- Thread starter
- #1,861
Unafikiri hajawahi kuniloga?Na huyo Mwanamke akiyajua haya kabla hujapauza jiandae kulogwa.
Naona ulozi wake umedunda maana sio kwa masahibu haya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri hajawahi kuniloga?Na huyo Mwanamke akiyajua haya kabla hujapauza jiandae kulogwa.
Nyie ndio mnabamba kipindi hiki kwa mastori yenu matamuPole mkuu. Nakufuatilia kwa makini kabisa hapa.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Ni kweli, siwezi mwanamke ambaye roho yangu haimpendi, siwezi kukaa naye hata Dk moja, ila naye lazima anipende , kama huyu kusema ukweli alinipenda sana, ukiona mwanamke mpaka anakulalia miguuni mpo chini ya mti mnasililiza radio band mbili, huyo ni wako,
Ila awe bado mbichi hawa wakubwa wakubwa wanaweza kuwa na malengo yao
Konda nimecheka kwa maneno yako maana nimekumbuka uzi wa KhumbuMkuu stori ni tamu ila ina vituo vingi sana. Hebu jaribu kumwaga ya kutosha.
Hahaa, ndugu yangu, utaendelea asubuhi, mimi nilivyo sasa najiona kama sio mtu,
Sina usingizi, sili, hata nilvyosema naenda kula wala sikula chakula chenyewe kiliungua,
Hawa wanawake hawa we acha tu, Mungu atawageuzia kibao tu, yaani mimi ni mtu wa kukesha kabisa, hata kula sili, kwa shida gani hasa yarabi,?
Haya ngoja nikaoge nijiandae kwenda kazini, labda nitasinzia huko.
Ww mbona unanyoshewa kidole na kila mtu ,acha kufatilia uzi wa watu bidadaWewe ndio una shida alivomaanisha na Mimi nimemjibu in general kwanini mje kunishambulia acheni unafiki aisee, hafu sio kila mtu ana mawivu na kutamani Jambo flani sio dhambi mbona hata yeye alichepuka na mchepuko unamsumbua tu.
Wana hawasomi wakaelewa kabisaTatizo story mmeidandia katikati au hamsomi kwa umakini. Kwa kukusaidia tu ni kwamba kulikuwa na makubaliano ya hiyo hela iwe deposited kwenye account ya bi mdogo. Mnunuzi wa hicho kiwanja na ile nyumba na kila kilichokuwa ndani aliambiwa hiyo hela ataideposit kwenye account ya bi mdogo. Kumbuka hicho kiwanja na nyumba iliyouzwa ilikuwa nyumba aliyojengewa bi mdogo. Please muwe wafuatiliaji wazuri kabla hamjaanza kulaumu.
Kutokuheshimu kitu gani, ndoa?
Ninauhakika gani kwamba yeye anaiheshimu ndoa, kwani simpi chakula, iwe cha usiku au mchana, havai? Sijamjengea nyumba? Watoto wako siwasomeshi?
Hivi unafahamu hawa wake zetu wa ndoa na wenyewe wana michepuko yao,?
Tena wenyewe ni mibaya kabisa!
Maana pesa unahenyekea wewe ndio wanalipia guest huko, na wengine mpaka wanawajengea nyumba kawa pesa zako
Hebu nikuulize, kwani hawa wanaoitwa MARIOO ni Nani nani wanawafinance? Ni hawa wake zetu wa ndoa ndugu,
Wewe jifanye mtakatifuuu, henyeka kama punda kumbe yeye anakidumu chake huko,
Akishazeeka anakimbilia kwa watoto wake, unabaki mwenyewe,
Nimeambiwa sana humu nikishazeeka napigwa kibuti, lakini hawajui hata wenyewe wakizeeka huwa tunaomba waende hukohuko kwa watoto wao,
Ananikalia hapa nyumbani kunizibia nafasi tu, wakati mimi nataka dogodogo, alaaaa,
WANAUME EEE, WANAUME EEE,
Tujiandalie maisha yetu binafsi ya uzeeni,
Kama kushikwa sikio tumeshashikwa,
UNASUBILI NINI?
