Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Mbona mimi umenisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mimi umenisahau
umeandika maneno makali (yakipuuzi) sana bora usinge andikawee mzee wa miaka 50 lete bas story hyo ,,,au unataka kutuambia tukitaka muendelezo tununue kitabu kipo madukani[emoji41]
enhee😌Jibu lake lilikuwa ni kwamba unajua wewe una mke mkubwa na una familia kubwa huko unaweza kutumia kwa mambo mengine, baada ya kufikilia sana, nikaona ana hoja
Huku kwetu ni saa tano usiku, lala mkuu tuendelee keshoJibu lake lilikuwa ni kwamba unajua wewe una mke mkubwa na una familia kubwa huko unaweza kutumia kwa mambo mengine, baada ya kufikilia sana, nikaona ana hoja..
Umenena Ba mjengo, Michepuko haijawahi kuacha mtu salama
Hao niliowaita tunakuaga wote kwenye masimulizi sijawahi kukuona mimi youngMbona mimi umenisahau
Hivi muda wote huo ukiwa kwa mke mdogo kule kwa mke mkubwa inakuwaje? Na anakuwa anajua umeenda wapi?Jibu lake lilikuwa ni kwamba unajua wewe una mke mkubwa na una familia kubwa huko unaweza kutumia kwa mambo mengine, baada ya kufikilia sana, nikaona ana hoja...
Atabaki kuwa mchepuko tu mkuu mpaka utakapo amua kumtambulisha kwa mkeo, ndiyo atatambulika kama mke mdogo, hakuna justificationIla Mode, kwa heshima na ubinadamu, naomba hilo neno, MCHEPUKO ondoa na weka neno Bi mdogo au Mke Mdogo....
Mkuu naomba ukumbuke kutuwekea muda wa matukio yanavyotokea. Hapa ilikuwa mwaka Gani?Sasa baada ya kupokea lile fungu la kwanza
30m, mimi haraka sana nikaenda kupunguza madeni yangu, hata hivyo Hays kwish
Duh!Sasa baada ya kupokea lile fungu la kwanza
30m, mimi haraka sana nikaenda kupunguza madeni yangu, hata hivyo Hays kwisha,
Na yeye nikamwita kwamba tukae chini ili ile 15m yake tuipangie matumizi ya kwanza kabisa,
Ushauri wangu ilikuwa tununue kiwanja kwanza,
Sehemu ambayo sio ghari sana,
Hapo sasa ndio kimbembe kilipoanza,
Ila kufupisha story nilimwambia basi wewe unataka tuanze na nini? Akanijibu hiyo pesa anataka afanyie biashara wakati ujenzi unaendelea, nikamwambia biashara mbona tumefanya na tunasnguka, hata hivvyo sio mbaya wewe kutaka kufanya biashara lakini ni bora tuwe na kiwanja kwanza,
Kusema kweli zogo lilikuwa kubwa ananipayukia na mimi natumia ubaba wangu sasa kulazimisha, ndio alipoamka kwenye kiti(tulikuwa tumekaa nje na watoto wanacheza hapo nje)
Alichoniambiakwa sauti kuu na kali ni kwamba
TOKA HAPA NA VISENTI VYAKO UNAVYONIPAGA,
Du ! Leo naambiwa visenti, yaani huyu mwanamke nimekopa pesa, nimempeleka ufundi cherehani, nimemfungulia saloon , grocer, mghahawa, dala dala, mtaji wa kuku wa kisasa,
Anaanguka namyanyua, anakopa vicoba anashindwa kumaliza nammalzia,
Nalipa watoto karo kwa mwaka jaribia Mil 6 na bado watoto ndio kwanza wanasafari, kwa nini ananivunjia heshima namna hii?
Kusema kweli sikujua kama niliokota jiwe au mti au ufagio, nimpige nao akawahi kukimbia, na mimi nikaanza kumfukuza, kama sijamrushia kila kitu ambacho mpaka leo sikijui, nikaanguka chini, yeye akaendelea sijui wapi , kusema kweli sikumwona,
Kuangalia nyuma naona watoto, kumbe na wenyewe wakawa wameshika mawe wanataka kunipigia nayo, nikaamka ili niwafukuze nikaenda chini tena , sasa hapo ndio nikaanza kusikia maumivu, na watoto wale kule wamesimama, sasa na wenyewe wanapaza sauti,
KWA NINI UNAMPIGA MAMA YETU SI UENDE KWENU!!!!!
Nitaendelea
Usitufokee sasa.Wanapenda kujipa stress na hawakomi
Huyu mzee ni mfano wa hawa mabaharia wa sasa wanao tamba wanasahau fainali uzeeni
Km wee [emoji196]wanavo kufurusha m,bade m,bade [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vile vichwa vya chini huwa vinatuhenyesha,hata mchakamchaka wa jeshi siyo kitu![emoji1][emoji1][emoji1]
AiseeeeeehAisee..jumba bovu limeanguka