Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

KULA NA KUNYA ni kitu kimoja
NGONO sawa kabisa
#1 ni PESA bila ya pesa huko Ofisini usingempata huyo bibie aliyetoka kijijini ungebaki na mkeo ambaye mpaka leo anavumilia kwa sababu ya vijisent unavyompa.
Tunafanya kazi ili tupate ujira wa kula kujenga, kusomesha nk
 
Stori yako ina funzo kubwa sana,cha kukushauri kwa sasa tulia na bi mkubwa; lasivyo uzee wako utakuwa na changamoto kubwa sana kama hutoweka sawa mambo yako kwa sasa
 
Demu Mshamba afu Malaya
Umalaya Uko Damuni
Afu umakomaa
Achana nae uza Mjengo
Kama mbwai iwe Mbwai.
 
Kwa hili umejishushia heshima mkuu.
 
Kwa hili umejishushia heshima mkuu.
Sihitaji heshima ya mtu yalikuwa maoni yangu ka yalivo yako na sio mda wote yutafanana au kukubaliana kuhusu jambo, that's life and it's okay.
 
Nakuunga mkono mkuu. mimi hapa nimeingia 50s, natafuta dogodogo wa kuniheshimu ,huyu bi mkubwa naona ameanza kunifokea
 
Nyumba iache kwaajili ya watoto maana watoto wa bi mkubwa wanasehemu wanayoita nyumbani kwahio na hawa waachie sehemu ya kuishi.Kuhusu hilo eneo kuna MTU kakushauri uligawe eneo LA nyumba na LA viwanja viwanja uvimiliki tofauti, na ulizungushie fence eneo la viwanja.
 
Mimi hata menopause siko nakaribia 60. Wanaume humu wajinga kweli jibuni hoja hamna tusi au kashfa mpya ambavyo sijaandikwa humu na nyie vibamia wa humu kutwa kutukana na vibamia vyenu mfyuuu
Binti unatukosea sana na mabolo yetu ya thamani
 
Sasa kwanini uhangaike hivyo na kidampa ulishapata watoto naye sawa funga mkataba naye, najua mke wa nyumbani kwasababu ni mpole wala hana shida unamnyima upendo wako wa haki unahangaika na mchepuko? Embu kama una dini nenda kwa mchungaji wako mwambie akuombee hilo wingu likutoke , kitendo cha kwenda kwao ukachinjiwa na mbuzi haaa haaa ulijiweka kwake mazima yaani akili yako ilibaki hapo, nenda kwenye maombi uombewe utakaa sawa, utanishukuru siku moja.
 
Ndugu wa mme kujua sio ticket ya mke mkubwa kujua, hakuna watu wanafiki kama ndugu wa mme, huwa ni wanafiki hakuna mchezo
 
H
Mke wangu ni mrembo sana,
Tena kusema kweli hata hiyo zamani sikujua kama ni mrembo hivi,
Ila pamoja na ezee unaomnyemelea, aiseee
Siamini kama huyu ni mke wangu!!!

Na anavyopigilia vitu, mpaka naona wivu

Kwa hiyo kusema nilioa sijui ovyo sio kweli
Hapo ndipo nachokaga.
 
Baasi watoto wakubwa na mke wanajua kama una mke mwingine ndugu [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]ila mama mkwe jamani ,hawa wamama zetu unalala kwa bimdogo ambae hajulikani.Ndugu wa mume shikamoooni aseehh

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu apate janga huko mke mkubwa ndiyo unaambiwa mie nakauka, nimesema ndugu wa mme huwa wanafiki sana ,Mzee anateseka sababu ya usaliti wa ndoa
 
Nguvu za nini best hapo nikuwekwa kama mapazia tu kila mtu anatafuta pakujipotezea, atakayejifanya mlokole anakufa na ugwadu wake
 
Hahahaaahah eti atakayejifanya mlokole mweeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nguvu za nini best hapo nikuwekwa kama mapazia tu kila mtu anatafuta pakujipotezea, atakayejifanya mlokole anakufa na ugwadu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…