Kastor Andrea Chipanta
Member
- Sep 1, 2025
- 45
- 44
Full stop kwamba nifanyej yan ninyamaze tuSasa hapo unataka ushauri gani? Mtoto sio wako ameshakuambia full stop.
Sio kwel mimi nina maisha yangu mengine na nishaoa mwanamke mwingine kinachoniuma nimesumbuka sana kumlea uyo binti af saiv kirahis tu sio mwanangu kvp anNyie Bado mnapendana, afu Bado hamjakomaa kwenye, game ya ndowa,
Sasa mmeshatengana na umeambiwa mtoto sio wako ss unatakaje? SI uendelee na maisha yako?
Ushauri jibebishe, akiingia kwenye mfumo mjaze mimba! Japo hapo 💯 Bado mnapendana!
Yeah komaa na kutengeza kesho yako mkuu , wapotezee wasahau na kuwafuta mazima.Full stop kwamba nifanyej yan ninyamaze tu
👍Yeah komaa na kutengeza kesho yako mkuu , wapotezee wasahau na kuwafuta mazima.
Umesumbuka kweli kumlea Binti ila Bado ujawekeza muda mwingi na pesa nyingi kama wengine wanaokuja kushtuka mtoto sio wake ameshamsomesha mpaka chuo huko na ajira mtoto ameshapataSio kwel mimi nina maisha yangu mengine na nishaoa mwanamke mwingine kinachoniuma nimesumbuka sana kumlea uyo binti af saiv kirahis tu sio mwanangu kvp an
Ahsante sana familiaUmesumbuka kweli kumlea Binti ila Bado ujawekeza muda mwingi na pesa nyingi kama wengine wanaokuja kushtuka mtoto sio wake ameshamsomesha mpaka chuo huko na ajira mtoto ameshapata
Kwahiyo kuachana na huyo mtoto ni jambo sahihi na rahisi kwako kwa wakati uliopo ufate maisha yako na upambane kwaajili ya watoto wako wengine
Kama uliweza kuacha vitu vyote, ulivyotafuta nae na kuanza moja unashindwa VP kukausha gharama za kulea huyo mtoto ambae sio wako?Sio kwel mimi nina maisha yangu mengine na nishaoa mwanamke mwingine kinachoniuma nimesumbuka sana kumlea uyo binti af saiv kirahis tu sio mwanangu kvp an
Kama kinachokuuma ni gharama ulizotumia kulea huyo binti chukulia kama umetoa sadaka kisha piga mwendo. Ila kama unaamini kweli ni damu yako mpimeni mtoto dna.Sio kwel mimi nina maisha yangu mengine na nishaoa mwanamke mwingine kinachoniuma nimesumbuka sana kumlea uyo binti af saiv kirahis tu sio mwanangu kvp an
Ni kwel lkin iv hakuna sheria ya kukomesha ii inshu kwel maana ni janga la kundi kubwa la watuKama uliweza kuacha vitu vyote, ulivyotafuta nae na kuanza moja unashindwa VP kukausha gharama za kulea huyo mtoto ambae sio wako?
Sawa bt nakia DNA ni gharama sana sijui kma ntaweza ku afford na ikitokea ni dam yangu apo napo vpKama kinachokuuma ni gharama ulizotumia kulea huyo binti chukulia kama umetoa sadaka kisha piga mwendo. Ila kama unaamini kweli ni damu yako mpimeni mtoto dna.
🤣nacheka ila inaniumaNaona X balozi ameenda kuuliza ubalozini ili kuthibitisha kama kweli gesi ni buku mbili, au tulisokotwa na Mr Slow...😜
Kote uko anatmia majina yangu ndio af wendawazimu inawezekana maana ata mi simuelew kawajeKama shule anatumia jina lako, na cheti cha kuzaliwa anatumia jina lako huyo ni wako. Japo mama yake ana uwendawazimu.