Naomba Ushauri: Mwanamke wangu ananiambia mtoto si wangu

BINTI YANGU

Tafadhari ukimaliza kusoma naomba ushauri wako

Stori inaanzia 2020 mwezi wa saba tulishindwa kuishi pamoja na suluhu ikakosekana tukaachana kwa fujo nyingi kwake yeye mwanamke mixer kunitukania wazazi na kunitishia laana ya mahusiano.as a men niliamua kumuachia kila kitu tulichokua nacho vitu vya ndani japo havikua na thaman kubwa sana ila vilitoshea kugawana au hata kuvichukua vyote kwa7babu nilimtolea mpaka mahali kwao niliamua kuacha yote ayo ili nibaki na aman tu.

Kipindi chote hicho alikua hajajigundua kumbe alikua na mimba changa ambayo ndio mtoto wangu wa pili.Baada ya mwezi mmoja na kama wiki 2 kupita alinipigia simu akanambia yeye ni mjamzito na io mimba ni yangu🙆‍♂️,kiukwel ilikua ngum sana kuikubali kutokana na jinsi tulivyoachana maana nilikua nampigia mpaka sim nimjulie hali before {mazoea} lakini aliishia kunitukana na kupiga sim kwa wazaz wangu kua mwambieni mtoto wenu asinisumbue kwani tumeshaachana.

Nilikataa kua sio mimba yangu lakini wazazi ndugu na watu wangu wa karibu wakanishauri kua ingekua kweli sio mimba yangu na kwa namna tulivoachana basi asingekua na sabab ya kuniambia kua ni ujauzito wangu ivo nisikatae damu.

Nikakubali nikalea mimba matumizi yote nikazingatia akajifungua kwa shida kidogo kwasabab alikua mbali na kituo cha afya kukodi gari na nn gharama zote izo nilimaliza mwenyew

Malezi yakaendelea ile mtoto anaumwa sijui nguo viatu nilizingatia hata kipindi anamuachisha alimleta nyumbani kwa baba yangu akamuachishia kwetu,kidini mtoto akabatizwa kwa jina langu pia.mtoto akaendelea kukua akiwa mbali na mimi baba.Yule dada akapata mwanaume mwingine akaolewa akazaa nae mtoto mmoja wakashindwana na yule mwanaume nae pia wakaachana.

TATIZO
Kilichonifanya niweke shauri hili nikitaka msaada wa ushauri hata sheria ama busara kwenu ni kwamba ilitoke mtafaluko kidogo mimi na uyo dada kuhusu mtoto alinipigia simu kua anaumwa na yeye hayupo nyumbani kasafiri na aliowaachia mtoto hawawezi kumpeleka hospital yaani anakokaa yeye mpaka hospital ni kama km 6 ivi na nilipo mimi mpaka kufika kule ni kama km 25.

Kwa jicho la kibinadam nilifanya makosa kweli kutokwenda kwa7b za kawaida tu.yote kwa yote homa ya kawaida mtoto alitibiwa na akapona,lakini mamake alikasilika sana kias kwamba hakutaka kusikia chochote kutoka kwangu.

Kwa kutambua kosa langu nikajishusha nikamuomba msamaha sana akanielewa lakina akaniambia kua nanukuu!

Yameisha lakini"Leo acha tu nikwambie ukweli huyu mtoto sio mwanao".

Nikajua kua labda tu ni hasira zikiisha atasema ukweli lakini ni yuko tu serious kua mimi sio baba wa uyo mtoto na anauthibitisho

Nifanyeje

Uache ujinga na kuwa dhaifu, kata mahusiano naye mazima, Kwa Nini mnakubali kuteswa na wanawake wa hovyo?
 
Mkuu,huyo mwanamke ulimpenda sana au una moyo wenye huruma sana.
Kulikuwa hakuna haja kujisumbua hata kuulizauliza kabisa
 
wanapendana hakuna bana
kilichopo jamaa anampenda DEMU
ila hiyo demu aliona alikosea sana kuingia mahusiano na mshikaji 7bu demu anafeel jamaa sio hadhi yake ndio mana vimbwanga ubabe hauishi kumletea jamaa since wapo wanaishinpamoja
Yaan huyo demu anajua FIKA kuwa huyo jamaa kwake apindui
na demu anajua kucheza na akili ya jamaa yaan kamfanya boya wa kumtatulia shida zake ndio maana huyo demu akipiga simu kwa jamaa ni mpk akiwa na shida

