Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Ila naona amwambie tu, liwalo na liwe kidogo atakuwa amejiweka sehemu salama
 
Shida yote hii inakupata kwa tamaa ya kutoheshimu ndoa yako.

Anyway

Pole
Kutokuheshimu kitu gani, ndoa?

Ninauhakika gani kwamba yeye anaiheshimu ndoa, kwani simpi chakula, iwe cha usiku au mchana, havai? Sijamjengea nyumba? Watoto wako siwasomeshi?

Hivi unafahamu hawa wake zetu wa ndoa na wenyewe wana michepuko yao,?

Tena wenyewe ni mibaya kabisa!
Maana pesa unahenyekea wewe ndio wanalipia guest huko, na wengine mpaka wanawajengea nyumba kawa pesa zako

Hebu nikuulize, kwani hawa wanaoitwa MARIOO ni Nani nani wanawafinance? Ni hawa wake zetu wa ndoa ndugu,

Wewe jifanye mtakatifuuu, henyeka kama punda kumbe yeye anakidumu chake huko,

Akishazeeka anakimbilia kwa watoto wake, unabaki mwenyewe,

Nimeambiwa sana humu nikishazeeka napigwa kibuti, lakini hawajui hata wenyewe wakizeeka huwa tunaomba waende hukohuko kwa watoto wao,
Ananikalia hapa nyumbani kunizibia nafasi tu, wakati mimi nataka dogodogo, alaaaa,

WANAUME EEE, WANAUME EEE,

Tujiandalie maisha yetu binafsi ya uzeeni,
Kama kushikwa sikio tumeshashikwa,

UNASUBILI NINI?
 
Wazo zuri, lakini natafakari namna ya kumuambia.
Mwandae kwanza kisaikolojia

Mfano unaweza ukaanza kwa kumwomba radhi na unamweleza kitu unachotaka kumwambia kitamshitua ila unahitaji msaada wake kwa hali na mali, ukiona anaelekea ndipo sasa unaanza kumweleza yote, itampa shida kwa wakati huo ila ataelewa na kukusaidiwa hatimaye kila kitu kitakuwa sawa.
 
Uza tu kma inawezekana,huyo bwana ake amjengee yake kama ni rahis,mimi siwezi kwenda ishi kwenye nyumba alojenga mwanaume mwenzangu
Ndugu yangu weee, ni wewe mwenye mawazo hayo, utadanganywa na huyo mwanamke na utaenda tu, kwani hawa ndugu zetu uwezo wa kukuua kwao ni rahisi tu, kuliko kukushawishi kwenda naye kwako ?

Hivi hujawahi kusikia mwanaume kafumania mkewe kwake, na akachoma kisu na kuuwa?

Fuatilia sana hivi visa, vipo vingi sana,.

Hawa ndugu zetu ni dhaifu sana ikifikia unamtosheleza.

Ila kama unataka kuepuka yote hayo, jenga sasa hivi tabia kabla ya kurudi nyumbani mpigie simu kuwa unarudi,

Au ukifika nyumbani anza kupiga piga madumu hapo nje,

Na usirudi ghafla nyumbani, eti nilisahau kitu,

Maana unaweza kukuta ya kukuta ndugu yangu

CHEZEA HOUSE BOY WEYE!!!!!
CHEZEA GARDENER WENYE!!!!
CHEZEA FUNDI YA GARI YA MY WIFE WEYE,,,
CHEZEA SHEMEJI WEYE
CHEZEA BWANA MDOGO WEYE
CHEZEA HUYU UNCLE WAAANGUU WA KULEEEEEE
 
Na wanaume wengi wanarudigi kwa wake zao uzeeni, wameshajichokea apeche alolo. Muda huo mama anaenjoy matunda ya watoto wake, kwa kweli huyo mume liability wa kazi tena akwendreeeeee asiharibu vibe la maisha
Hahaaaa....ndo ambacho sikitakagi jitu linakutelekeza miaka 20 mfano then anarudi uzeeni kujifia mi nakutimua asseeehh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mtu akiheshimu familia ataheshimiwa tu so kikubwa timiza nafasi yako pia usijisahau kujiwekeza wewe binafsi, lakini nyie wanaume nguvu na akili mnawekeza kwa mahawara, ila ukipenda familia hawakuachi loh
 
