- Thread starter
- #1,741
Sawa nimeelewaShemeji wale ni watoto wako, kuwasomesha ni wajaibu wako. Kama wamefuatisha akili za mama yao, hata wasikusumbue: fainali itakuwa kwenye ndoa zao. Ila usiache kuwahudumia hata iweje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nimeelewaShemeji wale ni watoto wako, kuwasomesha ni wajaibu wako. Kama wamefuatisha akili za mama yao, hata wasikusumbue: fainali itakuwa kwenye ndoa zao. Ila usiache kuwahudumia hata iweje
Babu bhana [emoji3][emoji3][emoji119]Ndugu yangu weee, ni wewe mwenye mawazo hayo, utadanganywa na huyo mwanamke na utaenda tu, kwani hawa ndugu zetu uwezo wa kukuua kwao ni rahisi tu, kuliko kukushawishi kwenda naye kwako ?
Hivi hujawahi kusikia mwanaume kafumania mkewe kwake, na akachoma kisu na kuuwa?
Fuatilia sana hivi visa, vipo vingi sana,.
Hawa ndugu zetu ni dhaifu sana ikifikia unamtosheleza.
Ila kama unataka kuepuka yote hayo, jenga sasa hivi tabia kabla ya kurudi nyumbani mpigie simu kuwa unarudi,
Au ukifika nyumbani anza kupiga piga madumu hapo nje,
Na usirudi ghafla nyumbani, eti nilisahau kitu,
Maana unaweza kukuta ya kukuta ndugu yangu
CHEZEA HOUSE BOY WEYE!!!!!
CHEZEA GARDENER WENYE!!!!
CHEZEA FUNDI YA GARI YA MY WIFE WEYE,,,
CHEZEA SHEMEJI WEYE
CHEZEA BWANA MDOGO WEYE
CHEZEA HUYU UNCLE WAAANGUU WA KULEEEEEE
Kweli kabisa mkuu, nimejifunza sana sana[emoji848]Katika maisha ni muhimu sana vitu viwili usimtegemee mtu;furaha na Pesa!
Huyo ana mapepo kweliHata hivyo unatakiwa ujitafakari cariha.kwanini nini wewe peke yako ndio unaonekana kama punguani kati ya wanawake wa humu. Jumbe nyingi zinakutuhumu kuwa una shida mahali.kuwa na misimamo na namna ya uchangiaji wako sio tatizo kwenye mijadala inayohusisha watu wengi.lakini kwenye nyuzi nyingi kumekuwa na tuhuma kuwa hauko sawa,kama unapayuka hivi kama una mapepo.[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaNdio nimejanjaruka, lakini nimepoteza kitu gani sasa,,
Na huyo nani sio mke wangu?
Huyo wa ndoa au ?
Kama wa ndoa ataendelea kuwa mke wangu, akiona hawezi kuwa mke wangu inamaanisha kashindwa ndoa.
AMA hapo vipi
Poa ndugu yangu,Kuna rafiki yako alikuambia kwamba huyo mwanamke ni Primitive muache ndio alikuzibua masikio. Mtafute huyo mtu atakupa ushauri wa maana kuhusu hiyo nyumba
Godi,Mkuu mwitore pole sana ila kikubwa maisha ya nyuma hayafai ku editiwa yashapita ushayapitia kikubwa upo hai ,nawaona vijana wengine wakitengeneza maisha kama yako ni jambo la muda tu watakuja kusimulia hapa miongo ijayo.
Kwa mke mdogo sidhani kama una watoto wa kiume nimefuatilia tangu mwanzo,ulikua sahihi kuuza nyumba kwa mke mdogo ila ulifail kucheza na akili za bi mdogo., Yule zile hela ungezikwara zote ungejenga nyumba ya familia vyumba vitatu akae na wanawe amalizie maisha yake umo, hao watoto wa kike wataolewa wote atabaki yeye ,
Wekeza sana ambapo unamtoto wa kiume iwe kwa mke mkubwa au mdogo ,sisemi ubague ila watoto wa kike wakishakukataa basi kaa pembeni.
Hayo maswala bi mkubwa akiyasikia anaweza kufa kwa presha bora ayasikie either umetangulia or atangulie we utakua umeahinda bingo ya kutomvunja moyo wake wote.
Endelea kutunza siri yako base ktk upande ambao unaona uzee wako utaumalizia hapo bila stress, au tafuta kiportable kingine kikuondoe stress uwe na pensheni njema.
Kuhusu kupokea penshen na bimdogo kuingoja kwa hamu,itabdi iyo hamu yake uikate kwa kumshikisha chochote kitu bila ivo utaharibu.