ngoja nimpe Ushauri jamaa

hipo hivi MWANAMKE katika maisha yake huwa anapenda mara 2 tu
wakwanza ni yule wa mwanzoni tunaitaga FIRST LOVE ( huyo FIRST LOVE sio lazima awe amemtoa bikira sometine bikira za wadada zinatokaga kizembe tu)
so namaanisha yule alompemda kweli mwanzoni mwanaume wa kwanza kumpenda
mara nyingi hiyu uishia kumtenda so demua anakuwa hana upendo kam akiingia katika mahusiano basi ni kwa ajili ya kitu furani
yaan anafata kitu sio mapenzi

wa pili ni yule ambaye wakati ataamua sasa anataka kuolewa kuanzisha familia
kwanza hapa uelewe ninaposema ANATAKA KUOLEWA na sio wewe umempenda unataka UMUOE
demu akiwa anataka kuolewa kuanzisha FAMIRIA
huwa anaamua kwa kwa mtu anayemuona yeye anafaa ndio mana usishangae mwanamke kaolewa na mtu ambaye hukudhania kama angekuwa nae na NDOA anaifurahia

tofauti mahusiano mengine ambapo unaweza kumpenda mdada ukamuoana anafaa kuwa mke kwa 7bu ana sifa zote za kuwa mke ukaforce sana umuoe kwa ushawishi wa aina mbalimbali
mpk akakubali ndoa
sasa hapo inakuwa wewe umelazimisha umuoe so mara nyingi NDOA za hizi ndio huwa kama hivi mshikaji demu akishakuchoka anafanya visa 7bu hakuitaka ndoa na wala hakukuoenda ila wewe uliforce sana na yeye akafata ushawishi wa kitu fulani kuingia katika NDOA au mahusiano

sasa mkuu wewe uliforce sana mahusiano na huyu demu ulimsaidia sana ulimtatulia sana shida zake kutaka kumuonesha namna gani unamjari na Unampenda
lakini kiuhalisia huyu demu hakuwa amekukubari ni vile tu ulikuwa unamzingatia sana maokoto na shida zake ulikuwa unazitatua kwa haraka

wewe chakufanya kata mawasiliano kata huduma
wazazi wakiuliza sana wapige chenga wakikaza waambie kuwa alikuambia mtoto si wako na ushahidi anao hvyo hukuona 7bu ya kuendelea kuangaika na mtu asie na shukrani

nina uhakika atakutafuta akiwa na shida
unaahaja hata ya kupigizana nae kelele wala kuuliza habari za mtoto unamuendea mikausho mikali sana
na sioni 7bu ya kutupa pesa kwenda kupima DNA 7BU ameshakuambia si wako so una haja ya kuangaika kuuliza uliza au kutaka huo ushaidi mwache abaki nao mwenyewe
siku zote wanasema mwanamke ndio hujua mtoto ni wa nani

so piga mishe zako NUNUA GARI kali sana then chukua PISI matata sana uenjoy maisha mkuu
UUMBAJI HAUJIRUDII ENJOY KILA NUKTA YA MAISHA YAKO huyo KIBWENGO MMOJA asikufanye ukaiona DUNIA CHUNGU wakati walimbwende wapo kibwena mkuu
Pamoja sana blood nashkuru sana kwa ushauri wako
 
BINTI YANGU

Tafadhari ukimaliza kusoma naomba ushauri wako

Stori inaanzia 2020 mwezi wa saba tulishindwa kuishi pamoja na suluhu ikakosekana tukaachana kwa fujo nyingi kwake yeye mwanamke mixer kunitukania wazazi na kunitishia laana ya mahusiano.as a men niliamua kumuachia kila kitu tulichokua nacho vitu vya ndani japo havikua na thaman kubwa sana ila vilitoshea kugawana au hata kuvichukua vyote kwa7babu nilimtolea mpaka mahali kwao niliamua kuacha yote ayo ili nibaki na aman tu.

Kipindi chote hicho alikua hajajigundua kumbe alikua na mimba changa ambayo ndio mtoto wangu wa pili.Baada ya mwezi mmoja na kama wiki 2 kupita alinipigia simu akanambia yeye ni mjamzito na io mimba ni yangu🙆‍♂️,kiukwel ilikua ngum sana kuikubali kutokana na jinsi tulivyoachana maana nilikua nampigia mpaka sim nimjulie hali before {mazoea} lakini aliishia kunitukana na kupiga sim kwa wazaz wangu kua mwambieni mtoto wenu asinisumbue kwani tumeshaachana.