Umejanjuruka uzeeni? yani umeshaharibu toka mwanzo yani nyie ndo mnaharibu maagano mikipata majanga mnaanza kusema. Yani kwa ufupi tuu huyo mwanamke sio mkeo
 
Ndugu yangu binadamu Tuna tofautiana, ummjengea mchepuko nyumba kali sana,
Amekushurutisha muachane, tena kwa sharti hilo, hapa kila dalili inainesha tayari alikuwa na huyo jamaa Ndio maana akampa hilo sharpies akamwoe kanisani wakati anajua jamaa yake ana ndoa, ujue alifanya makusudi jamaa amwache naye aendelee na mtu wake, kwa sababu alijua jamaa hawezi kwenda funga ndoa nyingine kanisani,

Sasa hata kama karatasi zina majina ya watoto, ndio nimuachie nyumba? Ili iweje sasa,

Mimi siwezi mwachia nyumba ati,

Kwa kisa hicho, wewe mwanaume usithubutu kuandika jina la ‘ my wife ‘au watoto kwenye mali zako ‘

WANASEMAGA UJANJA KUWAHI,
Bora uandike la mama yako
 
Ahsante shemeji,
Lakini ujue nini, comment zenu kuna watu wengine zina wauma humu, wako kimya tu

Wanapapa experience through mimi

Ha ha ha ha
Mimi nimeshaziolea wala sina shida

Maana mambo mengine kuwa uyaone
Yani dah pole sana yani hata kucheka unacheka basi tuu. Yani mwanaume anaezeeka akiwa na mkewe huzeeka kwa amani sana.
 
Eeh si ndiyo tunasemaga tu "nipo tu kwa ajili ya watoto wangu". Fainali uzeeni
Inabidi tuanzishe chama cha wanawake walioolewa tuwakandie hawa wanaume wanaoona kama kuchepuka ni fahari. Hawajui inatuathiri vipi kisaikolojia
 
Eeh si ndiyo tunasemaga tu "nipo tu kwa ajili ya watoto wangu". Fainali uzeeni
Shemeji , kama umeota! Mbona hayo maneno nimeshatamkiwa!
Nimeyasikia sana kwa mashosti zake,
Mala, Watoto wangu wakikua natimka, mala watoto wakimaliza shule natimka!

We acha tu, wanaume tunavumilia mengi,
Halafu sasa watoto ndio wanamaliza form six, nikifikilia kimbembe cha chuo tena na makaro yao hayo, halafu unaona kabisa unasomeshea jibwada hilo, yaani naumia hasa,

Ila vile vile nimetoa uamuzi mwaka wa kwanza simsomeshi, nakaa kimya nitegee hilo mama lake limsomeshe, ili nione litasema nini,

Na litoto lione umuhimu wangu, wakishindwa in take inayofuata namsomesha,
Au vipi unasemaje Shem lao,?
 
Shemeji wale ni watoto wako, kuwasomesha ni wajibu wako. Kama wamefuatisha akili za mama yao, hata wasikusumbue: fainali itakuwa kwenye ndoa zao. Ila usiache kuwahudumia hata iweje
 
Umejanjuruka uzeeni? yani umeshaharibu toka mwanzo yani nyie ndo mnaharibu maagano mikipata majanga mnaanza kusema. Yani kwa ufupi tuu huyo mwanamke sio mkeo
Ndio nimejanjaruka, lakini nimepoteza kitu gani sasa,,
Na huyo nani sio mke wangu?

Huyo wa ndoa au ?

Kama wa ndoa ataendelea kuwa mke wangu, akiona hawezi kuwa mke wangu inamaanisha kashindwa ndoa.

AMA hapo vipi
 
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]akalime mahindi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitarudi kwangu, hapo ni kwangu, ukiona namna gani vipi nakutimua vile vile ukalime mate mbele kwenu.

Si unajua maguvu yetu,
Hayo maneno semeeni huko huko mnasukana nywele,
Ukirudi nyumbani una mute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…