Naomba ushauri na kujuzwa bei za mabati ya Alaf

choupa moting

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,508
Reaction score
2,563
Wakuu habarini za asubuhi,

Nashukuru Mungu nimemaliza kujenga boma na sasa nimebakiza kupaua km Mungu atajilaalia. Sasa nataka kupaua na bati za Alaf hasa zile zenye umbo km vigae.

Naomba anayejua aniambie bei zake au ushaur wowote kuhusu hiz bati ili nikamilishe ndoto zangu.

Natanguliza shukran.
 
Mita moja ilikuwa almost 20,500 ila huwa zinachange kutokana na muda
 
Wakuu habarini za asubuhi,

Nashukuru Mungu nimemaliza kujenga boma na sasa nimebakiza kupaua km Mungu atajilaalia. Sasa nataka kupaua na bati za Alaf hasa zile zenye umbo km vigae.

Naomba anayejua aniambie bei zake au ushaur wowote kuhusu hiz bati ili nikamilishe ndoto zangu.

Natanguliza shukran.
Tafuta nyuzi humu ziko nyingi
 
Mcheki huyu dada, kwa namba +255 683 992 559 afisa masoko alaf atakupa bei.
 
Hii ina maanisha Tanzania kuna upigaji sana. Mleta mada kaomba apewe bei ya aina hizo za mabati. Badala ya kuambiwa bei mtu anasema wasiliana nasi, sijui sisi ni mawakala. Kama ni mawakala si mtoe bei! Kama mtu unayo bei halali ya nini kuificha ficha mara wasiliana na huyu.

Mimi ninamshauri mleta mada aende kiwandani na aombe quotation ya idadi ya mabati ili apewe bei kusudi aone kama anaweza au la.

Hawa sijui mawakala watakupiga hela hatari.
 
Kupigwa amejitakia mwenyewe, Hizi zama za science na technology, mtu una simu tena smartphone, unajua kutumia mitandao mpaka umekuja kuuliza huku JF, umeshindwa kwenda kwenye website ya ALAF? Contacts zote zipo pale na number za simu za masales managaer wa kanda zote, we unakuja huku kuuliza. Nasema acha wapigweeeee!!! Wala huitaji kwenda kiwandani. Tujifunze kutumia mitandao kurahisisha kazi!
 
Nimejaribu kuwacheki hao waliotoa namba...hawajui pia hzo bei [emoji1] [emoji1787]...watu wanazingua sana
 
kweli namshauri mtoa mada aende google aandike shop.alaf.co.tz hapo kuna bei ya kila bati anayohitaji
 
Nimejaribu kuwacheki hao waliotoa namba...hawajui pia hzo bei [emoji1] [emoji1787]...watu wanazingua sana
Bei za last week
Bati za mgongo mpana bundle la bati 16 ni 632k gauge 30. Na sikuhz hawakati kuendana na vipimo vyako, ni bundle tu kwa gauge 30.
Versatile/(bati lenye muonekano wa kigae)yenye mchanga niliambiwa 23700 kwa RM gauge 28
 
Manake bati 1 elfu 40 duh
 
Bei za last week
Bati za mgongo mpana bundle la bati 16 ni 632k gauge 30. Na sikuhz hawakati kuendana na vipimo vyako, ni bundle tu kwa gauge 30.
Versatile/(bati lenye muonekano wa kigae)yenye mchanga niliambiwa 23700 kwa RM gauge 28
Mkuu hii RM ni nini??
 
Back
Top Bottom