Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Id yako nasema ni CAGvsSPEAKERHivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.
Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu tu, kubwa zaidi, kapambana mpaka kadaka mimba bila mwanaume kupanga.
Je,huyu anafaa kuwa mke au ndo azae apite hivi?
Umeshazoea mipambano