni nani ananijibu ni watu tu, naanza kutia mashaka
17- June ananifokea mbele za watu wakati nimekwama kumsaidia kufunga mpira wa maji vizuri, namtukana na yeye ananirudishia tusi hulo hilo namfukuza nampata namtia Vinson’s vitakatifu, tunaamriwa
Maamuzi mazuriAhsanteni sana wapendwa, ushauri wenu,
Mmekuwa ni msaada mkubwa sana kwangu,
Kiujumla nitambua wapi nilikosea,baada ya ushauri wenu mzuri sana nimejifunza mengi sana ambayo nilikuwa siyafahamu hasa kwenye mambo ya mahusiaona,
Kwa wale waliokuwa na wasiwasi kuwa hiki kisa sio cha kweli, niwatoe wasiwasi huo kuwa ni cha KWELI hasa.
Uamuzi wangu wa mwisho baada ya ushaui wenu ni kupiga nyumba bei na kujenga nyingine kwa ajili ya Watoto,
Na sehemu ya kuijenga ni kati una nyumbani kwetu kijijini lakini mjini sio kijijini
Nimeamua niijenge huko kwa sababu mbili
Kwanza nimeamua nikistaafu kunako majaliwa nitahamia huko kijijini
Pili, sitaki mama siku aje arudi na kukaa nao huku tena na kufaidi tena nyumba ya guys kwa mgongo wa watoto
Vile vile ikiwa kule, itakuwa rahisi kuwa nao, na wenyewe wajione ni sehemu ya ukoo wetu kule karibu zaidi
Kwa hayo machache Ahsanteni sana.
Ombi kwa MODE,
Naomba nisamehe sana, najua kuna sehemu nilikosea, na ukanifungia,
Lakini ni mhemko ulinipatia sina tabia hizo za kihuni
Ahsante sana kwa kunielewa
Yaani una moyo hilo limbwata ulilo lishwa si la nchii hii pole sana kaka24- sep hiyo hiyo, sasa biashara anafanya juu kwa juu, akitoka kupakia mzigo anapitia huko huko kwenda kwao, Dar harudi,
Nikimpigia simu anakata na matusi juu,
Nikiwapigia ndugu zake anawatukana,
Na hapa kwangu anasema hakanyagi,
Naamua kumfuata huko polini, nilipofika nikampigiasimu tena, akapokea akasema keshaondoka huko, yupo kwao,
Nikamtumia boda boda ampigia simu amwambie kuwa ana mchele anauza,
Naye akamjibu katoka huko labda amuunganishr na mtu, akamwambia tena kwani upo wapi dada, akamtajia kijiji cha jirani
Nikaenda huko huko
Huo ni mchepuko msukule yaani mpaka hapo hakuwa anakuhitaji25–nikamwandikia message nipo hapo ulipo naomba tuonane, akakataa katakata, baadaye nikadanya nimeibiwa simu yangu ndogo yenye pesa naomba unitumie pesa angalau ya guest ili nioge na kulala kesho niondoke,
Hakunijibu tena,
Mpaka kesho yake asubuhi, akanitumia 50000 Lakini baada ya msg nyingi sana
Heeee walikufungia, au ulinipanikia eti eeeh.Ahsanteni sana wapendwa, ushauri wenu,
Mmekuwa ni msaada mkubwa sana kwangu,
Kiujumla nitambua wapi nilikosea,baada ya ushauri wenu mzuri sana nimejifunza mengi sana ambayo nilikuwa siyafahamu hasa kwenye mambo ya mahusiaona,
Kwa wale waliokuwa na wasiwasi kuwa hiki kisa sio cha kweli, niwatoe wasiwasi huo kuwa ni cha KWELI hasa.
Uamuzi wangu wa mwisho baada ya ushaui wenu ni kupiga nyumba bei na kujenga nyingine kwa ajili ya Watoto,
Na sehemu ya kuijenga ni kati una nyumbani kwetu kijijini lakini mjini sio kijijini
Nimeamua niijenge huko kwa sababu mbili
Kwanza nimeamua nikistaafu kunako majaliwa nitahamia huko kijijini
Pili, sitaki mama siku aje arudi na kukaa nao huku tena na kufaidi tena nyumba ya guys kwa mgongo wa watoto
Vile vile ikiwa kule, itakuwa rahisi kuwa nao, na wenyewe wajione ni sehemu ya ukoo wetu kule karibu zaidi
Kwa hayo machache Ahsanteni sana.
Ombi kwa MODE,
Naomba nisamehe sana, najua kuna sehemu nilikosea, na ukanifungia,
Lakini ni mhemko ulinipatia sina tabia hizo za kihuni
Ahsante sana kwa kunielewa
Wee kweli mbabaishajiDah, Yani inaonesha unampenda sana bi mdogo kwa yote aliyokufanyia lkn bado unamngoja arudi ndio ujue lakufanya, Ila najua bi mdogo akikupigia goti na akakupa utamu lazma umsamehe tu.
Pia kaa ujue hiyo nyumba sio yako ni yenu hatakama ulimpa pesa ya yeye kununua kiwanja hicho, na uthibitisho ni mmliki wa kiwanja aliyewauzieni na vitu vyake alivyo viacha hapo ndani kwahiyo siku akirudi ukiwa haupo atavunja kufuri na vitasa kisha ataingia ndani na hautakuwa na uwezo wa kumfukuza.
USHAURI: Hiyo nyumba mwachie bi mdogo na watoto wake kama urithi wao kutoka kwako.
Pia tafuta mwanamke mwingie umpangishia awe anakuliwaza na kukupatia tendo la ndoa maana naona bi mdogo hataki kukupatia (zaidi ya miezi miwili hayupo) na pia nahisi bi mkubwa hakupati unyumba, Hii itakusaidia kupunguza mawazo juu ya wake zako.
Pole SanaHapana, ni udhaifu wangu tu,
Unajua wengine roho zetu ukishaweka bond na mtu unaona kama ni ndugu yako kabisa, kufa na kuzikana,
Yaani anakuwa kama ndugu was damu kabisa au mtoto wako, kumbe yeye hizo fikra anakuwa hana, wala hata bond na wewe hana
Sasa unabaki kujaribu kumrekebisha kumbe una twangs maji kwenye kinu
Achana na wanawake yaani mwanamke unamwambia nina mtoto na mwanamke mwingine basi kama umepata mimba itoe hataki na anakutegeshea nyingine uzae nae...wanakuongezea stress hawajiongeziYes naishi na mwanamke sijamuoa. Nayeishi naye sitaki kumuoa namtaka yule mwingine.
Wote wana watoto wawili
Jumla 4 kids
Pair ya kwanza wamepishana miezi 8 wapo vidudu huko.
Pair ya pili wamepishana mwaka mmoja anasimama dede mwingine ndio kwanzaaaa.....
HAKI UCHAWI UPO DUNIANI[emoji3][emoji3][emoji3]
Huu usimuliaji unaondoa ladha na mpangilio wa mkasa. Binafsi naona kama unarukaruka tuNiandikie hiyo hiyo, namshurutisha abadili jina lake aweke langu kama baba, anaenda kubadili anaweka la watoto,
Nikavuta muda kutafakari na kujirudhisha
RelaàaaaààaxJamani nifanyeje humu,
Reply nyingi sana sizioni, naona nyingi tu kwenye msg box, lakini nikifungua hazisomeki,
Nisaidieni nifanyeje
[emoji134][emoji134] miaka 50 muda wa kukusanya kodi we ndio una chimba msingi wa nyumba ndogo mzee una majanga