Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Tutadakwa wengi humu mzee acha uvivu cheza na KEYBOARDJF waweke option ya voice clip
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutadakwa wengi humu mzee acha uvivu cheza na KEYBOARDJF waweke option ya voice clip
Umeongea vyema sana mkuu, hakika umeonyesha ukomavu ushauri mzuri sema sijui kama ndugu yetu huyu ataupokea, ni heri anaekushauru kwa kukuponya ingawa inauma kuliko anaekushauri kinafiki na kuukubali ujinga unaoufanyaMzee wangu kwanza pole kwa matatizo yanayokusibu japokuwa najua wewe mwanaume utaweza kuyamudu.
Kabla hata hujamalizia stori yako nadhani wengi tumeshajua shida iko wapi.
SHIDA NI BI MDOGO a.k.a MCHEPUKO japokuwa umesema apewe heshima zote kama mwenza wako lakini naomba nikuambie tuu hilo halitowezekana na wewe upo kwenye delusion state ndio maana akili yako inakataa kukubaliana na ukweli.
Ashakum si matusi, Kabla ya kukushauri naomba nikupe fact moja ambayo bado hujakubaliana nayo japokuwa ndio ukweli wenyewe. Huyo bi mdogo wako ni MCHEPUKO utake usitake. Huu ni ukweli mchungu ambao inabidi uumeze hivyohivyo ili upone. Japokuwa wewe unasema inabidi aheshimiwe na nini eti kwa sababu mmezaa naye lakini thats not a correct excuse.
Kwa nini nasema ni mchepuko/mwanamke ambaye si halali? Sababu kubwa ni kwamba DINI na MKE WAKO HALALI hajaridhia au hajayabiriki hayo mahusiano yako. Ni kweli hao watoto wenu ni halali na hawana kosa lolote lkn mahusiano yenu wewe na mama yao si halali ama ni haramu(ukweli mchungu na ni lazima uumeze ili kupona).
Naamini wewe una ndoa ya kikristo na ndio maana imekuwa ngumu kwako kumuweka hadharani/kumhalalisha huyo bi mdogo. Ungekuwa muislam basi ingekuwa rahisi sana kumhalalisha huyo bi mdogo na haya yote unayotusimulia yasingetokea.
Hivyo mzee wangu hapa cha kwanza inabidi ukubali moyoni mwako kwamba hapa ulibugi step na ni kitu ambacho ni haramu.The first step towards healing is Acceptance. Lazima akili yako ikubali kwamba this is wrong ndipo utaweza kufanya maamuzi sahihi. Huyo bi mdogo kwa bi mkubwa wako ana hadhi ndogo sana zaidi ya mchepuko, hivi imagine leo bi mkubwa wako akijua utamzuia kumuita mchepuko au majina mengine mabaya zaidi ya hilo kisa tuu umezaa naye? Haiwezekani mzee wangu. Yani bi mkubwa wako hatakuelewa kabisa.
SASA NINI CHA KUFANYA:
Kwanza mzee wangu lazima uweke BOUNDARY/LIMIT. Huyo bi mdogo kashasahau nafasi yake, hivyo ni wajibu wako kumkumbusha vividly bila kumuangalia usoni. Hapa lazima uweke mambo ya upendo pembeni. Achana na habari za sijui tunapendana, sijui enzi za 20th alikuwa ananilalia miguuni huku tunasikiliza RTD. ACHANA NAZO KABISA. Mkalishe chini na umpe black & white na mpe terms & conditions zote, kama hatakubaliana nazo basi umpe na consequences zake. Kumbuka HURUMA ISIZIDI UWEZO, MOYO USIZIDI UBONGO. Atake asitake ni lazima ajue kabisa yeye ni mchepuko na kamwe hawezi kukaa nafasi ya bi mkubwa. Na wewe pia utake usitake ni lazima ukubaliane na ukweli kwamba yule atabaki kuwa mchepuko tuu, kama hutaki basi kamhalalishe kwa bi mkubwa ama kanisani
Kingine mzee wangu, BE REALISTIC. Kama aina fulani ya maisha hauyamudu kwa sasa usifosi. Kwa nini ufosi kuwasomesha watoto english medium za 2M kwa mwaka wakati hata za 1M zipo na ni nzuri tuu?. Ishi maisha yako na familia zako hizo mbili kulingana na kipato chako. Hao watoto wa bi mdogo acha kuwapa favor sana. Kama watoto wa bi mkubwa huwa wanachelewa kurudi shule basi na hawa wa bi mdogo nao wawe wanaipata hiyohiyo joto ya jiwe.
