cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Inaweza kuwa wasukuma KWA kuhonga vyeupe dawa wako vizuriHuu mwandiko ingawa umepindishwa pindishwa ila unafanana sana na mwandiko wa SHIMBA YA BUYENZE
Tunaendelea kupokea somo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaweza kuwa wasukuma KWA kuhonga vyeupe dawa wako vizuriHuu mwandiko ingawa umepindishwa pindishwa ila unafanana sana na mwandiko wa SHIMBA YA BUYENZE
Tunaendelea kupokea somo.
Inaweza kuwa wasukuma KWA kuhonga vyeupe dawa wako vizuri
I have a bright future than ur stupid generation so relaxWatu futureless ndivyo walivyo.... Yani kuna wadada kama watano humu wakisikia wanaume wanapitia magumu wanafurahia sana.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nasogeza mda Mimi nikapige menu.Wanawake wanawake wanawake
Dada unapenda ligi wewe
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]dawa hata ikiwa chungu shurti umeze Ili uponeWatu viherehere Kaka,Mwitore wasikuharakishe,hawana ushauri wanataka umalize wakushambulie na,kukucheka.
Shunie
Epsy
Carha
Maya ETC
[emoji1666][emoji1666][emoji1666] anataka kuhalalisha mchepuko. Huyo mchepuko alimtega na jamaa akaingia lwenye 18. Wala hakuna mapenzi hapoNadhani uzi ufungwe tuu, umeshamaliza kila kitu.
He have to be realistic kwamba huyo ni mchepuko tuu na anatakiwa akate connection naye za kimaisha, wabakishe connection kwenye watoto tuu.
Huyu mchepuko wake itafika muda atadai wawe na hadhi 50/50 na mke halali wa ndoa. Na kwa sheria zetu zilivyo tayari huyo mchepuko anatambulika kama mke halali wa jamaa na kimaslahi anatakiwa apate 50/50 na mke mkubwa.
Kaka mkubwa bado hajachelewa,anatakiwa achukue maamuzi magumu.
Did I tag u anywhere ?I have a bright future than ur stupid generation so relax
[emoji1][emoji1]life is too short to be serious that's why pressure zinawaua wallah, mi enjoying my life why should I bother kwa choice ya mtu alochagua na alijua matokeo yakeAcha kumdhihaki mwenye uhitaji wa ushauri,kuna siku utakuwa muhitaji utadhihakiwa na wewe
Usijali kabisa my dearUnishtue my wangu [emoji16]
Ask urself, me minding my own business in this forums, I wonder others who got [emoji856] mhhhhhh LMFAODid I tag u anywhere ?
Hii story imeishiaje???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maana duuh napelekwaa mbele miaka 7 narudishwa nyuma miaka 20[emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
When minding ur own business remember to stop quoting people who do not even know your existence in this universe.Ask urself, me minding my own business in this forums, I wonder others who got [emoji856] mhhhhhh LMFAO
Sure kwa wanaume strictly woooi hutoboi walah tena hili swala angelifikisha kwa ukoo wanaume wangemsaidia shaona kwetu tena bila kuathiri nyumba kubwaHahahah!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji849]When minding ur own business remember to stop quoting people who do not even know your existence in this universe.
Agiza chochote kwa mangi hapo nakuja kulipa.Mimi bwana hata sitaki kukuelewa baba yangu. Nisamehe bure. Sijaitambua imani yako mpaka sasa inayoruhusu wewe kuhalalisha MCHEPUKO kuitwa mke. Kwangu atabaki kuitwa MCHEPUKO tu. Mke gani anafichwa kama gunia la bangi.
Halafu mzee wangu katika calculations zako naona kbs umeshapiga hesabu jinsi mambo yakishabumburuka utakavyoanza tengwa maana unatolea mifano hai ya wanafamilia jinsi wamtelekezwa na familia zao wamebaki mama na watoto zao. Binafsi siwezi kukutenga kabisa hata ungekua umetutengaje.
Nikusifie kabisa katika wababa na wewe ni baba. You seem to be a very nice man, friend and father. Nachosikitika akiguswa MCHEPUKO unafura tu.
Nionacho.. MCHEPUKO WAKO NI FUNGU LA KUKOSA. Na mambo yake anajilinganisha na mke halali. Hakuna mke mdogo hapo. Labda tupunguze makali kwa kusema mzazi mwenzako.
