choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
Wakuu habarini za asubuhi,
Nashukuru Mungu nimemaliza kujenga boma na sasa nimebakiza kupaua km Mungu atajilaalia. Sasa nataka kupaua na bati za Alaf hasa zile zenye umbo km vigae.
Naomba anayejua aniambie bei zake au ushaur wowote kuhusu hiz bati ili nikamilishe ndoto zangu.
Natanguliza shukran.