Kingine pia mzee wangu, USIWEKEZE KWA MCHEPUKO KAMWE. Mchepuko muda wowote anakuruka na kukukana, yeye yupo kwenye win-win situation wakati wewe upo kwenye lose-lose situation. Yani ilitosha sana kumjengea nyumba, hukutakiwa tena kuanza kujihusisha naye kimaisha hasa ya uwekezaji. Ulichopaswa kufanya ni kuangalia wanao tuu, huyo mchepuko ulipaswa kumpa mtaji tuu kisha yanayoendelea ajijue mwenyewe. Ni kosa sana kupika na kupakua na mchepuko, ni kosa la pili kufanya uwekezaji na mchepuko.
Mengine tutaendelea kuchangia kadri na wewe unavyoshusha stori.
Sumu yake ni nini?Namuona huyo mwanamke mwenye miaka 42 atavyozeeka bila mume.....kweli mume wa mtu sumu.
Ahahaha unajua maana ya option lakini mkuu... Na tutawadaka kweliTutadakwa wengi humu mzee acha uvivu cheza na KEYBOARD
Mie nahisi kama ushauri wako sio realistic kama unavyomtaka mleta mada awe realistic. Haya ni maisha and we live once. Huyo unayemuita "mchepuko" naye ni binadamu na ana moyo wa nyama unaoumia kama binadamu mwingine. Binafsi ndoa ni ule uridhiano wa wawili kuishi pamoja. Hayo mengine ya kanisani au misikitini ni makaratasi tu na formality za kumanipulate ubongo wetu uamini kuwa ndoa ni hicho kipande cha karatasi. Bi mdogo na bi mkubwa wote wana nafasi sawa tu. Wote ni wanawake na wote wamezaa na jamaa. Hicho kikaratasi cha ndoa hakimfanyi bi mkubwa kuwa tofauti na mwenzake. Hebu niambie tofauti ni ipi kati ya bi mkubwa na bi mdogo ukiweka pembeni hicho cheti cha ndoa? Wote ni wanawake, wote wamezaa na wote wanapendwa na mleta mada.Mzee wangu kwanza pole kwa matatizo yanayokusibu japokuwa najua wewe mwanaume utaweza kuyamudu.
Kabla hata hujamalizia stori yako nadhani wengi tumeshajua shida iko wapi.
SHIDA NI BI MDOGO a.k.a MCHEPUKO japokuwa umesema apewe heshima zote kama mwenza wako lakini naomba nikuambie tuu hilo halitowezekana na wewe upo kwenye delusion state ndio maana akili yako inakataa kukubaliana na ukweli.
Ashakum si matusi, Kabla ya kukushauri naomba nikupe fact moja ambayo bado hujakubaliana nayo japokuwa ndio ukweli wenyewe. Huyo bi mdogo wako ni MCHEPUKO utake usitake. Huu ni ukweli mchungu ambao inabidi uumeze hivyohivyo ili upone. Japokuwa wewe unasema inabidi aheshimiwe na nini eti kwa sababu mmezaa naye lakini thats not a correct excuse.
Kwa nini nasema ni mchepuko/mwanamke ambaye si halali? Sababu kubwa ni kwamba DINI na MKE WAKO HALALI hajaridhia au hajayabiriki hayo mahusiano yako. Ni kweli hao watoto wenu ni halali na hawana kosa lolote lkn mahusiano yenu wewe na mama yao si halali ama ni haramu(ukweli mchungu na ni lazima uumeze ili kupona).
Naamini wewe una ndoa ya kikristo na ndio maana imekuwa ngumu kwako kumuweka hadharani/kumhalalisha huyo bi mdogo. Ungekuwa muislam basi ingekuwa rahisi sana kumhalalisha huyo bi mdogo na haya yote unayotusimulia yasingetokea.
