Naomba ushauri: Nahisi mdogo wangu ana matatizo

Naomba ushauri: Nahisi mdogo wangu ana matatizo

Status
Not open for further replies.
Kusoma notebook za mtu ni sawa na kusoma text zake kwenye simu yaani una ingia kwenye private life ya mtu which is not good ... Mama hapendi kabisaaa namimi ndo nipo hivyo
Don't u guys even talk???

Mimi hua nina project zangu binafsi ambazo hua nafanya nisipo kua kazini, tena natumia hours sometimes ata chakula nasahau kula.. ni mtu wa karibu pekee ndie anajua hua nafanya nini wengine wanaona kama napeteza muda.

Huwezi jua mtu anafanya nini just kwa kuangalia vipande vya sentensi anavyo andika kwenye karatasi, mngekua mnaishi na mimi si mngekua mshanipeleka milembe.
 
Nilipokuwa home nilikuwa na vipande kibao vya magazeti ya kuokota sababy sikuwa na hela ya kununua. Maana yake nilipenda kusoma nikivutiwa zaidi na uanahabari

Ingawa niko field tofauti sasa lakini nafanya maajabu upande wa kuandika
Tupatie ajabu moja tu wana hapa, nasubiri bandiko lako
 
Don't u guys even talk???

Mimi hua nina project zangu binafsi ambazo hua nafanya nisipo kua kazini, tena natumia hours sometimes ata chakula nasahau kula.. ni mtu wa karibu pekee ndie anajua hua nafanya nini wengine wanaona kama napeteza muda.

Huwezi jua mtu anafanya nini just kwa kuangalia vipande vya sentensi anavyo andika kwenye karatasi, mngekua mnaishi na mimi si mngekua mshanipeleka milembe.
Anhaaa kumjua namjua apa naongelea upande wa hii tabia yake
 
Huo umbea sasa, unataka kujua tu dada'ko anaandika nini kwenye shajara (diary) yake.

Mwache kwa raha zake. Usimfatilie kabisa, yatakushinda.
 
Anhaaa kumjua namjua apa naongelea upande wa hii tabia yake
Sister Mimi tofauti na huyo mdogo wako ni kwamba nachora pia so muda mwingi naandika na kuchora...

Nina Notebooks nyingi pia narekodi kila nachoona ni Muhimu na Wakati mwingine naandika kwa namna ambayo ntaelewa mimi tu peke yangu...

Naandika mpaka kwenye simu kisha nazibadili kuwa PDF.

Nimeoa naishi na mke ambaye nilikutana naye chuo....Mwanzo alikua ananishangaa mpaka siku alipojikuta kwa baadhi ya kurasa nimemchora. Tokea hapo amekua akinisupport pia.

Sio tatizo kabisa kuwa na amani aisee.
 
Sijasoma sana maana hapendelei ila hamna la maana nililo liona ndo maana naona ana tatizo
Eleza vizuri anaandika vitu gani,usiishie tu kusema hamna la maana. Hilo unaloona wewe halina maana linaweza likatoa picha halisi ya huyo mdogo wako.
 
Don't u guys even talk???

Mimi hua nina project zangu binafsi ambazo hua nafanya nisipo kua kazini, tena natumia hours sometimes ata chakula nasahau kula.. ni mtu wa karibu pekee ndie anajua hua nafanya nini wengine wanaona kama napeteza muda.

Huwezi jua mtu anafanya nini just kwa kuangalia vipande vya sentensi anavyo andika kwenye karatasi, mngekua mnaishi na mimi si mngekua mshanipeleka milembe.
Ni kweli, kuna kipindi pia naweza kaa ndani ukashangaa huyu jamaa vipi?
Kumbe huko ni mambo lukuki yanafanyika.
Wanakuja niona nje nshamaliza nacheka nao tu.
Hapo siku 2-3 kukata bila kula zaidi ya kunywa maji kawaida.
Ila unakua umemalizana na mambo kibao Private.
Sometime ni kumuachia tu mtu mda wake hujui anafanya nini.
Na sio lazima uongee na ndugu zako kila linalokutatiza.
 
kijazi07
Darasani ni kipanga tokea aanze kusoma anapasua sana na hata matokeo yake ya 4rm 4 na 4m 6 hakuna aliwah kumfikia pale kweny familia yetu

Atleast huyo ana akili sana darasani huyu shule kafika alipofika kwa kudra za Mungu sijawahi mwona anafight kuhusu shule ndomaana nilikua najiuliza
Nafikiri unamjudge tofauti pia unataka kujua anachofikiria au unachowaza kwa urahisi zaidi, Labda nikwambie kitu itakusumbua sana kuweza kuelewa ni mpaka siku akwambie au aamue kukuelewesha kama anavyokwambia anapohitaji vitu vingine.

Binafsi ninacharacter zinazoendana nae kidogo labda nikwambie kukusaidia usimsumbue pia isikusumbue.

1. Nilikua sipendi shule na nikiwa form two nilitaka niache ila nilikuwa forced mpaka kufika University Level, I was so concerned about money.... Leo hii vyeti vyangu nilimpa mzee na sijawahi kumuuliza pia sina mpango navyo, All of that nastrugle sana kufikia malengo yangu kwasababu nahisi nilipoteza muda mwingi sana shule. SIPENDI KUWA AVERAGE

2. TABIA YA KUANDIA, huwa napenda sana kuandika ila sipendi watu wajue huwa naandika nini, so Kama Kama naandika vitu secret huwa naandika kwa kurukaruka au nachanganya, yaani hakuna mtiririko sahihi wa ninavyoviandika kwamba nikimpa mtu asome kamwe hataelewa ila Mimi najua vyote nilivyoandika. Natamani Kuna kitu uelewe hapa ila nahisi ntakuchanganya

3. Napenda sana kuwa pekeangu yaani hata kuwa na mpenzi naonaga uvivu pia wengi huwa hawanielewi japo huwa najitahidi sana kujichanganya lakini nashindwa Kuna muda najifungia sitaki kuonana na mtu hata miezi inapita Mimi n kusoma na kuandika, Mostly I like Business

Mwisho nikushauri, jaribu kuchukua notebook zake za mwisho au fuatilia upangaji wake wa notebook then zisome zote kwa mtiririko naamini Kuna kitu utaelewa na utajua namna ya kumsaidia. Kuna tatizo tunalo sisi watu wa namna hii, yaani Kuna muda tunahitaji mtu Mwenye Akili nyepesi ya kutafsiri mambo ili kutufanya kuweza kutekeleza yale tunayoyataka.... Ukiweza kuelewa anachokiandika utaweza kumsaidia.
 
Naona maswali yangu hujayajibu, ila nilikuwa nataka nihitimishe , huenda mdogo wako akawa na shida inaitwa Autism spectrum disorder au usonji kwa kiswahili.

Moja ya viashiria vyake hasa kwa watu wazima ndo kama ulivyotaja hapo juu ingawa baadhi ya maswali hujajibu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom