Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Kama anaona hawezi vigezo na masharti akajenge yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahi kwa mjumbe wa nyumba 10 hao pasua kichwa wapo kila sehemu huku tulimweka mmoja mdangaji mmoja hivi kagoma kulipa mpaka kaja kutolewa na mwenyekiti wa serikali ya mtaa ndio akaondoka kakaa miezi 3 bila kulipa hata 100 umeme anatumia bure maji bure kunya bure kukojoa bure miezi 3 mjumbe alishindwa kesi ikaenda kwa mwenyekitiPlz MNISHAURI pia wakuu🙏.
Tatizo la wapangaji ukiwafanyia fujo kesi inahamia kwako unaweza ukaambiwa fidia akae kwako mwaka bila kulipa kodi na kodi zingine zote awe anachukua yeye mwaka mzima km faini, usijaribu kugombana na hao pasua kichwa wana hesabu zao kichwani ukibugi tu unamlipaUbaya ubaya,tatizo mbongo ukimlegezea kamba anaona tayari anakumudu
Nipe hiyo nyumba niisimamie mimi uone kama hutalipwa kodi kwa wakati
Mda mwingine mwenye nyumba uwe na uso mkavu kama al shaabab
Unampeleka kisheria,yaani kama inatakiwa alipe kodi tarehe 5 na ww unakaza hapo hapoTatizo la wapangaji ukiwafanyia fujo kesi inahamia kwako unaweza ukaambiwa fidia akae kwako mwaka bila kulipa kodi na kodi zingine zote awe anachukua yeye mwaka mzima km faini, usijaribu kugombana na hao pasua kichwa wana hesabu zao kichwani ukibugi tu unamlipa
Kumbe huwajui wapangaji pasua kichwa wewe atakutia sound na halipi nenda kashtaki unapopajuaUnampeleka kisheria,yaani kama inatakiwa alipe kodi tarehe 5 na ww unakaza hapo hapo

Kudeal na hii kitu ni very simple.Wakuu,
Kama Kuna sehemu nmekosea labda mnambie ninyi.
Kuna sehemu nna kibanda Cha wapangaji wanne huwa nakipangisha, Sasa Kutokana na mkataba.
Kila mpangaji ananilipa Kodi yake kutokana na tarehe aliyoingia kwangu, na Kodi huwa napokea kuanzia miezi 6.
Huyu mpangaji alihamia kwangu mwaka JANA mwezi Novemba mwanzoni, Hivyo Kodi yake Kwa miezi 6 ikaisha mwezi APRIL mwanzoni. Hivyo mwezi MEI mwanzoni alipaswa kunilipa tena Kodi Inayofuata. Na nilimtumia sms ya kumkubushia.
Tatizo la huyu mpangaji,
sms yangu ya kumkubushia aliiona Ila akanyamaza kimya, na mwezi MEI Ukaisha bila kupokea hata Senti Moja Wala taarifa yoyote ya dharula toka kwake. Nikanyamaza Kimya.
Ukaanza mwezi JUNI, nikampigia simu, akajifanya kasahau Kama Kodi imeisha na sms zangu hakuziona, Ila akaahidi kua atanilipa mwisho wa mwezi juni.
Nikasema sawa, nisubiri Kodi Yake mwisho WA mwezi juni
Mwisho WA mwezi JUNI ukaisha wote, jamaa Yuko kimya, nikampigia simu zangu hapokei, nilipobadili namba akapokea na akadai shule zimefunga, kwaiyo kwa Sasa amesafiri mkoani ila atanilipa akisharudi JULAI, nikasema sawa.
Jamaa amekuja kurudi mwezi JULAI mwishoni na Kodi yangu akanilipa mwezi AGOSTI mwanzoni. Nami nikienda kwenye daftari langu, nikaandika kua "Leo tarehe 03 AGOSTI, nmepokea Kodi ya mwezi MEI-OKTOBA"
Sasa Baada ya miezi 2 (yaani mwezi OKTOBA) nikamdai tena Kodi ya miezi 6, jamaa akalalamika mbona mapema Sana, mbona katoka kulipia juzi TU Kodi yake ya miezi 6. Namkumbusha kua ile Kodi yake ilipaswa kulipwa mwezi MEI, yeye kaivuta na kuja kuilipa mwezi AGOSTI, ndo maana imekua hivyo.
Basi Jamaa Akadai amenielewa, akasema atanilipa Kodi yangu mwisho WA mwezi oktoba akishapokea mshahara , nikasema sawa. Nikaenda zangu.
Mwisho WA mwezi umefika, jamaa Kimya.Nikajua labda katingwa, na kumkubushia ovyo kodi sio vizuri, nikakaa Kimya mpk mwezi NOVEMBA.
