Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Yani mwishoni lazima mwanamke ndio awe mshika mpini
Sijawahi kuona mwanaume anafurukuta mwishoni
Sababu mwanamke anakuwa na watoto upande wake always na huwa wanasubiri wazee wazeeke warudishe mapigo[emoji28][emoji28]
Wanaume wahuni mwisho wao unakuwaga mbaya wanajisahaulisha tu hapa....
Ni kweli, sisi wanaume ni maguvu, lakini usisahau kwamba tuliambiwa majukumu yote ya kulea familia ni yetu, labda ndio maana kutokana na ugumu wa familia huwa tanajifariji kwa mambo kama haya, mwishowe tunapoteza.

Ila ushauri kwa wanaume wenzangu tusisahau future yetu, hawa ndugu zetu huwa wapo kimya wanatutegea tu, tukishaishiwa au nguvu na kipato kupungua wenyewe hao wanakimbilia kukaa kwa watoto wao sisi hatuwezi,

KEEP IT IN YOUR MIND FROM TODAY
 
Mkuu nasubiri nione mwisho wa mkasa wako, then nitatoa ushauri wangu. Najifunza
 
Uyo bi mdogo itakua ulimpenda sana
Ni kweli, siwezi mwanamke ambaye roho yangu haimpendi, siwezi kukaa naye hata Dk moja, ila naye lazima anipende , kama huyu kusema ukweli alinipenda sana, ukiona mwanamke mpaka anakulalia miguuni mpo chini ya mti mnasililiza radio band mbili, huyo ni wako,
Ila awe bado mbichi hawa wakubwa wakubwa wanaweza kuwa na malengo yao
 
Pole sana tupe stori tupate som

Sidhani mkuu,ni mfuatiliaji mzuri wa Jf mpaka kuna members amewa cc waje kumshauri hapo juu. Kwa ufuatiliaji huo ndiyo ameona hapa Jf anaweza wapata watu wa kumshauri vizuri duku duku lake la moyoni
Upo kweli kabisa, mimi nimfualiaji mzuri sana wa JF, nadhani social media naingia kuliko zote, kwa siku ninaweza kuwa humu masaa zaidi ya matatu kwa vipindi tofauti tofauti
 
He seems to be a good person despite his past mistakes, sijui kwa nini watu wanaojali na wazuri huishia kukutana na mambo mabaya, maybe ni balance ya nature, Mungu amvushe katika mtihani wake huu.
Kabisa...he seems to be a nice mbaba[emoji8][emoji8]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Halafu na nyie akina dada kwenye huu uzi mmeona ubaya wa akina baba tu. Hamjaona huyo nyumba ndogo anavyoenda kudumbukia shimoni. Nani anaenda kumuoa at 42,kama siyo kuchezewa na viserengeti boys
Da umegusa kweli hapo,
Sikutegemea huyu mtu anaweza kuwa mjinga hivi, ila sisi wanaume ni wabaya sana kuwadanganya hawa viumbe
 
Ni kweli, siwezi mwanamke ambaye roho yangu haimpendi, siwezi kukaa naye hata Dk moja, ila naye lazima anipende , kama huyu kusema ukweli alinipenda sana, ukiona mwanamke mpaka anakulalia miguuni mpo chini ya mti mnasililiza radio band mbili, huyo ni wako,
Ila awe bado mbichi hawa wakubwa wakubwa wanaweza kuwa na malengo yao
Hujakoma tu?[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom