Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KULA NA KUNYA ni kitu kimojaNa changudoa atakuletea mimba nyumbani,
Kama hutaki hayo mambo acha kabisa kudeal nayo
Kwa nini uhangaike na machangu,
Na ukiacha tunajua wewe ni mwanaume suruali,
Mimi nilishajitambua, kuwa, hapa duniani tupo kwa ajili ya vitu 3 tu,
1- KULA 2- KWENDA CHOONI
3- NGONO
basi, vingine vyoteeee ni mbwembwe tu!!!!
Anaweza iuza anaonekana hana akili nzuri, sahizi anataka kula usichanaMwachie nyumba, si ana watoto?
Au una sababu gani nzuri ya kumweka mbali na hiyo nyumba?
Kwa hili umejishushia heshima mkuu.Hapo kwa chuki tu ndo nimekuona hamnazo that's was my opinion na wala haihusiki na chuki kabisa why should I envy someone older than me ambaye ana shindwa ku handle maisha yake na kuja kulia lia humu kwenye forum tena mwanaume it means your in dillema na huna peace of my mind, maana una force watu wakubaliane na justification zako wakati unaumia na kukukula ndani your not happy at all, tena unagutuka uzeeni dakika ya 59. Hyo sijui kuoa hata wa 18 sio shida je una nguvu za kiume za kutosha maana mabaharia wenzako wana handle hii issue kikawaida.
Wewe kubali uliingia Cha kike acha kutafta justification Ili upoze machungu ka viwanja hata mimi ninavyo sembuse mzee mzima unayekaribia ku expire kweli, pole hii kitu itakukula then mkeo ndo wa kuja kukulea so hyo kujenga sio viwanja watu wengi Wanavyo, so usione kuandika hivo eti mie nitaona wivu kwa kipi hasa shaaaaa in maasai voice.
Wewe tuliza mshono wako bwana ur not exceptional watu Wana wake wengi na hawajilizi Hadi sasa kuhangaika na mchepuko ni kwamba huna amani
Sihitaji heshima ya mtu yalikuwa maoni yangu ka yalivo yako na sio mda wote yutafanana au kukubaliana kuhusu jambo, that's life and it's okay.Kwa hili umejishushia heshima mkuu.
Nakuunga mkono mkuu. mimi hapa nimeingia 50s, natafuta dogodogo wa kuniheshimu ,huyu bi mkubwa naona ameanza kunifokeaKutokuheshimu kitu gani, ndoa?
Ninauhakika gani kwamba yeye anaiheshimu ndoa, kwani simpi chakula, iwe cha usiku au mchana, havai? Sijamjengea nyumba? Watoto wako siwasomeshi?
Hivi unafahamu hawa wake zetu wa ndoa na wenyewe wana michepuko yao,?
Tena wenyewe ni mibaya kabisa!
Maana pesa unahenyekea wewe ndio wanalipia guest huko, na wengine mpaka wanawajengea nyumba kawa pesa zako
Hebu nikuulize, kwani hawa wanaoitwa MARIOO ni Nani nani wanawafinance? Ni hawa wake zetu wa ndoa ndugu,
Wewe jifanye mtakatifuuu, henyeka kama punda kumbe yeye anakidumu chake huko,
Akishazeeka anakimbilia kwa watoto wake, unabaki mwenyewe,
Nimeambiwa sana humu nikishazeeka napigwa kibuti, lakini hawajui hata wenyewe wakizeeka huwa tunaomba waende hukohuko kwa watoto wao,
Ananikalia hapa nyumbani kunizibia nafasi tu, wakati mimi nataka dogodogo, alaaaa,
WANAUME EEE, WANAUME EEE,
Tujiandalie maisha yetu binafsi ya uzeeni,
Kama kushikwa sikio tumeshashikwa,
UNASUBILI NINI?