Katikati ya mwezi Novemba ikabidi nimpigie, akawa hapokei simu zangu, nilipobadili namba akapokea na kudai anaelewa, Ila Atalipa mwisho WA mwezi huu huu, zimebaki wiki 2 anaomba nimvumilie. Nikasema sawa.
Mpaka mwezi Novemba umeisha, sijapokea pesa Wala simu yoyote ya jamaa. Ulipoanza mwezi DISEMBA ikabidi nimpigie, Kama kawaida yake hakupokea simu zangu. Ila nilipobadili laini, akapokea na kudai amesafiri mkoani kula sikukuu,kurudi dar Ni Hadi January.
Nikaulizia khs Kodi yangu,akadai ataituma tar. 15 kwenye account yangu ya benki. Nikasema sawa,jitahidi.
Tar 15 imefika, Kimya.
Nikavumilia Hadi tar 20 Nako Kimya. Nimempigia simu zangu hapokei, nilipobadili laini akapokea na kudai tar 22 jioni anaituma, uhakika 100%. Nikasema sawa.
Tar 22 ikapita Kimya, mpaka Jana tar 24 ikabidi nimpigie, nikastuka Kila mara simu yake inadai inatumika Kisha inajikata. Nilipobadili laini, ikaita vizuri TU.Nikagundua kaniblock.
Nilivojitambulisha kua Ni Mimi mwenye nyumba wake, akakata simu ghafla na nilipojaribu kumpigia Tena, ikawa inadai anatumika Kisha inajikata. Nikagundua Hii namba nayo jamaa kaamua kuiblock.
HAPA KIUKWELI WAKUU NMEGHAFIRIKA SANA,
NAWAZA HUYU MPANGAJI SIJAJUA ANANICHUKULIAJE YAANI.
KAMA HAYUKO VZUR NI BORA ASEME MAPEMA AELEWEKE NA SIO KULETA UBABAISHAJI USIO NA KICHWA WALA MIGUU.
KUNIBLOCK NI UTOTO,UJEURI NA UPUUZI ULIOPITILIZA, PIA NI KUNIVUNJIA HESHIMA ILHALI KESHAVUNJA MASHARTI YA MKATABA.
Hapa nafikiria kumuandalia NOTISI Yake, ili January akirudi akatafute pa kuishi. Ila mama watoto kanishauri nisifanye hivo maana huenda Kuna magumu anapitia.
Wazo lake linanipa ukakasi sn maana Kama anapitia magumu, Kuna Sababu gani mpk aniblock zaidi ya kuhisi ananifanyia UJEURI TU.
Plz MNISHAURI pia wakuu🙏.
Kimya sana hatujui kama ameshabeba hata mimbaHivi punde mkuu,
Tumechoka kukumbushana au kupigizana kelele ya kodi.Kwa nini wenye nyumba bongo huwa mnataka kodi ya miezi sita sita badala ya mwezi mmoja mmoja??
Mkuu huyo jamaa namtamaani 😬😬😬😬Wakuu,

Wewe hao hoehae hawana hata pesa ya wakili wala wasikuumize kichwa.Tatizo la wapangaji ukiwafanyia fujo kesi inahamia kwako unaweza ukaambiwa fidia akae kwako mwaka bila kulipa kodi na kodi zingine zote awe anachukua yeye mwaka mzima km faini, usijaribu kugombana na hao pasua kichwa wana hesabu zao kichwani ukibugi tu unamlipa
Acha usumbufu, kwanini umtafute siku za siku kuu? Subiri atapatikana baadaye tu.
Andaa notisi ,timua hilo jing.Wakuu,
Kama Kuna sehemu nmekosea labda mnambie ninyi.
Kuna sehemu nna kibanda Cha wapangaji wanne huwa nakipangisha, Sasa Kutokana na mkataba.
Kila mpangaji ananilipa Kodi yake kutokana na tarehe aliyoingia kwangu, na Kodi huwa napokea kuanzia miezi 6.
Huyu mpangaji alihamia kwangu mwaka JANA mwezi Novemba mwanzoni, Hivyo Kodi yake Kwa miezi 6 ikaisha mwezi APRIL mwanzoni. Hivyo mwezi MEI mwanzoni alipaswa kunilipa tena Kodi Inayofuata. Na nilimtumia sms ya kumkubushia.
Tatizo la huyu mpangaji,
sms yangu ya kumkubushia aliiona Ila akanyamaza kimya, na mwezi MEI Ukaisha bila kupokea hata Senti Moja Wala taarifa yoyote ya dharula toka kwake. Nikanyamaza Kimya.
Ukaanza mwezi JUNI, nikampigia simu, akajifanya kasahau Kama Kodi imeisha na sms zangu hakuziona, Ila akaahidi kua atanilipa mwisho wa mwezi juni.