Nilikataa kua sio mimba yangu lakini wazazi ndugu na watu wangu wa karibu wakanishauri kua ingekua kweli sio mimba yangu na kwa namna tulivoachana basi asingekua na sabab ya kuniambia kua ni ujauzito wangu ivo nisikatae damu.

Nikakubali nikalea mimba matumizi yote nikazingatia akajifungua kwa shida kidogo kwasabab alikua mbali na kituo cha afya kukodi gari na nn gharama zote izo nilimaliza mwenyew

Malezi yakaendelea ile mtoto anaumwa sijui nguo viatu nilizingatia hata kipindi anamuachisha alimleta nyumbani kwa baba yangu akamuachishia kwetu,kidini mtoto akabatizwa kwa jina langu pia.mtoto akaendelea kukua akiwa mbali na mimi baba.Yule dada akapata mwanaume mwingine akaolewa akazaa nae mtoto mmoja wakashindwana na yule mwanaume nae pia wakaachana.

TATIZO
Kilichonifanya niweke shauri hili nikitaka msaada wa ushauri hata sheria ama busara kwenu ni kwamba ilitoke mtafaluko kidogo mimi na uyo dada kuhusu mtoto alinipigia simu kua anaumwa na yeye hayupo nyumbani kasafiri na aliowaachia mtoto hawawezi kumpeleka hospital yaani anakokaa yeye mpaka hospital ni kama km 6 ivi na nilipo mimi mpaka kufika kule ni kama km 25.

Kwa jicho la kibinadam nilifanya makosa kweli kutokwenda kwa7b za kawaida tu.yote kwa yote homa ya kawaida mtoto alitibiwa na akapona,lakini mamake alikasilika sana kias kwamba hakutaka kusikia chochote kutoka kwangu.

Kwa kutambua kosa langu nikajishusha nikamuomba msamaha sana akanielewa lakina akaniambia kua nanukuu!

Yameisha lakini"Leo acha tu nikwambie ukweli huyu mtoto sio mwanao".

Nikajua kua labda tu ni hasira zikiisha atasema ukweli lakini ni yuko tu serious kua mimi sio baba wa uyo mtoto na anauthibitisho

Nifanyeje
As a men sasa unataka tukushauri nini?
 
Hivi mleta mada una akili kweli wewe, demu kishakuambia kuwa mtoto hakuhusu na si wako, wewe unataka tukushauri nini, muue basi huyo mwanamke kwa kukupotezea mbegu zako za kiume
Hakuna alokamilika kuhusu kua na akili sina kipomo kua nina IQ ngap.nachokijua mm hii sio hadithi na maisha ninayoishi na mpaka naleta umu ni kwamba njiuliza sana nifanjeje
1.nikaushe tu potelea mbali
2.sheria inasemaje?
3.nikapime DNA na je akiwa na bint yang nianyaj
4.yule mtoto kila akiniona ananililia na anaish mazingira magum
 
2.sheria inasemaje?
3.nikapime DNA na je akiwa na bint yang nianyaj
4.yule mtoto kila akiniona ananililia na anaish mazingira magum
As a men sasa unataka tukushauri nini?
1.nikaushe tu potelea mbali
2.sheria inasemaje?
3.nikapime DNA na je akiwa ni bint yang nifanyaj
4.yule mtoto kila akiniona ananililia na anaish mazingira magum lakini mamaake anamzuia ata kuongea nae
5.Mim nina ndoa nyingine na maisha yangu mengine ila inaniuma nmesumbuka sana kumlea uyo bint mpaka saiv af mkavu kabisa anantamkia sio mwanangu nyuma kote nasumbuka ivo kwann hakunambia
 
BINTI YANGU

Tafadhari ukimaliza kusoma naomba ushauri wako

Stori inaanzia 2020 mwezi wa saba tulishindwa kuishi pamoja na suluhu ikakosekana tukaachana kwa fujo nyingi kwake yeye mwanamke mixer kunitukania wazazi na kunitishia laana ya mahusiano.as a men niliamua kumuachia kila kitu tulichokua nacho vitu vya ndani japo havikua na thaman kubwa sana ila vilitoshea kugawana au hata kuvichukua vyote kwa7babu nilimtolea mpaka mahali kwao niliamua kuacha yote ayo ili nibaki na aman tu.