Thanks i have learned much from this story #mwitore_power
Kama ya mamako kenge weweHuyo ana mapepo kweli
Dah kwa maelezo haya I can feel lonelness yakoGodi,
Ahsante sana kwa ushauri wako murua, kuna kitu umenikumbusha hapo, , kuwa watoto wa kike huolewa! Hii ni habari mpya nilikuwa sijaifikiria kabisa,
Da hapo kuna relief fulani nimeipata,
Kuna kuhusu bi mdogo alishajitimua mwenyewe,
Hayupo huu ni mweli tayari, maana keshanipunguzia kazi ya kumwondoa,
Helafu kila nikiangalia pesa yangu niliyokuwa nampa imebaki mikononi mwangu huwa nafarijika sana,
Kama jana niliichukua yupo nikaitupa chini, halafu nikaiokota tena, nikakimbia kwenye kibanda cha tigo pesa nikamtumia mama huko kijijini, du , Mama hakuamini, aliniuliza, baba hela yote hii ya nini,
Nikamwambia nimekosea mama kutuma huko, baadaye nikamwambia ni yako Mama halafu nikakata simu
SawaKama ya mamako kenge wewe
Duu kaka yangu [emoji24][emoji24][emoji24] ulirogwa sio kwa akili hiyo, hivi muda huo upo hapo mtu anakupigia simu kuwa kamuona mkeo anaingia hotel ungeondoka hapo kweli? Au ndiyo umepigwa roba na bimdogo?26, sep mwishoni,
Mahafari ya mtoto Dar ,
A
Nasikia kaja lakini kaenda moja kwa moja kwa rafiki,asubuki saa nne nipo, mala nawaona wanakuja, nilienda na rafiki yangu mmoja wa kazini,
Wanafika wote wananipita bila kunisalimia,
Mimi nawasalimu kimya,wamekuja na vyakula vya mtoto na keki,
Na hizo raha utamwachia nani[emoji23][emoji23]Nimekoma, kuchepuka sasa basi.
Na hizo raha utamwachia nani[emoji23][emoji23]Nimekoma, kuchepuka sasa basi.
Wabaki nazo wenyeweNa hizo raha utamwachia nani[emoji23][emoji23]
Ulikuwa unaishi na tanuri la moto27- namwomba yule rafiki ajaribu amwambie nina maongezi naye lakini, anajibu sisi tumekuja kwa shughuli ya mtoto, nikamwomba basi naomba niongee na wewe,
Akasema lakini nikupe simu ya mzee ili alinipe ruhusu ya kuongea na wewe,
Yule rafiki yangu alinivuta shati kwa ghafla bila kutegemea,
Akaniambia tuondoke, ‘kumbe mwanamke mwenyewe ndio huyu, mbona yupo,(primitive sana) mmm yaani mke wangu Primitive, aliishia tu kuniambia yule sio mwanamke wa kunisumbua mimi, yaani sio hadhi yangu kabisa, kwamba ana mwonekano wa kishamba hasa, acha tabia yake.
Wanaume wengi mpo hivyo mkuu, badala yakujenga kwa mkewe anaona kama kumkomesha mke wa nyumbani badala yakukaa chini na kuyamaliza, sasa hayo maji anayaoga mwenzenu yana upupu ndani yake![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Huyo rafiki yako alikuambia ukweli yaani na elimu yako hiyo uliyonayo pa1 na exposure Kubwa uliyonayo kupitia career yako imekuwaje ukaenda kuchukua mwanamke ambaye Ni low minded kiasi hicho ..yaani fundi cherehani anakuburuza hivyo mtu una exposure kubwa ya maisha na kwa level ya elimu yako na status uliyonayo kikazi unaweza ukang'oa mwanamke yeyote yule unayempenda ...... Sorry I have to say this Mzee wangu umepata nafasi nzuri kikazi na kimaisha lakini kwa muktadha wa hii simulizi unayo tupatia nashawishika kusema kwamba haujawahi kuenjoy maisha yako vile inavyo stahili ... Ulishindwa kuilinda brand ............... " Binafsi siwezi kumpa mwanamke wa hovyo hovyo nafasi ya kutawala maisha yangu hata siku 1 ..... Yaani kwanza siku ambayo atakayo nijibu shit tu ndio siku hiyo hiyo naachana nae hanioni mazima ktk maisha yake' nachukia violence Kama navyo ichukia Corona
Kuoa mke mmoja au wanne ni sheria zilizowekwa na wanadamu lakini MUNGU hajawahi kuwawekea wanadamu ukomo wa kuoa ndo maana manabii wa zamani walikuwa na wake wengi na hatujawahi kusikia wakihesabiwa dhambi. ikiwa sheria za Kanisa haziruhusu waweza kufunga ndoa ya kimila na maisha yakaendelea.Na hiyo ndiyo Raha ya uislamu..
Viongozi wa kikristo wakosee siku Mona waseme mwanaume wa kikristo aoe mke zaidi ya mmoja utaona vurugu lake 😂😂