Naomba Ushauri: Mke wangu anaishi maisha ya kushindana na mimi

Wanasema hivi ndoa ni kwa ajiri ya wanaume wenye akili timamu sio mafurushi.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.

Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu tu, kubwa zaidi, kapambana mpaka kadaka mimba bila mwanaume kupanga.

Je,huyu anafaa kuwa mke au ndo azae apite hivi?
Sasa huyo ni mke au ni msukule tu? Kumbuka mademu wengi wa hapa mjini hata miji mingine ni miskule tu, hawafai kuoa au hata kuwa nao kimahusiano.....watakuletea mikosi maishani.
 
Hili ndo tatzo la kuwa na watu kwenye ndoa au mahusiano ambapo kiuhalisia ilitakiwa wawe mirembe hospital wakipata matibabu ya kiakili na pia ushauri wa kisaikologia watu wanaishi na vichaa wakizani ni mke au mume kumbe ni chizi kabisa
 
Hili ndo tatzo la kuwa na watu kwenye ndoa au mahusiano ambapo kiuhalisia ilitakiwa wawe mirembe hospital wakipata matibabu ya kiakili na pia ushauri wa kisaikologia watu wanaishi na vichaa wakizani ni mke au mume kumbe ni chizi kabisa
 
Hivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.

Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu tu, kubwa zaidi, kapambana mpaka kadaka mimba bila mwanaume kupanga.

Je,huyu anafaa kuwa mke au ndo azae apite hivi?
Pole sana ingawa inafurahisha hawa wanawake mnaokotaga wapi nyie wenzetu! Aisee bora unyimwe vyote ila sio akili hapa duniani!
Mwanamke huyo ulianza nae vipi mahusiano na ni mwenyeji wa wapi?
 
Hili ndo tatzo la kuwa na watu kwenye ndoa au mahusiano ambapo kiuhalisia ilitakiwa wawe mirembe hospital wakipata matibabu ya kiakili na pia ushauri wa kisaikologia watu wanaishi na vichaa wakizani ni mke au mume kumbe ni chizi kabisa
Hahahahahah ni balaa
 
Hivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.

Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu tu, kubwa zaidi, kapambana mpaka kadaka mimba bila mwanaume kupanga.

Je,huyu anafaa kuwa mke au ndo azae apite hivi?

Misingi yako ya ndoa ndo shida! Msingi ukiharibika hatuendelei kujenga, tunabomoa! Mfano: unakaaje karibu na wakwe?
 
Back
Top Bottom