Sasa mbona sio kitu Cha ajabu huwenda mwenzio yupo ktka Tafiti , naamini anauwezo mkubwa wa kufikiri ,Ila nyingi kinacho watatiza Ni kwamba mlitaka kuona uwezo huo akiuonyesha akiwa shule ,, Kina kitu ambacho watu wengi hawafai binaadamu huwa tuna kwenda na kupitia Hali ya mabadiliko kuanzia mabadiliko ya kimwili kifikira na kimatendo,, huwenda wakati ambao anasoma Ubongo wake haukuwa tayari kupokea mabadiliko Hayo , Ila Sasa hivi ndio hiyo nguvu ameiopokea ktika Ubongo wake , Jaribuni kumuelewa na mvijue vipaumbele vyake kwanza sio mnakaa tu nakuanza kumuhukumu