CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Sasa huyo ni mwanamke au Mume mwenza?Hivi ukiwa mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda,yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia,hataki kuosha vyombo,kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siyo mimi Mkuu, nimeikuta mahali.Sasa huyo ni mwanamke au Mume mwenza?
Duuuh! Umeolewa kaka.
Sikushauri ata moja kati ya ilo la kuzaa au kuoa, kwa kifupi uyo mwanamke ni bomu.Hivi ukiwa mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda,yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia,hataki kuosha vyombo,kisa kwao ni karibu mkinuniana
Mimi nimeiona mahi Mkuu, ila na mimi ndo ushauri nilotoa. Ila, kwani mwanaume kutokuwa vizuri kifedha ndo iwe sababu ya mwanamke ku act like that?Tafuta pesa,ukiona ivyo mke kakuzidi hela ama uyo mwanamke sio type yako
Hana hata huo mvuto wa kuipiga hiyo mashine kihivyo mkuu,jamaa alijichanganya tu. Na hapo mwanamke ndo anaforce kuolewa balaa.Huyo sikio lake la tatu bado hasikii vzuri..jitahidi sikio lake la tatu asikie vzuri!!..hutokuja tena hapa kulalamika!
Mkuu maneno yanachoma kuliko pasiSasa huyo ni mwanamke au Mume mwenza?
Duuuh! Umeolewa kaka.
[emoji3][emoji3][emoji3]Huyo sikio lake la tatu bado hasikii vzuri..jitahidi sikio lake la tatu asikie vzuri!!..hutokuja tena hapa kulalamika!