Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Binti naelewa wazi menopase inakusumbua, tafuta manii unywe, ou will be okey, kindly stop actying like a teeneger
Mimi hata menopause siko nakaribia 60. Wanaume humu wajinga kweli jibuni hoja hamna tusi au kashfa mpya ambavyo sijaandikwa humu na nyie vibamia wa humu kutwa kutukana na vibamia vyenu mfyuuu
 
Mimi hata menopause siko nakaribia 60. Wanaume humu wajinga kweli jibuni hoja hamna tusi au kashfa mpya ambavyo sijaandikwa humu na nyie vibamia wa humu kutwa kutukana na vibamia vyenu mfyuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kama ulianza mwanzo kabisa, nilikuwa nasimulia mpaka mwisho kila tukio, baadaye wadau wakawa wanataka nisimulie kwa ufupi, Ndio nikawa naandika kwa vipande, ila kama ukipitia post zote toka mwanza, inaeleweka
Sehemeu ya 21 ndio mwisho au, maaana nashindwa kupata muendelezo kwenye original post?
 
Hongera baba Ubarikiwe pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umrudie na Mungu kiukweli haswaaa ufanye toba ya kweli Mungu ni msamehevu sana!!na muombe msamaha mkeo pia watoto wako huna mamlaka ya kuwaomba msamaha hao ni watoto watulie tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mwanamke simtaki tena, lakini naona kama anawapambe,

Nipeni ushauri wapendwa,
Maana ninachokiona siku moja huyu mwanamke anaweza rudimentary hapa kwa gia ya watoto
Mzee mimi naona mpe taarifa bi mkubwa na umwambie una nyumba umwonyeshe pia na hilo shamba, ili siku bi mdogo akirudi kudai utakuwa na mtu wa kupigana upande wako.

Na bi mdogo akitambua issue ishafika kwa bi mkubwa atakosa nguvu
 
Wazo zuri, lakini natafakari namna ya kumuambia.
 
MSAADA UNAOUHITAJI NI WEWE KUACHANA NA MCHEPUKO NA KUMWELEZA MKE MKUBWA NA KURUDI KUNDINI.

HUNA LA ZAIDI YA HAPO
Nilishauriwa hivi hivi, kwa heshima na taadhima nikatekeleza, nilipojaribu kurudi kundini hata kundi lenyewe halikuwepo tena ,yaani bi mkubwa akawa kichaa kuliko mchepuko na hivi sasa naenjoy maisha ya ubachela!! Yaani wee acha tu
 
Hii kali. Hata mimi ukija na usenge wako eti mchepuko sijui nini na mimi nakuachaaa
 
Nilishauriwa hivi hivi, kwa heshima na taadhima nikatekeleza, nilipojaribu kurudi kundini hata kundi lenyewe halikuwepo tena ,yaani bi mkubwa akawa kichaa kuliko mchepuko na hivi sasa naenjoy maisha ya ubachela!! Yaani wee acha tu
Kwahiyo aachane na ushauri wa kumwambia mkewe?
 
Nilishauriwa hivi hivi, kwa heshima na taadhima nikatekeleza, nilipojaribu kurudi kundini hata kundi lenyewe halikuwepo tena ,yaani bi mkubwa akawa kichaa kuliko mchepuko na hivi sasa naenjoy maisha ya ubachela!! Yaani wee acha tu
Sasa mke mkubwa umrudie wakati hata nguvu za kugegeda huna na ana watoto wakubwa unafikiri ningehangaika na wewe, wanawake huwa watulivu watoto wakishakuwa wakubwa utajiju mwenyewe. Tafta mke mwingine uoe
 
Kilikukuta nini embu tuambie
Ata umri ni majaaliwa pia ila sio kwa Sababu umri ni majaliwa uache kujipanga
Upo uwezekano huyo bi mdogo alitumia nguvu za giza, Mzee umeonyesha uvumilivu wa hali ya juu sana.
Watanzania watu wa ajabu Sana, JK alipogombea Urais 2005 aliitwa Kijana wakati alikuwa na 55yrs. ..
Huyu mwanamke simtaki tena, lakini naona kama anawapambe,