Hivyo mzee wangu hapa cha kwanza inabidi ukubali moyoni mwako kwamba hapa ulibugi step na ni kitu ambacho ni haramu.The first step towards healing is Acceptance. Lazima akili yako ikubali kwamba this is wrong ndipo utaweza kufanya maamuzi sahihi. Huyo bi mdogo kwa bi mkubwa wako ana hadhi ndogo sana zaidi ya mchepuko, hivi imagine leo bi mkubwa wako akijua utamzuia kumuita mchepuko au majina mengine mabaya zaidi ya hilo kisa tuu umezaa naye? Haiwezekani mzee wangu. Yani bi mkubwa wako hatakuelewa kabisa.
SASA NINI CHA KUFANYA:
Kwanza mzee wangu lazima uweke BOUNDARY/LIMIT. Huyo bi mdogo kashasahau nafasi yake, hivyo ni wajibu wako kumkumbusha vividly bila kumuangalia usoni. Hapa lazima uweke mambo ya upendo pembeni. Achana na habari za sijui tunapendana, sijui enzi za 20th alikuwa ananilalia miguuni huku tunasikiliza RTD. ACHANA NAZO KABISA. Mkalishe chini na umpe black & white na mpe terms & conditions zote, kama hatakubaliana nazo basi umpe na consequences zake. Kumbuka HURUMA ISIZIDI UWEZO, MOYO USIZIDI UBONGO. Atake asitake ni lazima ajue kabisa yeye ni mchepuko na kamwe hawezi kukaa nafasi ya bi mkubwa. Na wewe pia utake usitake ni lazima ukubaliane na ukweli kwamba yule atabaki kuwa mchepuko tuu, kama hutaki basi kamhalalishe kwa bi mkubwa ama kanisani
Kingine mzee wangu, BE REALISTIC. Kama aina fulani ya maisha hauyamudu kwa sasa usifosi. Kwa nini ufosi kuwasomesha watoto english medium za 2M kwa mwaka wakati hata za 1M zipo na ni nzuri tuu?. Ishi maisha yako na familia zako hizo mbili kulingana na kipato chako. Hao watoto wa bi mdogo acha kuwapa favor sana. Kama watoto wa bi mkubwa huwa wanachelewa kurudi shule basi na hawa wa bi mdogo nao wawe wanaipata hiyohiyo joto ya jiwe.
Kingine pia mzee wangu, USIWEKEZE KWA MCHEPUKO KAMWE. Mchepuko muda wowote anakuruka na kukukana, yeye yupo kwenye win-win situation wakati wewe upo kwenye lose-lose situation. Yani ilitosha sana kumjengea nyumba, hukutakiwa tena kuanza kujihusisha naye kimaisha hasa ya uwekezaji. Ulichopaswa kufanya ni kuangalia wanao tuu, huyo mchepuko ulipaswa kumpa mtaji tuu kisha yanayoendelea ajijue mwenyewe. Ni kosa sana kupika na kupakua na mchepuko, ni kosa la pili kufanya uwekezaji na mchepuko.
Mengine tutaendelea kuchangia kadri na wewe unavyoshusha stori.
Mungu wangu,
Mengine wala si ya kucheka,
Ngoja nipaze sauti.
WANAUME TUANZE KUJIONEA HURUMA KWANZA SISI WENYEWE NA MENGINE BAADAYE, HALAFU TUWAPENDE SANA NDUGU ZETUWA KUZALIWA,HAO WATAKUFANA SISI,
KUSOMESHA WATOTO SAWA LAKINI USIJIUMIZE FANYA KWA KIASI ,
ANGALIA SANA FUTURE YAKO MWENYEWE KWANZA BAADAYE HUKO MBELE ITABIDI UJITUNZE MWENYEWE
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee umesema ukistaafu una Kama 250m? Naomba nikufariji pindi utakapostaafu umehangaika Sana na majukum ya hapa na pale unahitaji kutulia Sasa na kula mema ya nchi...mi sihitaji kuzaa ucjal
Waache wajitoe ufahamu tu.[emoji23][emoji23]mkae kwa kutulia
Mbona mabaharia mmenimind sana na hio sentensi
Nawakumbusha tu fainali uzeeni[emoji28][emoji28]
Huyo dada mjinga angemchuna bwana ajitengeneze empire yake atafte mume, sasa inaonyesha mke mzito kiuchumi na mwanaume sasa anaanza kuzeeka na akili ziinamrudia anaona arudi kwa bibi mkubwa wa kuzeeka naye, sasa bibi mdogo akitibua huyu mzee na akistaafu atakufa siku si zake, hafu nyumba za mitala hazijawahigi kuwa na amani loh. Huyu arudi KWA mke mkubwa tu Basi akiendelea na mchepuko atakufa siku si zake,Samahani km ntakwaza watu lakini mi naupenda uislamu wangu uliohalalisha wake wanne. Kwa kweli toka dunia ianze wanaume hawajawahi kutosha huyo Dada Leo miaka 20 na zaidi anaishia kuitwa mchepuko wakati angekua muislam angemuoa.