Nyumba iache kwaajili ya watoto maana watoto wa bi mkubwa wanasehemu wanayoita nyumbani kwahio na hawa waachie sehemu ya kuishi.Kuhusu hilo eneo kuna MTU kakushauri uligawe eneo LA nyumba na LA viwanja viwanja uvimiliki tofauti, na ulizungushie fence eneo la viwanja.OMBI WAKUU NA USHAURI
hii nyumba niifanye nini, ni nyumba kubwa,
Ipo kwenye kiwanja cha eka moja,
Eneo ni ni zuri sana, sasa hivi nyumba ni nyingi, lakini ya kwangu kila mtu anaitamani,
Ila bado haijaisha,
Madilirisha nilishaweka ya aluminium bado matatu tu ya dining room
Binti unatukosea sana na mabolo yetu ya thamaniMimi hata menopause siko nakaribia 60. Wanaume humu wajinga kweli jibuni hoja hamna tusi au kashfa mpya ambavyo sijaandikwa humu na nyie vibamia wa humu kutwa kutukana na vibamia vyenu mfyuuu
Sasa kwanini uhangaike hivyo na kidampa ulishapata watoto naye sawa funga mkataba naye, najua mke wa nyumbani kwasababu ni mpole wala hana shida unamnyima upendo wako wa haki unahangaika na mchepuko? Embu kama una dini nenda kwa mchungaji wako mwambie akuombee hilo wingu likutoke , kitendo cha kwenda kwao ukachinjiwa na mbuzi haaa haaa ulijiweka kwake mazima yaani akili yako ilibaki hapo, nenda kwenye maombi uombewe utakaa sawa, utanishukuru siku moja.Mke wangu ni mrembo sana,
Tena kusema kweli hata hiyo zamani sikujua kama ni mrembo hivi,
Ila pamoja na ezee unaomnyemelea, aiseee
Siamini kama huyu ni mke wangu!!!
Na anavyopigilia vitu, mpaka naona wivu
Kwa hiyo kusema nilioa sijui ovyo sio kweli
Kwahiyo hana ?Si mpaka uwe navyo.
[emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216]
Ndugu wa mme kujua sio ticket ya mke mkubwa kujua, hakuna watu wanafiki kama ndugu wa mme, huwa ni wanafiki hakuna mchezoNimesoma karibu visa vyote ulivyoandika na nimeshawishika kuandika hivi vimstari vichache.
Kimoja kati ya haya yafuatayo huenda ikawa sawa
1. Una zile wanaaita laana za ukoo au umechezewa/Umetekwa akili kimazingara ama na huyo unayemuita mke mdogo au mtu mwingine tu (ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki tu).
Mwanadamu mwenye ufahamu wa kawaida hawezi fanyiwa hayo uliyoyaandika umefanyiwa au fanya hayo uliyoandika umefanya na akaendelea kuona ni sawa tu.
2. Hiki ni kisa tu umeamua kufanya utunzi kwa nia ya kuelimisha. Kama nimesoma vizuri zile sehemu za mwanzo umeeleza kuwa mke mkubwa hana taarifa kama una mpango wa kando, lakini ukifuatilia mtirirko wa matukio ni kama maisha yako kwa kiasi kikubwa umetumia muda mrefu kuishi nyumba moja na huyo mpango wako wa kando.
Na kuna mahali umeeleza ya kwamba mpango wako wa kando wafahamika kwa nduguzo nawe kwa nduguze, sasa napata wakati mgumu kuelewa iweje taarifa hizi zikose mfikia mkeo wa kwanza.
3. Mkuu kama wewe unaona ni sawa kuwa na mpango wa kando, iweje umzue mpango wako wa kando kuwa na mpango wake wa kando?
4. Mwisho, hizi mambo za mipango ya kando hebu waachie watu wako na discpline ya kudeal na hizi mambo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nguruwe pitaaaaa......[emoji444][emoji443][emoji445][emoji344][emoji344][emoji350]
Hapo ndipo nachokaga.Mke wangu ni mrembo sana,
Tena kusema kweli hata hiyo zamani sikujua kama ni mrembo hivi,
Ila pamoja na ezee unaomnyemelea, aiseee
Siamini kama huyu ni mke wangu!!!
Na anavyopigilia vitu, mpaka naona wivu
Kwa hiyo kusema nilioa sijui ovyo sio kweli
Halafu apate janga huko mke mkubwa ndiyo unaambiwa mie nakauka, nimesema ndugu wa mme huwa wanafiki sana ,Mzee anateseka sababu ya usaliti wa ndoaBaasi watoto wakubwa na mke wanajua kama una mke mwingine ndugu [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]ila mama mkwe jamani ,hawa wamama zetu unalala kwa bimdogo ambae hajulikani.Ndugu wa mume shikamoooni aseehh
Sent using Jamii Forums mobile app
Nguvu za nini best hapo nikuwekwa kama mapazia tu kila mtu anatafuta pakujipotezea, atakayejifanya mlokole anakufa na ugwadu wakeIssue ni kwamba hata mkiolewa wanne, sio guarantee kwamba ndiyo mpo wanne tu, mume kamaliza tamaa zake. Issue hapa ni mwanaume kuchagua kuridhika na mke wake. Afu muolewe wake wanne, kwa nguvu zipi za kiume na uchumi upi kama sio kukaribisha umaskini? Multiple relationships=multiple confusions
Nguvu za nini best hapo nikuwekwa kama mapazia tu kila mtu anatafuta pakujipotezea, atakayejifanya mlokole anakufa na ugwadu wake