Mbeya Girl
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 298
- 627
Habari zenu
Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home
Ana tabia yakupenda sana kuandika (vitu mbalimbali kwenye notebook zake) na kusoma vitabu na articles mbalimbali pia anaangalia sana movies, kinacho nifanya niulize ni kwasababu amezidi hadi nahisi labda anatatizo sisi hatujui kwasababu kashakua mtu mzima, Zamani nilidhani labda utoto ila ndo kwanza anavo kua ndo ana improve tabia zake, muda wote anakua na ki notebook awe nnje amekaa, awe anaangalia movie etc
Ni mengi sana naweza kueleza. Nauliza kwa wenye uelewa anaweza akawa na tatizo kichwani au ni hali ya kawaida
Naongeza
Kama ni shule amesumbua sana hostel alishindwa kukaa kufika alipo fika ni shukran za foundation alio wekewa (last born)
Kasoma shule kama 6 form 1 mpaka 4. Akiichoka anajieleza vizuuuri nakuahidi anaacha utoro na nyingine alihama kwa sababu tofauti kama umbali etc. Lakini wapi na amefaulu kwa mpango wa Mungu tu
Kama uhuni hana kabisaaa akitoroka anarudi home kufanya mambo yake
Sasa hizo akili mnazo sema ni zipi