Kingine mbona wakurya wana mitala nnao huku kanda maalum yaani mitala kama zote .
Huyo demu nae kimeo 20yrs unakubali kufichwa km Arv vile...!!! Au ndo tamaa ya pesa mweee!pole yake aseh
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani km ntakwaza watu lakini mi naupenda uislamu wangu uliohalalisha wake wanne. Kwa kweli toka dunia ianze wanaume hawajawahi kutosha huyo Dada Leo miaka 20 na zaidi anaishia kuitwa mchepuko wakati angekua muislam angemuoa.

Sent usin
Da Ahsante sana ndugu, umenikuna, nilikuwa natafuta jibu, maana sumikukubaliana naye kabisaMie nahisi kama ushauri wako sio realistic kama unavyomtaka mleta mada awe realiatic. Haya ni maisha and we live once. Huyo unayemuita "mchepuko" naye ni binadamu na ana moyo wa nyama unaoumia kama binadamu mwingine. Binafsi ndoa ni ule uridhiano wa wawili kuishi pamoja. Hayo mengine ya kanisani au misikitini ni makaratasi tu na formality za kumanipulate ubongo wetu uamini kuwa ndoa ni hicho kipande cha karatasi. Bi mdogo na bi mkubwa wote wana nafasi sawa tu. Wote ni wanawake na wote wamezaa na jamaa. Hicho kikaratasi cha ndoa hakimfanyi bi mkubwa kuwa tofauti na mwenzake. Hebu niambie tofauti ni ipi kati ya bi mkubwa na bi mdogo ukiweka pembeni hicho cheti cha ndoa? Wote ni wanawake, wote wamezaa na wote wanapendwa na mleta mada.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shunie
Witness j
Maya
Espy
Wambeya wakubwa nyie mnajidai wanyenyekevu ma wenye nidhamu kumbe wanafik
Very trueNi kweli, sisi wanaume ni maguvu, lakini usisahau kwamba tuliambiwa majukumu yote ya kulea familia ni yetu, labda ndio maana kutokana na ugumu wa familia huwa tanajifariji kwa mambo kama haya, mwishowe tunapoteza.
Ila ushauri kwa wanaume wenzangu tusisahau future yetu, hawa ndugu zetu huwa wapo kimya wanatutegea tu, tukishaishiwa au nguvu na kipato kupungua wenyewe hao wanakimbilia kukaa kwa watoto wao sisi hatuwezi,
KEEP IT IN YOUR MIND FROM TODAY
Siyo kweli, hiyo empire angeitengeneza vipi, nilimchukulia kama mke hasa, na hana tofauti na mke mkubwa, na sasa hivi naye yupo over 40, ukisema mke mkubwa mzito kiuchumi, mimi naona vile vile sio sawa kwani yeye alikosa nini cha kumfanya asiwe mzito, wote wana nyumba na wote watoto wao wameenda shule,kusema mimi nimezeeka nayo sio kweli, kwa taarifa yaani sasa hivi, Mungu apitishie mbali ndio naanza kuona utamu wa maisha, hiyo naisikilizia hasa, nataka nianze sasa kutalii sehemu mbalimbali,Huyo dada mjinga angemchuna bwana ajitengeneze empire yake atafte mume, sasa inaonyesha mke mzito kiuchumi na mwanaume sasa anaanza kuzeeka na akili ziinamrudia anaona arudi kwa bibi mkubwa wa kuzeeka naye, sasa bibi mdogo akitibua huyu mzee na akistaafu atakufa siku si zake, hafu nyumba za mitala hazijawahigi kuwa na amani loh. Huyu arudi KWA mke mkubwa tu Basi akiendelea na mchepuko atakufa siku si zake,