Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Babu bhana [emoji3][emoji3][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rafiki yako alikuambia kwamba huyo mwanamke ni Primitive muache ndio alikuzibua masikio. Mtafute huyo mtu atakupa ushauri wa maana kuhusu hiyo nyumba
 
Huyo ana mapepo kweli
 
Ndio nimejanjaruka, lakini nimepoteza kitu gani sasa,,
Na huyo nani sio mke wangu?

Huyo wa ndoa au ?

Kama wa ndoa ataendelea kuwa mke wangu, akiona hawezi kuwa mke wangu inamaanisha kashindwa ndoa.

AMA hapo vipi
Sawa
 
Wanaume wenzangu kuna jambo la kujifunza hapa,kichwa cha chini sio kizuri
 
Mkuu mwitore pole sana ila kikubwa maisha ya nyuma hayafai ku editiwa yashapita ushayapitia kikubwa upo hai ,nawaona vijana wengine wakitengeneza maisha kama yako ni jambo la muda tu watakuja kusimulia hapa miongo ijayo.

Kwa mke mdogo sidhani kama una watoto wa kiume nimefuatilia tangu mwanzo,ulikua sahihi kuuza nyumba kwa mke mdogo ila ulifail kucheza na akili za bi mdogo., Yule zile hela ungezikwara zote ungejenga nyumba ya familia vyumba vitatu akae na wanawe amalizie maisha yake umo, hao watoto wa kike wataolewa wote atabaki yeye ,

Wekeza sana ambapo unamtoto wa kiume iwe kwa mke mkubwa au mdogo ,sisemi ubague ila watoto wa kike wakishakukataa basi kaa pembeni.

Hayo maswala bi mkubwa akiyasikia anaweza kufa kwa presha bora ayasikie either umetangulia or atangulie we utakua umeahinda bingo ya kutomvunja moyo wake wote.

Endelea kutunza siri yako base ktk upande ambao unaona uzee wako utaumalizia hapo bila stress, au tafuta kiportable kingine kikuondoe stress uwe na pensheni njema.

Kuhusu kupokea penshen na bimdogo kuingoja kwa hamu,itabdi iyo hamu yake uikate kwa kumshikisha chochote kitu bila ivo utaharibu.

Thanks i have learned much from this story #mwitore_power
 
Kuna rafiki yako alikuambia kwamba huyo mwanamke ni Primitive muache ndio alikuzibua masikio. Mtafute huyo mtu atakupa ushauri wa maana kuhusu hiyo nyumba
Poa ndugu yangu,
Ila ushauri nimeshapokea mwingi humu kwenye janvi, na nimeshatoa uamuzi tayari,

Ila bwana jamaa alivyoniambia hivyo kipindi kile alinisikitisha sana, ila sasa hivi nimemkumbuka sana maneno yake,

Maana alinishauri mpaka twende kwa waganga wa kienyeji,
Maana alishaona mimi ndugu ya nimeshakipwa kile kipande cha..........
 
Godi,
Ahsante sana kwa ushauri wako murua, kuna kitu umenikumbusha hapo, , kuwa watoto wa kike huolewa! Hii ni habari mpya nilikuwa sijaifikiria kabisa,

Da hapo kuna relief fulani nimeipata,

Kuna kuhusu bi mdogo alishajitimua mwenyewe,
Hayupo huu ni mweli tayari, maana keshanipunguzia kazi ya kumwondoa,

Helafu kila nikiangalia pesa yangu niliyokuwa nampa imebaki mikononi mwangu huwa nafarijika sana,

Kama jana niliichukua yupo nikaitupa chini, halafu nikaiokota tena, nikakimbia kwenye kibanda cha tigo pesa nikamtumia mama huko kijijini, du , Mama hakuamini, aliniuliza, baba hela yote hii ya nini,

Nikamwambia nimekosea mama kutuma huko, baadaye nikamwambia ni yako Mama halafu nikakata simu
 
Dah kwa maelezo haya I can feel lonelness yako
 
Duu kaka yangu [emoji24][emoji24][emoji24] ulirogwa sio kwa akili hiyo, hivi muda huo upo hapo mtu anakupigia simu kuwa kamuona mkeo anaingia hotel ungeondoka hapo kweli? Au ndiyo umepigwa roba na bimdogo?
 
Ulikuwa unaishi na tanuri la moto
 
Wanaume wengi mpo hivyo mkuu, badala yakujenga kwa mkewe anaona kama kumkomesha mke wa nyumbani badala yakukaa chini na kuyamaliza, sasa hayo maji anayaoga mwenzenu yana upupu ndani yake!
 
Na hiyo ndiyo Raha ya uislamu..

Viongozi wa kikristo wakosee siku Mona waseme mwanaume wa kikristo aoe mke zaidi ya mmoja utaona vurugu lake 😂😂
Kuoa mke mmoja au wanne ni sheria zilizowekwa na wanadamu lakini MUNGU hajawahi kuwawekea wanadamu ukomo wa kuoa ndo maana manabii wa zamani walikuwa na wake wengi na hatujawahi kusikia wakihesabiwa dhambi. ikiwa sheria za Kanisa haziruhusu waweza kufunga ndoa ya kimila na maisha yakaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…