Mimi hata dunia nzima ikininyooshea kidole I don't care,siwezi kuwa mnafiki na muongo kwa ninachoamini, misimamo wangu ni ule ule tu, since jamii yetu unafiki ni kiupaumbele kikubwa kuliko chochote, so Mimi sijali wengine wanavotaka nifikirie ka wao. Mimi ni mimi na stick na rules zangu basWw mbona unanyoshewa kidole na kila mtu ,acha kufatilia uzi wa watu bidada
AsanteFull of Faith,
Ahsante nilishapata ushauri,
Ila kama bado unaushauri mwingine ni vizuri sana, ushauri niliokuwa nahitaji ni ,
1, je huyu mwanamke ana haki zozote kuhusu mali yangu?
2, je akirudi na kusema kuwa pale ndio kwake na akanifanyia fujo nikimfukuza nitakuwa natenda kosa?, kumbuka nimeishaenda polisi kutoa taarifa 3
3, hayo mawili ndio ulikuwa msingi hasa wa kuomba ushauri wenu,
KUMBUKA SIJAWAHI KUFUNGA NDOA NAYE,
NA MIMI NINA MKE WA NDOA YA KANSANI
lakini la mwisho ambalo sijaona ushauri wenu ni je,
WATOTO WANA HAKI YA KUSIMAMISHA NYUMBA ISIUZWE?
Ni hayo tu ndugu yangu.
Ndugu ingekua wewe ndyo umemuacha ningemtetea lakini kwakua yeye ndye kalikoroga mwache alinywe hiyo nyumba ina jina lako pangisha au endeleza ila kama ataleta usumbufu badili jina weka la bi mkubwa piga bei hatokua na haki tena na kuhusu watoto uliozaa naye uliwasomesha na wao wanampenda mama syo wewe achana nao watatengeneza future yao kupitia elimu uliyowapa,usimhurumie mtu uliyemtoa shimoni harafu anakuzarauFull of Faith,
Ahsante nilishapata ushauri,
Ila kama bado unaushauri mwingine ni vizuri sana, ushauri niliokuwa nahitaji ni ,
1, je huyu mwanamke ana haki zozote kuhusu mali yangu?
2, je akirudi na kusema kuwa pale ndio kwake na akanifanyia fujo nikimfukuza nitakuwa natenda kosa?, kumbuka nimeishaenda polisi kutoa taarifa 3
3, hayo mawili ndio ulikuwa msingi hasa wa kuomba ushauri wenu,
KUMBUKA SIJAWAHI KUFUNGA NDOA NAYE,
NA MIMI NINA MKE WA NDOA YA KANSANI
lakini la mwisho ambalo sijaona ushauri wenu ni je,
WATOTO WANA HAKI YA KUSIMAMISHA NYUMBA ISIUZWE?
Ni hayo tu ndugu yangu.
Ww mbona unanyoshewa kidole na kila mtu ,acha kufatilia uzi wa watu bidada
Love you,Ndugu ingekua wewe ndyo umemuacha ningemtetea lakini kwakua yeye ndye kalikoroga mwache alinywe hiyo nyumba ina jina lako pangisha au endeleza ila kama ataleta usumbufu badili jina weka la bi mkubwa piga bei hatokua na haki tena na kuhusu watoto uliozaa naye uliwasomesha na wao wanampenda mama syo wewe achana nao watatengeneza future yao kupitia elimu uliyowapa,usimhurumie mtu uliyemtoa shimoni harafu anakuzarau
Mkuu tuko pa 1.Love you,
Ahsante sana kwa ushauri, kusema ukweli, namshukuru sana Mungu kwa wazo alilonipa kuomba ushauri humu JF , nimefarijika hasa na nimepata uwezo mpana sana wa kutafakari mambo, nadhani uwezo wangu wa kutafakari mambo ulikuwa mdogo, lakini sasa hivi najiona nina nguvu ya kutoa uamuzi bila wasiwasi,
Nakumbuka mala ya kwanza alipoondoka kama ningepata hili wazo la kuomba ushauri humu, ningekuwa nimeshamsahau, na asngeniumiza kiasi kile,
Ahsante sana