Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Ndio maana sijawahi waonea huruma, msiba wa kujitakia huo.

Yani mwishoni lazima mwanamke ndio awe mshika mpini
Sijawahi kuona mwanaume anafurukuta mwishoni
Sababu mwanamke anakuwa na watoto upande wake always na huwa wanasubiri wazee wazeeke warudishe mapigo[emoji28][emoji28]
Wanaume wahuni mwisho wao unakuwaga mbaya wanajisahaulisha tu hapa....
 
Duh mie sikupi pole ila nakupa hongera na ndivyo mwanaume anatakiwa kuwa japo umeonyesha udhaifu kidogo kwa bimdogo
 
Hahaha usicheke dear tumuonee tu huruma baba yetu

Halafu na nyie akina dada kwenye huu uzi mmeona ubaya wa akina baba tu. Hamjaona huyo nyumba ndogo anavyoenda kudumbukia shimoni. Nani anaenda kumuoa at 42,kama siyo kuchezewa na viserengeti boys
 
Halafu na nyie akina dada kwenye huu uzi mmeona ubaya wa akina baba tu. Hamjaona huyo nyumba ndogo anavyoenda kudumbukia shimoni. Nani anaenda kumuoa at 42,kama siyo kuchezewa na viserengeti boys
Mkuu hapo kila mtu ana makosa yake na yameshatokea hakuna jinsi

Mwanamke ana makosa yake kuingilia ndoa ya watu na mwanaume ana makosa ya kuchepuka angetulia na mkewe yote haya yasingemtokea

Maji yakishamwagika hayazoleki
Tusubiri mpaka mwisho tuone nani wa kumuonea huruma
 
Yani story yako inaweza kunipa fundisho la muhimu sana. I am in the same mess in my 30's kabsa na bado sijaoa na watoto ni wadogo....

Ngoja niweke kambi....
Yaani hapa kambi muhimu ... Nimetoka kujifunza kwa yule mwanamzuki was Kenya aliye msomesha mchumba halafu akapigwa tukio [emoji16][emoji16]

Now nasubiri story ya broh hapa niongeze energy kichwani ... Hawa viumbe Hawa Daahh [emoji119][emoji119][emoji119][emoji16]
 
Aisee maisha yamejaa maumivu Sana [emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…