Nikasema sawa, nisubiri Kodi Yake mwisho WA mwezi juni
Mwisho WA mwezi JUNI ukaisha wote, jamaa Yuko kimya, nikampigia simu zangu hapokei, nilipobadili namba akapokea na akadai shule zimefunga, kwaiyo kwa Sasa amesafiri mkoani ila atanilipa akisharudi JULAI, nikasema sawa.
Jamaa amekuja kurudi mwezi JULAI mwishoni na Kodi yangu akanilipa mwezi AGOSTI mwanzoni. Nami nikienda kwenye daftari langu, nikaandika kua "Leo tarehe 03 AGOSTI, nmepokea Kodi ya mwezi MEI-OKTOBA"
Sasa Baada ya miezi 2 (yaani mwezi OKTOBA) nikamdai tena Kodi ya miezi 6, jamaa akalalamika mbona mapema Sana, mbona katoka kulipia juzi TU Kodi yake ya miezi 6. Namkumbusha kua ile Kodi yake ilipaswa kulipwa mwezi MEI, yeye kaivuta na kuja kuilipa mwezi AGOSTI, ndo maana imekua hivyo.
Basi Jamaa Akadai amenielewa, akasema atanilipa Kodi yangu mwisho WA mwezi oktoba akishapokea mshahara , nikasema sawa. Nikaenda zangu.
Mwisho WA mwezi umefika, jamaa Kimya.Nikajua labda katingwa, na kumkubushia ovyo kodi sio vizuri, nikakaa Kimya mpk mwezi NOVEMBA.
Katikati ya mwezi Novemba ikabidi nimpigie, akawa hapokei simu zangu, nilipobadili namba akapokea na kudai anaelewa, Ila Atalipa mwisho WA mwezi huu huu, zimebaki wiki 2 anaomba nimvumilie. Nikasema sawa.
Mpaka mwezi Novemba umeisha, sijapokea pesa Wala simu yoyote ya jamaa. Ulipoanza mwezi DISEMBA ikabidi nimpigie, Kama kawaida yake hakupokea simu zangu. Ila nilipobadili laini, akapokea na kudai amesafiri mkoani kula sikukuu,kurudi dar Ni Hadi January.
Nikaulizia khs Kodi yangu,akadai ataituma tar. 15 kwenye account yangu ya benki. Nikasema sawa,jitahidi.
Tar 15 imefika, Kimya.
Nikavumilia Hadi tar 20 Nako Kimya. Nimempigia simu zangu hapokei, nilipobadili laini akapokea na kudai tar 22 jioni anaituma, uhakika 100%. Nikasema sawa.
Tar 22 ikapita Kimya, mpaka Jana tar 24 ikabidi nimpigie, nikastuka Kila mara simu yake inadai inatumika Kisha inajikata. Nilipobadili laini, ikaita vizuri TU.Nikagundua kaniblock.
Nilivojitambulisha kua Ni Mimi mwenye nyumba wake, akakata simu ghafla na nilipojaribu kumpigia Tena, ikawa inadai anatumika Kisha inajikata. Nikagundua Hii namba nayo jamaa kaamua kuiblock.
HAPA KIUKWELI WAKUU NMEGHAFIRIKA SANA,
NAWAZA HUYU MPANGAJI SIJAJUA ANANICHUKULIAJE YAANI.
KAMA HAYUKO VZUR NI BORA ASEME MAPEMA AELEWEKE NA SIO KULETA UBABAISHAJI USIO NA KICHWA WALA MIGUU.
KUNIBLOCK NI UTOTO,UJEURI NA UPUUZI ULIOPITILIZA, PIA NI KUNIVUNJIA HESHIMA ILHALI KESHAVUNJA MASHARTI YA MKATABA.
Hapa nafikiria kumuandalia NOTISI Yake, ili January akirudi akatafute pa kuishi. Ila mama watoto kanishauri nisifanye hivo maana huenda Kuna magumu anapitia.
Wazo lake linanipa ukakasi sn maana Kama anapitia magumu, Kuna Sababu gani mpk aniblock zaidi ya kuhisi ananifanyia UJEURI TU.
Plz MNISHAURI pia wakuu🙏.
Mzee umemlea sana aisee. Cku hiz sio kama zaman mzee, huyo kuna namna ya kumtoa kwa kustukiza, kuna mturuki mmoja alikuwaga kwenye apartment yangu akaniletea huo mchezo. Alikula jeuri yake. Nilimchomoa usiku akiwa amelala. Hela hazitafutwi kilekole mzee pinduka kama walivyopinduka watawala wako utakula mema ya nchi.Wakuu,