Naomba Ushauri, Mpangaji wangu 'kaniblock'

Wapangaji wa hivi ni wA kufukuza mara moja huyo angekuwa yeye ndo mwenye nyumba angekuwa ashakutimua kifupi jamaa ni mzinguaji aliyekosa ustaarabu kabisa kukwama kupo ila unakuwa muwazi mapema unaweza kuachiwa uishi bure hata mwaka ila huyo jamaa ako ni mbabaishaji timua huyo mwandikie meseji mwambie mkuu nimekusamehe deni lote ila huko uliko ukirudi uwe umeshatafuta chumba la si utavikuta vitu vyako kituo cha polisi.
 
Mkuu nje ya mada Mama J anaendeleaje.
 
Unapatikana wapi mkuu hii nineipenda bure. Hizo kufuli like
Hapo dawa ni kufunga nyumba unaenda unabadili kitasa atakutafuta mwenyewe
 
Mkuu polr sana
 
Endelea kubembelezana naye mpaka utakapokuta nyumba yako kaiuza.

Kikubwa, peleka serikali ya mtaa nyumba ilipo ili apokee notisi na upate ridhaa ya Baraza la Kata kuzuia baadhi ya mali kufidia deni
 
Hata kama kuna magumu anapitia ilipaswa atoe taarifa.
Mtasumbuana tu huko mbeleni. Kitendo cha kukublock keshahisi anakumudu.

Mtumie notisi kwenye simu na nakala ngumu penyeza chini ya mlango wake kuwa kavunja mkataba kwa kutolipa kodi na anapaswa kuondoka.
Toa taarifa kwa mjumbe pamoja na ofisi za serikali za mitaa na wote wape nakala ya notisi.
 
Hapo umeingia kwenye mfumo wake.

Ila kuna wapangaji wenzetu wana roho ngumu kweli.
Mimi kupitiliza hata siku sijalipa kodi siwezi kabisa.

ushauri.
huyo nenda nae kwa umakini, unakuta na yeye kajipanga.
Kabisa Yan amni haipo kabisa ukipitisha tarh mm nikiona nitapitisha hata siku 3 lazima nimwambie mwenye nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…