Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Ushauri wenu ni muhimu sana.

Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili..
Pole sana ndugu
 
Na akome tu
 
Ushauri wenu ni muhimu sana.

Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili...
Ninachokiona hapa inatafutwa sababu ya kuhalalisha kuachwa huyu mchepuko kitafutwe kibinti kingine cha miaka 20.

Kama ni biashara ulishaon hana akili ya ujasiriamali unaendelea kumfungulia kwaajili ya nini?
 
Ushauri wenu ni muhimu sana.

Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili..
Mbona wewe mimba yako wazazi hawakuitoa hadi ukazaliwa?/unafikiri kutoa mimba ninrahisi kama unakunya ! Inahitajinujasiri zaidi ya shetan. Hawa watotot ukishawakataa, watakhsumbua sana, tubu mjomba
 
Na wakome tu.
 

Ni kweli mkuu, binadamu tuna mapungufu sana na tumezidiana pia
 
Yani story yako inaweza kunipa fundisho la muhimu sana. I am in the same mess in my 30's kabsa na bado sijaoa na watoto ni wadogo....

Ngoja niweke kambi....
Same Mess gani na umesema hujaoa mkuu, n wattni wadogo kivipi? Au unaishi na mke ila bado ndoa, lakini kwa umri tafuta mke pata watoto? Nimeona kuna faida kubwa sana ukiwa na watoto na waanzishe shule mapema ukiwa na nguvu, kipindi cha kusoma kikianza ndio kipindi ambacho mambo mengi sana ya kimaendeleo yanasimama, kwa hiyo inatakiwa uchacharike hasa ili uwe nafuture yako nzuri,

Maana kwa umri nimeanza kuona wakati mwingine watoto ni wa Mama tu, sisi wanaume future yetu inategemea kila ulichojiandalia wewe mwenyewe, tunazaa tu ili ijulikane umezaa, ila bado nakuja huko!
 
duhh naona MAJAJI mmeshatia timu tiyari[emoji28]
 
Ubarikiwe
 
Aaaah!! Nyie ndo mnaanzaga, sie tukimaliza mnaanza kulia lia na kujitilisha huruma na kujifanya victims.
[emoji16][emoji16][emoji16] sasa hapo siunaona hi scenario inagusa jinsia zote 2 ... Adui was mwanamke ninani vileeeee .....................!???[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…