Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Hivi sijui kwanin vijana mna kimbilia kuoa... Kuoa ni upuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni pepoHivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.
Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu tu, kubwa zaidi, kapambana mpaka kadaka mimba bila mwanaume kupanga.
Je,huyu anafaa kuwa mke au ndo azae apite hivi?
Na wewe nakushauri kabadili jinsia mkuu( trans gender) kiumane vizuriHivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.
Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu tu, kubwa zaidi, kapambana mpaka kadaka mimba bila mwanaume kupanga.
Je,huyu anafaa kuwa mke au ndo azae apite hivi?
Bro kifunze kubembeleza. Ushasema ana mimba changa na izo ni baadhi tu ya tabia za mimba changa. Mimba inaweza ikawa haikutaki wanajua wenyewe. So we mu ignore ila pia usisaau kum discipline dharau zikizid kwa kisingizio cha Mimba. Just be a Man not a boy. I hope umenielewaHivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.
Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu tu, kubwa zaidi, kapambana mpaka kadaka mimba bila mwanaume kupanga.
Je,huyu anafaa kuwa mke au ndo azae apite hivi?
Shida ni wewe sio mwanamkeHivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.
Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu tu, kubwa zaidi, kapambana mpaka kadaka mimba bila mwanaume kupanga.
Je,huyu anafaa kuwa mke au ndo azae apite hivi?
Mkeo ana vielement vya udj,muda wote ni makeleleHivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.
Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu tu, kubwa zaidi, kapambana mpaka kadaka mimba bila mwanaume kupanga.
Je,huyu anafaa kuwa mke au ndo azae apite hivi?
Huyo sio mke ni hasimuHivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.
Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu tu, kubwa zaidi, kapambana mpaka kadaka mimba bila mwanaume kupanga.
Je,huyu anafaa kuwa mke au ndo azae apite hivi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hutaki kufungwa jela fukuza huyo wakati bado akili inafikiria maana itafika wakati akili haelewi chochote na utamdhuru huyo
Hivi mwanamke akimzidi mwanaume hela anatakiwa amfanyie vitimbwi?Tafuta pesa, ukiona ivyo mke kakuzidi hela ama uyo mwanamke sio type yako
Nimekuelewa sana Mkuu.Bro kifunze kubembeleza. Ushasema ana mimba changa na izo ni baadhi tu ya tabia za mimba changa. Mimba inaweza ikawa haikutaki wanajua wenyewe. So we mu ignore ila pia usisaau kum discipline dharau zikizid kwa kisingizio cha Mimba. Just be a Man not a boy. I hope umenielewa
[emoji23][emoji23][emoji23]na kweli aisee.Mkuu maneno yanachoma kuliko pasi