Id yako nasema ni CAGvsSPEAKERHivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.
Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu tu, kubwa zaidi, kapambana mpaka kadaka mimba bila mwanaume kupanga.
Je,huyu anafaa kuwa mke au ndo azae apite hivi?
Duh! Hizi ndio ndoa ndoano!Hivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.
Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu tu, kubwa zaidi, kapambana mpaka kadaka mimba bila mwanaume kupanga.
Je,huyu anafaa kuwa mke au ndo azae apite hivi?
Au anaenda kupost status za vijembeeKuna ile eti umemkwaza mke anafungulia "sabufa" kwa sauti kubwa ameweka taarab "ikikusema"!
Mwanamke wa hivyo hafai kuoa, hafai hata kwa mahusiano!
Hafai hata kidogo, yani mwanamke ambaye mkikwazana kidogo tu dunia yote inajua kuna shida...hafai!!!
Mtafutie mke mwenzie.Hivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.
Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu tu, kubwa zaidi, kapambana mpaka kadaka mimba bila mwanaume kupanga.
Je, huyu anafaa kuwa mke au ndio azae apite hivi?