Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
Jikoni tena baba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikoni tena baba
Katuingiza chaka kivipi?Mkuu umejiunga Leo tu jf lakini tayari ushaanza kutuingiza chaka.View attachment 1698495
Ndio maana sijawahi waonea huruma, msiba wa kujitakia huo.
Mkuu hayo achana nayo acha tumaliziwe tu yaliyomsibuMkuu umejiunga Leo tu jf lakini tayari ushaanza kutuingiza chaka.View attachment 1698495
Hahaha usicheke dear tumuonee tu huruma baba yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umejiunga Leo tu jf lakini tayari ushaanza kutuingiza chaka.View attachment 1698495
Hahaha usicheke dear tumuonee tu huruma baba yetu
Sijui kwanini wachafua hali ya hewa hamkosekaniMkuu umejiunga Leo tu jf lakini tayari ushaanza kutuingiza chaka.View attachment 1698495
Mkuu hapo kila mtu ana makosa yake na yameshatokea hakuna jinsiHalafu na nyie akina dada kwenye huu uzi mmeona ubaya wa akina baba tu. Hamjaona huyo nyumba ndogo anavyoenda kudumbukia shimoni. Nani anaenda kumuoa at 42,kama siyo kuchezewa na viserengeti boys
[emoji16][emoji16][emoji16] wyyat akija hapa atakutukana mpaka basiSawa kabisa, naomba uwaite, na kule yule bwana anaitwa sijui wytson , nimekosea jina ila mkali mkali hivi, avatar yake nadhani ni yule mwenzie Martin Luther King
Yaani hapa kambi muhimu ... Nimetoka kujifunza kwa yule mwanamzuki was Kenya aliye msomesha mchumba halafu akapigwa tukio [emoji16][emoji16]Yani story yako inaweza kunipa fundisho la muhimu sana. I am in the same mess in my 30's kabsa na bado sijaoa na watoto ni wadogo....
Ngoja niweke kambi....
Aisee maisha yamejaa maumivu Sana [emoji26]Kaka usijali, we maliza kisa tutakushauri vema hutakaa ujutie.
Haya ni maisha ndugu yangu, na kila mmoja ana mapito yake, lait watu wangesimuliana nadhani yako ungeona nafuu mara dufu zaidi. So, relax wala usiogope kabisa chochote.
Ni kweli kwa muda utaumia na kuteseka lkn yatapita kama mengine yapitayo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ndoa tabia zenu
Umeanza [emoji16]Ndio maana sijawahi waonea huruma, msiba wa kujitakia huo.
Kashapigwa jujuEndelea sasa robo saa ishapita, au bado akili haijakaa sawa?