Naomba ushauri: Nahisi mdogo wangu ana matatizo

Status
Not open for further replies.
Habari zenu

Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home

Ana tabia yakupenda sana kuandika (vitu mbalimbali kwenye notebook zake) na kusoma vitabu na articles mbalimbali pia anaangalia sana movies, kinacho nifanya niulize ni kwasababu amezidi hadi nahisi labda anatatizo sisi hatujui kwasababu kashakua mtu mzima, Zamani nilidhani labda utoto ila ndo kwanza anavo kua ndo ana improve tabia zake, muda wote anakua na ki notebook awe nnje amekaa, awe anaangalia movie etc

Ni mengi sana naweza kueleza. Nauliza kwa wenye uelewa anaweza akawa na tatizo kichwani au ni hali ya kawaida

Naongeza

Kama ni shule amesumbua sana hostel alishindwa kukaa kufika alipo fika ni shukran za foundation alio wekewa (last born)

Kasoma shule kama 6 form 1 mpaka 4. Akiichoka anajieleza vizuuuri nakuahidi anaacha utoro. Lakini wapi na amefaulu kwa mpango wa Mungu tu

Kama uhuni hana kabisaaa akitoroka anarudi home kufanya mambo yake

Sasa hizo akili mnazo sema ni zipi
Niulize swali humo kwenye not book anadika nini .anaweza akawa na kipaji cha uandishi njie hamjui tupe jibu
 
Nothing specific ... Leo niliona sehemu ameandika "I am embarking on a difficult journey because I want a life less ordinary"..

Anyway watu wengi wamesema she is okay so nime mwacha saiv
 
kijazi07
Darasani ni kipanga tokea aanze kusoma anapasua sana na hata matokeo yake ya 4rm 4 na 4m 6 hakuna aliwah kumfikia pale kweny familia yetu

Atleast huyo ana akili sana darasani huyu shule kafika alipofika kwa kudra za Mungu sijawahi mwona anafight kuhusu shule ndomaana nilikua najiuliza
 
Kwa namna unavyojibu maswali either umeandika uongo au dada yako humjui kabisa.

Mimi sio mtaalam wa akili lakini kwa uelewa wa kawaida nawezasema tatizo lipo kwenu watu wake wa karibu, tatizo ambalo limempa tatizo jingine.

Siku zote huwa nasema ukimuona mtu haeleweki na watu anaweza kua kichaa au game changer.. The fact that dada yako hayuko kama ninyi mnavyotaka awe haimaanishi ana tatizo na mkiendelea kumuona anatatizo basi hilo ndio litamletea tatizo.

Kwa maelezo yako (japo sijamuona) na muona ni mtu mwenye focus na msimamo katika mambo yake (vitu ambavyo ni muhimu katika mafanikio) ila anavurugwa na kundi lenu mnaomuona anamatatizo na hawezi kufanya lolote sababu shuleni alihangaika.
 
Akili za Maisha sio shule tu, diamond platnum ana hela nyingi na mafanikio makubwa kuliko wahitimu wengi wachuo kikuu, na hata 0 level hajawahi kumaliza Kama sio kufika kabisa, Siku mtakayo weza kutofautisha elimu ya taaluma , na kuwa na kipawa Cha akili ktika nyanja Fulani ndio utakuwa mwanzo wa kufaulu na kufikia kwetu kwa malengo makubwa Sana kimaisha , Ijapokuwa sikatai kwamba elimu ndio msingi mkuu wa Maisha but we have to know that elimu Ni suala Pana Sana sio ile inayo tolewa darasani pekee, Ndio maana unaona kuna watu Kama mbunge msukuma Wana mali za kutosha ilhali waliishia darasa la Saba , inshort Wana elimu nyingine kabisa tofauti na ile ya darasani ,
 
Kwa namna unavyojibu maswali either umeandika uongo au dada yako humjui kabisa.

Mimi sio mtaalam wa akili lakini kwa uelewa wa kawaida nawezasema tatizo lipo kwenu watu wake wa karibu, tatizo ambalo limempa tatizo jingine.

Siku zote huwa nasema ukimuona mtu haeleweki na watu anaweza kua kichaa au game changer.. The fact that dada yako hayuko kama ninyi mnavyotaka awe haimaanishi ana tatizo na mkiendelea kumuona anatatizo basi hilo ndio litamletea tatizo.

Kwa maelezo yako (japo sijamuona) na muona ni mtu mwenye focus na msimamo katika mambo yake (vitu ambavyo ni muhimu katika mafanikio) ila anavurugwa na kundi lenu mnaomuona anamatatizo na hawezi kufanya lolote sababu shuleni alihangaika.
Kusoma notebook za mtu ni sawa na kusoma text zake kwenye simu yaani una ingia kwenye private life ya mtu which is not good ... Mama hapendi kabisaaa namimi ndo nipo hivyo
 
Kwa namna unavyojibu maswali either umeandika uongo au dada yako humjui kabisa.

Mimi sio mtaalam wa akili lakini kwa uelewa wa kawaida nawezasema tatizo lipo kwenu watu wake wa karibu, tatizo ambalo limempa tatizo jingine.

Siku zote huwa nasema ukimuona mtu haeleweki na watu anaweza kua kichaa au game changer.. The fact that dada yako hayuko kama ninyi mnavyotaka awe haimaanishi ana tatizo na mkiendelea kumuona anatatizo basi hilo ndio litamletea tatizo.

Kwa maelezo yako (japo sijamuona) na muona ni mtu mwenye focus na msimamo katika mambo yake (vitu ambavyo ni muhimu katika mafanikio) ila anavurugwa na kundi lenu mnaomuona anamatatizo na hawezi kufanya lolote sababu shuleni alihangaika.
Ntafanyia kazi wazo lako dawa ni kumwacha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom