hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Kakuingiza Chaka gani !? Halafu watu wengine hamna adabuMkuu umejiunga Leo tu jf lakini tayari ushaanza kutuingiza chaka.View attachment 1698495
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakuingiza Chaka gani !? Halafu watu wengine hamna adabuMkuu umejiunga Leo tu jf lakini tayari ushaanza kutuingiza chaka.View attachment 1698495
Pole sana nduguUshauri wenu ni muhimu sana.
Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili..
Imagine !!! Halafu Kuna watu wanataka kumu abuse mleta madaThis is a cry for help,watu hujiua,hivhiv.Sonona huanzia mbali.
[emoji16][emoji16][emoji16]Kashapigwa juju
Na akome tuYani mwishoni lazima mwanamke ndio awe mshika mpini
Sijawahi kuona mwanaume anafurukuta mwishoni
Sababu mwanamke anakuwa na watoto upande wake always na huwa wanasubiri wazee wazeeke warudishe mapigo[emoji28][emoji28]
Wanaume wahuni mwisho wao unakuwaga mbaya wanajisahaulisha tu hapa....
Imagine !!! Halafu Kuna watu wanataka kumu abuse mleta mada
Ninachokiona hapa inatafutwa sababu ya kuhalalisha kuachwa huyu mchepuko kitafutwe kibinti kingine cha miaka 20.Ushauri wenu ni muhimu sana.
Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili...
Mbona wewe mimba yako wazazi hawakuitoa hadi ukazaliwa?/unafikiri kutoa mimba ninrahisi kama unakunya ! Inahitajinujasiri zaidi ya shetan. Hawa watotot ukishawakataa, watakhsumbua sana, tubu mjombaUshauri wenu ni muhimu sana.
Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili..
[emoji16][emoji16] sometimes kuoneana huruma tukiwa Kama binaadamu Ni muhimuKina nani hao[emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha lazima ujue kila ulifanyalo lina consequences zake
Ni kupiga moyo konde kuendelea kupambana
Na wakome tu.Yani mwishoni lazima mwanamke ndio awe mshika mpini
Sijawahi kuona mwanaume anafurukuta mwishoni
Sababu mwanamke anakuwa na watoto upande wake always na huwa wanasubiri wazee wazeeke warudishe mapigo[emoji28][emoji28]
Wanaume wahuni mwisho wao unakuwaga mbaya wanajisahaulisha tu hapa....
Mkuu hapo kila mtu ana makosa yake na yameshatokea hakuna jinsi
Mwanamke ana makosa yake kuingilia ndoa ya watu na mwanaume ana makosa ya kuchepuka angetulia na mkewe yote haya yasingemtokea
Maji yakishamwagika hayazoleki
Tusubiri mpaka mwisho tuone nani wa kumuonea huruma
Ila Hilo jina lako Ni sex libido tosha [emoji119][emoji119][emoji16][emoji39]Kina nani hao[emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha lazima ujue kila ulifanyalo lina consequences zake
Ni kupiga moyo konde kuendelea kupambana
Same Mess gani na umesema hujaoa mkuu, n wattni wadogo kivipi? Au unaishi na mke ila bado ndoa, lakini kwa umri tafuta mke pata watoto? Nimeona kuna faida kubwa sana ukiwa na watoto na waanzishe shule mapema ukiwa na nguvu, kipindi cha kusoma kikianza ndio kipindi ambacho mambo mengi sana ya kimaendeleo yanasimama, kwa hiyo inatakiwa uchacharike hasa ili uwe nafuture yako nzuri,Yani story yako inaweza kunipa fundisho la muhimu sana. I am in the same mess in my 30's kabsa na bado sijaoa na watoto ni wadogo....
Ngoja niweke kambi....
duhh naona MAJAJI mmeshatia timu tiyari[emoji28]Mkuu, kama haya ni ya kweli basi hiyo nyumba uliuza kwa bei ya hasara sana. 80,000,000 by 2016 ni hela ndogo sana ukilinganisha na jinsi ulivyoielezea hiyo nyumba na hilo eneo. Nyumba yangu yenye vyumba 4 nimeijenga kwa 60,000,000 lakini wala haipo eneo la kishua wala nini. Ipo huku uswazi kabisa how come wewe nyumba yenye kiwanja kikubwa na mazagazaga yote hayo uiuze kwa 80,000,000?
Aaaah!! Nyie ndo mnaanzaga, sie tukimaliza mnaanza kulia lia na kujitilisha huruma na kujifanya victims.Umeanza [emoji16]
UbarikiweKaka usijali, we maliza kisa tutakushauri vema hutakaa ujutie.
Haya ni maisha ndugu yangu, na kila mmoja ana mapito yake, lait watu wangesimuliana nadhani yako ungeona nafuu mara dufu zaidi. So, relax wala usiogope kabisa chochote.
Ni kweli kwa muda utaumia na kuteseka lkn yatapita kama mengine yapitayo.
[emoji16][emoji16][emoji16] sasa hapo siunaona hi scenario inagusa jinsia zote 2 ... Adui was mwanamke ninani vileeeee .....................!???[emoji3]Aaaah!! Nyie ndo mnaanzaga, sie tukimaliza mnaanza kulia lia na kujitilisha huruma na kujifanya victims.