Nipeni ushauri wapendwa,
Maana ninachokiona siku moja huyu mwanamke anaweza rudimentary hapa kwa gia ya watoto
Mwitore, Mwitore,Mwitore. Nimekuita mara tatu! Mwache mwanamke huyo mahakamani kwa kufuata sheria zote. Pili, nyumba mwachie iwe yake na wanae lkn kabla ya kumkabidhi nyumba akugawie sehemu ya eneo lilobaki ingawa limeandikwa kwa jina la watoto,uza eneo hilo kawanunulie sehemu nyingine watoto mbali na hapo, baki na hati za eneo jipya ,utawakabidhi watoto baadae. Iwapo atakata acha kila kitu nenda zako na talaka mkononi. Mwitore, mwanamke huyu atakuua. Ama kwa kumtumia mchepuko au kwa magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza. Huyu ni bad news kwa sasa. Bi mkubwa na wanae wanakupenda na kukuhitaji. Usiwe selfish ukawapa majonzi ya ujane na uyatima! Rudi kwa mkeo na wanao na wala usigeuke nyuma tena. Utakuwa umejiepusha na mengi. Umekuwa mwema sana pande zote mbili, baba na mume bora kabisa kuwahi kutokea, muungwana, msomi, mwenye upendo, baba ambaye kila mtoto anatamani awe baba yake. Mwitore rudi kwa bi mkubwa kaa naye angalau kwa miezi mitatu bila kumfikiria huyu chizi uone ulichokikosa kwa kutokuwepo kwako! Rudi nyumbani Mwitore kumenoga
 
Achana na hiyo nyumba, hiyo mil unayoiwaza hata yeye anaiwaza na labda bwanaake naye anaiwaza, mwachie. Nyumba ndio itakuua. Kaa mbali nayo! Hiyo mil 300 kila mmoja anaitaka. Waachie na nyumba nenda. Bila huyu mjinga wewe una uchumi wa juu kabisa. Umefikia mahali pa kula bata la ukweli kwa kipato chako unaweza kabisa, hiyo nyumba ni downfall yako. Kaza roho nenda
 
Wanaume wa humu ni kero Sana wooi na Uhuru wa kutoa mawazo why wanishambulie wakati hata mama yake, shangazi dada zake wako menopause si ujinga huo.
Hata hivyo unatakiwa ujitafakari cariha.kwanini nini wewe peke yako ndio unaonekana kama punguani kati ya wanawake wa humu. Jumbe nyingi zinakutuhumu kuwa una shida mahali.kuwa na misimamo na namna ya uchangiaji wako sio tatizo kwenye mijadala inayohusisha watu wengi.lakini kwenye nyuzi nyingi kumekuwa na tuhuma kuwa hauko sawa,kama unapayuka hivi kama una mapepo.[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu mmoja ana situation inafanana Kama yako .

Aliwakuwa na mchepuko akaishi nao kwa miaka mingi Sana na huo mchepuko ukawa unafahamika Hadi kwandugu wa Jamaa .

Mke mkubwa alikuwa anataka kuujua Ila mwanzo hakugfanikiwa Ila baadae wakaja fahamiana .

Mchepuko ulizalishwa watoto wawili ukawa unaforce na wenyewe upewe ndoa ya kanisani Jamaa akasema haiwezekani maana Tayari ana ndoa na mke mkubwa .

Mchepuko ukakasirika ukaamua kuaachana na Jamaa wakabaki co-parents .

Wakati Jamaa Yuko na mchepuko alimjenga nyumba Kali Sana ya kisasa huko mitaaa ya ushuani so walivyoachana Jamaa hakumind Sana akamwachia mchepuko nyumba .Ila nyumba Ina majina ya watoto wao .

Mchepuko ukaja olewa na Jamaa mwingine na wakawa wanaishi kwenye hio nyumba sidhani Kama aliejenga alikuwa na time nao maana nyumba Ina majina ya wanae
 
Bwana wewe wasengerema wachache hawawezi kunizuia kuandika ninachosikia humu, wengine comments ya kawaida wanaanza matusi hasa wasipopenda ninachoandika. Na Mimi nasema hata dunia nzima ikiniona punguani I don't care nitazidi kuwakeeera in manaras voice.
Acheeeeeni ni wakeeeeere jamani niacheni tu jinsi nilivo I won't change
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…