Kipindi chote hicho alikua hajajigundua kumbe alikua na mimba changa ambayo ndio mtoto wangu wa pili.Baada ya mwezi mmoja na kama wiki 2 kupita alinipigia simu akanambia yeye ni mjamzito na io mimba ni yangu🙆‍♂️,kiukwel ilikua ngum sana kuikubali kutokana na jinsi tulivyoachana maana nilikua nampigia mpaka sim nimjulie hali before {mazoea} lakini aliishia kunitukana na kupiga sim kwa wazaz wangu kua mwambieni mtoto wenu asinisumbue kwani tumeshaachana.

Nilikataa kua sio mimba yangu lakini wazazi ndugu na watu wangu wa karibu wakanishauri kua ingekua kweli sio mimba yangu na kwa namna tulivoachana basi asingekua na sabab ya kuniambia kua ni ujauzito wangu ivo nisikatae damu.

Nikakubali nikalea mimba matumizi yote nikazingatia akajifungua kwa shida kidogo kwasabab alikua mbali na kituo cha afya kukodi gari na nn gharama zote izo nilimaliza mwenyew

Malezi yakaendelea ile mtoto anaumwa sijui nguo viatu nilizingatia hata kipindi anamuachisha alimleta nyumbani kwa baba yangu akamuachishia kwetu,kidini mtoto akabatizwa kwa jina langu pia.mtoto akaendelea kukua akiwa mbali na mimi baba.Yule dada akapata mwanaume mwingine akaolewa akazaa nae mtoto mmoja wakashindwana na yule mwanaume nae pia wakaachana.

TATIZO
Kilichonifanya niweke shauri hili nikitaka msaada wa ushauri hata sheria ama busara kwenu ni kwamba ilitoke mtafaluko kidogo mimi na uyo dada kuhusu mtoto alinipigia simu kua anaumwa na yeye hayupo nyumbani kasafiri na aliowaachia mtoto hawawezi kumpeleka hospital yaani anakokaa yeye mpaka hospital ni kama km 6 ivi na nilipo mimi mpaka kufika kule ni kama km 25.

Kwa jicho la kibinadam nilifanya makosa kweli kutokwenda kwa7b za kawaida tu.yote kwa yote homa ya kawaida mtoto alitibiwa na akapona,lakini mamake alikasilika sana kias kwamba hakutaka kusikia chochote kutoka kwangu.

Kwa kutambua kosa langu nikajishusha nikamuomba msamaha sana akanielewa lakina akaniambia kua nanukuu!

Yameisha lakini"Leo acha tu nikwambie ukweli huyu mtoto sio mwanao".

Nikajua kua labda tu ni hasira zikiisha atasema ukweli lakini ni yuko tu serious kua mimi sio baba wa uyo mtoto na anauthibitisho

Nifanyeje
Ni vizuri umepata jibu sahihi kutoka kwa muhusika mwenyewe kwamba mtoto si wako, unataka sisi tusiokujuwa tukuambie nini au unataka tukushauri ujiue?
 
Hawa Viumbe wanahitaji wapimwe akili
Matatizo na hiz kesi zimekuwa kwa kasi kipindi hichi
Hii sio hali ya kawaida
Lazima kutakuwa kuna kitu kwa Wanawake wa siku hizi
Amini kaka maana mtu mwenye akili timam hawez fanya uu ujinga serious nilikua najiuliza tu kwann watu wanafanyaga maamuz magum kila nikiwaza kuusu situation zote mpaka ilipofikia sipati jibu
 
Sio kwel mimi nina maisha yangu mengine na nishaoa mwanamke mwingine kinachoniuma nimesumbuka sana kumlea uyo binti af saiv kirahis tu sio mwanangu kvp an
Mkuu acha kujipa stress na kesi nyingine hapo nyumbani wewe umeshaambiwa mtoto sio wako kuna tatizo hapo ,kama damu ni yako ni yako tu na kama sio yako ndio hivo huwezi lazimisha fullstop
 
Ni vizuri umepata jibu sahihi kutoka kwa muhusika mwenyewe kwamba mtoto si wako, unataka sisi tusiokujuwa tukuambie nini au unataka tukushauri ujiue?
1.nikaushe tu potelea mbali
2.sheria inasemaje?
3.nikapime DNA na je akiwa na bint yang nianyaj
4.yule mtoto kila akiniona ananililia na anaish mazingira magum
5.Mimi nina maisha na ndoa nyingine kinachoniuma nimehangauka sana kuusu uyo binti nimeplay part yangu as a men nakwambia yule bint akiniona ananililia baba af kirahis tu Sio mwanao nimfanye nn uyu dada
 
Back
Top Bottom