Sijui ndo tuseme uchawi, sijui mahaba ama nini sijui. Sijui ni akili zako timamu uliamua iwe hivi sielewi. Ila ulikosea toka mwanzo. Na angeenda kusema kwa mke mkubwa ndo ingekua ahueni kwako. Ilivyo siri hivi ndo inazidi kuharibu. Ndo unazidi mpa nafasi huyu MCHEPUKO azidi kupata nguvu.
Kwa upeo wangu, huyu mchepuko amekua na wewe since day one kwa tamaa. Ulienda na gari ukiwa na nduguye. Akajuona na akajua una uwezo kumzidi nduguye sijui shemeji. Akaja kwako akajolengesha. Alishapiga mahesabu hapa ndo pa kuponea. Wewe unaamini anakupenda[emoji23][emoji23] this is so FUNNY... nakuhakikishia mnaishi kimazoea tu. Fulia mkose hela ya kula ndo utaelewa. Yaan mchepuko una nguvu hivi?
Halaf unakua mkali ukiulizwa juu ya mke mkubwa unampa muda saa ngapi kwanini. Hapa unaulizwa ili watu wabalance story wajue namna ya kukusaidia. Haijawahi kuwepo balance kwenye mapenz asilani. Hapa usituongopee. Kulipa ada na matumizi si kila kitu. Hapo uko hai. Ukadondoka kama leo watoto ndo wanapeleka vurugu na mchepuko kwa mke juu ya mali. Nasema tutauaanaaa...
Kabla hujamalizaaa... chukua mke.. nenda nae vaccation mwambie una mambo wataka mweleza. Mwambie A to Z. Sisi wanawake tukipenda huwa tunakua waelewa sana tukiambia ukweli. Mweleze kila kitu ili uwe huru. Najisikia huruma sana juu yako hakika maana kuhandle mambo makubwa hivi hapana.
Nilichogundua pia mke wako ana mkono wa baraka sana ndo maana Mungu anamjalia anapata sana. Zaidi nasikitika watoto qa mchepuko kukwambia eti si uende kwako. Kwahiyo wanaelewa kila kitu. Kama wangekua wanakuheshim wasingekua na la kusema asilani juu yako. Mama yao pia anawajaza ujinga.
Naomba ukamweleze MKEO kabla hayajamfikia kupitia watu baki usije jutia.
Nakuombea Amani ya moyo sana mzee wangu. Pole sana. Kuna mambo hukutokea na usijue yametokea aje. Kama ametumia nguvu za giza na alijua una ndoa Mungu adeal naye sawasawa na mapenz yake kwa kuvuruga mji wa mwenzake.
ACHANA NA MCHEPUKO. GHARAMA INAZIDI KUPANDA.
Hii comment ina lengo gani mkuuKwa jinsi elimu nzuri ya sasa ilivyo ghali kama unayapenda mabao yako,ni heri kuwa na watoto wachache maana ukiwa nao wengi utakamuliwa hatari.
Yaani mtoa Uzi atateseka mpaka siku anaondoka duniani.
Usijifariji eti utastafu na utapata 250 mil hili sahau,kumbuka huyu fala wetu ametengeneza utaratibu Mpya,kuanzia 2023 watakaostafu watapewa kidogo kidogo.
Utauza viwanja mpaka basi.
Kuhusu watoto utawalea wao na wajukuu mpaka unaondoka duniani.
Kumbuka ajira zimekuwa ngumu,watazaa na kulelewa hapo hapo hao wajukuu.
Hata uwafungulie biashara,zitakuwa zinakufa tu,maisha ya sasa sio mchezo hasa ukiwa baba ambae atawajari sana watoto na kutaka kuona wanaweza simama wenyewe hapa lazima utatumia nguvu ambayo hata hukuwah itumia hapo kabla.
Kila la kheri mkuu
Ina lengo la kuwapa somo wanaume tutengeneze familia bora.Hii comment ina lengo gani mkuu
Hapana mkuu. Hatufanyi namna hiyo kutoa somo.Ina lengo la kuwapa somo wanaume tutengeneze familia bora.
Ile inshu ya kuzaa zaa hovyo itatumaliza kwa presha