- Thread starter
- #201
Ni kweli, sisi wanaume ni maguvu, lakini usisahau kwamba tuliambiwa majukumu yote ya kulea familia ni yetu, labda ndio maana kutokana na ugumu wa familia huwa tanajifariji kwa mambo kama haya, mwishowe tunapoteza.Yani mwishoni lazima mwanamke ndio awe mshika mpini
Sijawahi kuona mwanaume anafurukuta mwishoni
Sababu mwanamke anakuwa na watoto upande wake always na huwa wanasubiri wazee wazeeke warudishe mapigo[emoji28][emoji28]
Wanaume wahuni mwisho wao unakuwaga mbaya wanajisahaulisha tu hapa....
Ila ushauri kwa wanaume wenzangu tusisahau future yetu, hawa ndugu zetu huwa wapo kimya wanatutegea tu, tukishaishiwa au nguvu na kipato kupungua wenyewe hao wanakimbilia kukaa kwa watoto wao sisi hatuwezi,
KEEP IT IN YOUR MIND FROM TODAY