Naomba Ushauri: Mke wangu anaishi maisha ya kushindana na mimi

Huyo ni pepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe nakushauri kabadili jinsia mkuu( trans gender) kiumane vizuri
 
Bro kifunze kubembeleza. Ushasema ana mimba changa na izo ni baadhi tu ya tabia za mimba changa. Mimba inaweza ikawa haikutaki wanajua wenyewe. So we mu ignore ila pia usisaau kum discipline dharau zikizid kwa kisingizio cha Mimba. Just be a Man not a boy. I hope umenielewa
 
Shida ni wewe sio mwanamke
 
Mkeo ana vielement vya udj,muda wote ni makelele
 
Huyo sio mke mke mkuu, hakuna mke mwenye tabia hizo na sijui ulitoana nae wapi

Anyway, mimi nakushauri akinuna akienda kwao, wewe funga milango tena na solex uondoke, ikiwezekana usirudi kabisa maeneo hayo, akikutafuta kwa simu mwambie aendelee kukaa kwao mpaka siku atakapojifunza namna ya kuwa mke ndani ya nyumba, tena mwambie umrshabadili mawazo ya kuwa nae kama mke
 
Fukuza na mimba yake, mtoto ukamchukue akizaliwa umlee. Usiruhusu amlee yeye atamjaza sumu mpaka atapike. Usiruhusu kumpa hata robo ya upenyo. Utalia na kusaga meno.
 
Kama hutaki kufungwa jela fukuza huyo wakati bado akili inafikiria maana itafika wakati akili haelewi chochote na utamdhuru huyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Huyo kiboko.
Ila hapo amepambana hadi kabeba mimba imekuwaje? Sio yako? Haukumwaga ndani?
 
Huyo sio mke ni hasimu
 
Nimekuelewa sana Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…