Naomba ushauri: Nahisi mdogo wangu ana matatizo

Status
Not open for further replies.
Khaaa, sasa ulitaka atoke akachangamkie mitaani ikiwa bado hajapata ramani?

Ninaishi na mdogo wangu wa kike yupo advance akiwa likizo ni kujifungia ndani tu tena kama nje ya geti labda kwa wiki mara tatu au mbili, akitoka ni kwenye gari akirudi ni ndani.

Yeye ni movies chumbani kwake na kuandika-andika kama huyo wako, inanipa amani kwasababu hata nikisema achanganyike na mimi na familia hakuna tunachoweza kuongea kwa zaidi ya saa zima na wanangu bado ni wadogo.

Hizo huwa ni hobbies za introvert wengi, ni bora ashinde ndani kuliko kuwa kidampa wa mtaa.
 
Habari zenu

Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home

Ana tabia yakupenda sana kuandika (vitu mbalimbali kwenye notebook zake) na kusoma vitabu na articles mbalimbali pia anaangalia sana movies.. kinacho nifanya niulize ni kwasababu amezidi hadi nahisi labda anatatizo sisi hatujui kwasababu kashakua mtu mzima, Zamani nilidhani labda utoto ila ndo kwanza anavo kua ndo ana improve tabia zake, mda wote anakua na ki notebook awe nnje amekaa , awe anaangalia movie etc

Ni mengi sana naweza kueleza.... Nauliza kwa wenye uelewa anaweza akawa na tatizo kichwani au ni hali ya kawaida
Na kaombeni hako jamani nimekapenda buree
 
Kwanini usiseme tuu ni wewe?, mpaka umsingizie mdogo wako?
 
Ana boyfriend? Kama hana basi kweli ana tatizo.
Habari zenu

Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home

Ana tabia yakupenda sana kuandika (vitu mbalimbali kwenye notebook zake) na kusoma vitabu na articles mbalimbali pia anaangalia sana movies.. kinacho nifanya niulize ni kwasababu amezidi hadi nahisi labda anatatizo sisi hatujui kwasababu kashakua mtu mzima, Zamani nilidhani labda utoto ila ndo kwanza anavo kua ndo ana improve tabia zake, mda wote anakua na ki notebook awe nnje amekaa , awe anaangalia movie etc

Ni mengi sana naweza kueleza.... Nauliza kwa wenye uelewa anaweza akawa na tatizo kichwani au ni hali ya kawaida
 
Kama alivyosema mdau Makaveli10..pitia notebook zake utakuta vitu expectional huyo ni akili ya kipekee Sana....jiweke karibu nae utagundua vingi 😊, many introvert are like that.
 
Ana andika vitu gani ivyo kwanza ..tuanzie apo au ndo mashairi na mauw ya mapenzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom