Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Umri huo wengi huwa wanaandika nyimbo za wanamuziki wa nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahahahUmri huo wengi huwa wanaandika nyimbo za wanamuziki wa nje
Utakuta anaandika nyimbo za kina Jlo na wengineoHahahahahahah
Don't u guys even talk???Kusoma notebook za mtu ni sawa na kusoma text zake kwenye simu yaani una ingia kwenye private life ya mtu which is not good ... Mama hapendi kabisaaa namimi ndo nipo hivyo
HahahaKawazidi wote akili, actually nyie ndo mna shida
Unatakiwa umwelewe mdogo wako na kisha umsaidie.Ntafanyia kazi wazo lako dawa ni kumwacha
Tupatie ajabu moja tu wana hapa, nasubiri bandiko lakoNilipokuwa home nilikuwa na vipande kibao vya magazeti ya kuokota sababy sikuwa na hela ya kununua. Maana yake nilipenda kusoma nikivutiwa zaidi na uanahabari
Ingawa niko field tofauti sasa lakini nafanya maajabu upande wa kuandika
Anhaaa kumjua namjua apa naongelea upande wa hii tabia yakeDon't u guys even talk???
Mimi hua nina project zangu binafsi ambazo hua nafanya nisipo kua kazini, tena natumia hours sometimes ata chakula nasahau kula.. ni mtu wa karibu pekee ndie anajua hua nafanya nini wengine wanaona kama napeteza muda.
Huwezi jua mtu anafanya nini just kwa kuangalia vipande vya sentensi anavyo andika kwenye karatasi, mngekua mnaishi na mimi si mngekua mshanipeleka milembe.
Kama huwezi kuguess kwenye diary zake hua anaandika nini maana yake humjui. Wewe unamjua kama mtoto mkorofi aliye maliza chuo kwa kuunga unga.Anhaaa kumjua namjua apa naongelea upande wa hii tabia yake
Hahahahah sawaHuo umbea sasa, unataka kujua tu dada'ko anaandika nini kwenye shajara (diary) yake.
Mwache kwa raha zake. Usimfatilie kabisa, yatakushinda.
HhahaahahahahahahahaAliona elimu ya bongo ni ya kiwaki (in Mwaisa voice)
Sister Mimi tofauti na huyo mdogo wako ni kwamba nachora pia so muda mwingi naandika na kuchora...Anhaaa kumjua namjua apa naongelea upande wa hii tabia yake
Eleza vizuri anaandika vitu gani,usiishie tu kusema hamna la maana. Hilo unaloona wewe halina maana linaweza likatoa picha halisi ya huyo mdogo wako.Sijasoma sana maana hapendelei ila hamna la maana nililo liona ndo maana naona ana tatizo
Ni kwa kuwa wewe hupendi kuandika ndo unaona yeye ni wa ajabu.Tatizo yeye kazidi saaannaa ana shelf lake limejaa notebooks aina tofauti tofauti
Nina uhakika mkuu, wamwache tu atakuwa akifika miaka 50 au zaidi maana kila kitu kina wakati wake.Mkuu Una uhakika au Ndo wajisemea tu
Ni kweli, kuna kipindi pia naweza kaa ndani ukashangaa huyu jamaa vipi?Don't u guys even talk???
Mimi hua nina project zangu binafsi ambazo hua nafanya nisipo kua kazini, tena natumia hours sometimes ata chakula nasahau kula.. ni mtu wa karibu pekee ndie anajua hua nafanya nini wengine wanaona kama napeteza muda.
Huwezi jua mtu anafanya nini just kwa kuangalia vipande vya sentensi anavyo andika kwenye karatasi, mngekua mnaishi na mimi si mngekua mshanipeleka milembe.
Nafikiri unamjudge tofauti pia unataka kujua anachofikiria au unachowaza kwa urahisi zaidi, Labda nikwambie kitu itakusumbua sana kuweza kuelewa ni mpaka siku akwambie au aamue kukuelewesha kama anavyokwambia anapohitaji vitu vingine.kijazi07
Darasani ni kipanga tokea aanze kusoma anapasua sana na hata matokeo yake ya 4rm 4 na 4m 6 hakuna aliwah kumfikia pale kweny familia yetu
Atleast huyo ana akili sana darasani huyu shule kafika alipofika kwa kudra za Mungu sijawahi mwona anafight kuhusu shule ndomaana nilikua najiuliza